gta 6

An untitled Grand Theft Auto game is in development by Rockstar Games. It is due to be the eighth main Grand Theft Auto game, following Grand Theft Auto V (2013), and the sixteenth instalment overall. Following years of speculation and leaks, Rockstar confirmed in February 2022 that the game is in development. Footage from unfinished versions was leaked online in September 2022 in what was described as one of the biggest leaks in the history of the video game industry.

View More On Wikipedia.org
  1. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Hakika Gta 6 itanirudisha kwenye Games..

    Binafsi nimekuwa mfuasi wa Rockstar games.. Nimecheza GTA vice city yote, Pia nilicheza maxpyne ile ya kwanza kabisa.. Baada yake nikacheza San andreas Ambayo sikuimaliza kutokana na marudio mengi na tofauti ndogo ya graphics.. GTA 5 sikuipenda kabisa maana haikuwa na jipya ila walijaribu...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Je, Ununue PS5 Sasa au Usubiri PS6 kwa ajili ya GTA 6?

    Wapenzi wa michezo ya video wanaendelea kujiuliza kama ni bora kununua PlayStation 5 sasa au kusubiri PlayStation 6 ili kucheza GTA 6. Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Rockstar Games, mchezo wa Grand Theft Auto VI (GTA 6) unatarajiwa kutolewa tarehe 19 Novemba 2026 kwa PlayStation 5 na Xbox...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Uzinduzo wa Game la GTA-VI umesogezwa zaidi hadi November 2026!

    Wadau wa Games, kuanzia PC hadi consoles. Rockstar Games wamesogeza zaidi muda wa kuzindua GTA-6 kutoka May hadi Nov 2026. Pata muda wa kununua PS5 yako au upgrade PC yako mapema.
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Playstation 6 kuja uzinduzi wa game mpya GTA 6

    Wale wapenda game ni wasanue tu kuhusu mambo ya biashara yalivyo. Makampuni yamekuwa konde boy sasa kila kukicha kuachia kitu kipya wabaki kushindana kwenye soko. Nimefatilia kwenye mijadala ya teknolojia baada ya watu kusubiria GTA 6 inatoka 2025 na kutaarifiwa itatoka 2026 . Kumbuka PS 5...
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Rockstar kusitisha matoleo mapya ya GTA games, GTA 6 ndio ya mwisho

    Wasanidi wa kampuni ya Rockstar wanapendekeza kwamba Grand Theft Auto 6 (GTA 6) inaweza kuwa toleo la mwisho katika mfululizo wa Grand Theft Auto tutakaotumia maishani mwetu. 🎮 🌟 Wananuia kusasisha mchezo (refresh the game) kila mara kwa misheni mpya, maeneo na miji mipya kwa njia za mtandaoni...
Back
Top Bottom