Rockstar kusitisha matoleo mapya ya GTA games, GTA 6 ndio ya mwisho

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,664
4,879
Wasanidi wa kampuni ya Rockstar wanapendekeza kwamba Grand Theft Auto 6 (GTA 6) inaweza kuwa toleo la mwisho katika mfululizo wa Grand Theft Auto tutakaotumia maishani mwetu. 🎮 🌟

Wananuia kusasisha mchezo (refresh the game) kila mara kwa misheni mpya, maeneo na miji mipya kwa njia za mtandaoni (Online Players) na za mchezaji mmoja mmoja (Single player modes) baada ya kuzinduliwa. Hivyo watakuwa wanaongeza tu Mission mpya, kupanua maeneo ya miji pamoja na kuongeza wigo wa uchezaji. Lakini inasemekana hakutakuwa na toleo la GTA 7 au muendelezo baada ya GTA 6.

Hii ni kwa wapenzi wa Playstation na Video games
 
Daah hii hatari mkuu ila kama watapanua ramani na kuweka mission mpya sio mbaya mkuu.
 
Game bora sana kuwahi kucheza, na ilimaliza sana hela zangu enzi za kulipia cafe,

nilianza na vice city kisha San Andreas, GTA 5 sikufanikiwa kuenjoy coz PC ilikuwa nzito specifics zake ndogo,

I wish wangetengeneza moja yenye setting ya Afrika kama Lagos, Johannesburg au Cairo ingekuwa mwake sana
 
Daah hii hatari mkuu ila kama watapanua ramani na kuweka mission mpya sio mbaya mkuu.
Yeah ndio icho kitakachoenda kufanyika kwenye GTA 6... Wataongeza maeneo na mission
 
Hivi kwawale ambao tulikosa bahati ya kununua ps5 2020 mwaka huu tunaitaji kununua je original au slim ipi inafaa naitaji kununua kwajili ya boxing day ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom