Haki za wanyama zakiukwa hadharani

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
blogger-image--1595162675.jpg

Wanyama wanaonja na kuhisi kama sisi binadamu kwa vile sote tuna miili yenye nerves za utambuzi na milango ya ufahamu. Tunawajibika kulinda hakiza wanyama, maana manyanyaso ya wanyama yanazidi kuendelea kuwepo licha ya jitihada za kuwaelimisha watu juu ya ukweli huu.
 
Inasikitisha sana kuona jinsi tusivyothamini wanyama japo tunapa faida kubwa. Sheria inakuja kama itasimamiwa vizuri itasaidia sana. Animal welfare act tayari ipo. Kila mmoja wetu anayonafasi ya kupiga vita unyanyaswaji wa wanyama.
 
Wewe unayefanya haya unakiuka haki za wanyama na kuvunja sheria ya haki na maslahi ya wanyama ya mwaka 2008;
Uliyefuga mbwa nyumbani kwako kama mlizi wako na humpi chakula, malazi pamoja na Tiba unavunja sheria na kumfanya mbwa huyo awe hatari kwako na familia zinazokuzunguka.
Wewe unayebeba kuku miguu juu kichwa chini na mbuzi kwenye pikipiki hutendi haki kwa hao wanyama acha mara moja na kemea uonapo hali hiyo.
Wewe unayepiga wanyama na kuweka alama kwa vyuma vya moto acha na tumia njia rafiki kuelek
 
Haki za wanyama?Mnyama ana haki gani.Wewe ni Freemason nini.Nenda kachinje ule bwana,asikuzingue.
blogger-image--1595162675.jpg

Wanyama wanaonja na kuhisi kama sisi binadamu kwa vile sote tuna miili yenye nerves za utambuzi na milango ya ufahamu. Tunawajibika kulinda hakiza wanyama, maana manyanyaso ya wanyama yanazidi kuendelea kuwepo licha ya jitihada za kuwaelimisha watu juu ya ukweli huu.
 
Nihurumie, Nihurumie
Naumia, Naumia !
Tafadhali niache....
Pazi na Jogoo!
Tujifunze lugha yetu darasa la nne, lileeee la ukweli.
 
Nihurumie, Nihurumie
Naumia, Naumia !
Tafadhali niache....
Pazi na Jogoo!
Tujifunze lugha yetu darasa la nne, lileeee la ukweli.

Aisee umenikumbusha mbali sana mkuu, lol! Nimewakumbuka walimu wangu wafuatao:
Mwl Chacha,
Mwl Gille
Mwl Chawala
Mwl Mapunda
Mwl Mwakihangula
Mwl Mgimwa
Mwl Mwingizi
Mwl Horro
Anaywajua wengine jamani aongezee basi.......................!
 
Back
Top Bottom