nkungwe123
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 444
- 95
- Thread starter
-
- #61
Dunia imebadilika kila upande tatizo mnaangalia upande wa wanawake tu, hao bibi zetu kwani walienda shule au walikuwa wanaenda maofisin? Walilelewa mazingira ya kwamba ukikuwa kazi ni moja tu kuolewa, kuzaa na kumtumikia mumeo, ila mabadiliki ya maisha yamefanya sasahv hatulelewi hvyo tena kwani priority ya kwanza ya mtoto wa kike au kiume ni elimu kwanza, then kazi au biashara hayo yaliyobakia ya kaz za ndani ni ziada. Mm nilivyolelewa kwetu tupo watoto 4 wasichana wawili na wanaume wawili kabla ya wazazi kuleta msichana wa kazi wote tulikuwa na zamu ya kufanya kaz za ndani kuanzia usafi wa ndani hadi kupika na kuosha vyombo na tulizifanya kwa usawa hakukuwa na kazi hii ya wasichana hii ya wavulana, si usawa nilianza kuuona toka kwetu nikiwa mdogi

Ndio maana nikasema malezi/makuzi yanatofautuana. Kwa nini nisiweze?? Baada ya ndoa ni wakati muafaka kuwa wawili ndani ya nyumba, kusaidiana shughuli ndogondogo za ndani. Sidhani kama kuna haja ya kuwa na msaidizi wakati mpo wawili tu, hata mimba bado hamna..
Unatakiwa umwambie "samahani mke wangu naomba uandae chakula" akikataa basi ingia jikoni na umpakulie kiroho safi. Kitu ambacho hatakiwi kukataa ni MOJA tu, haki ya ndoa
Saafi, ndio maana na Wewe umeletewa house girl.
Dunia imebadilika kila upande tatizo mnaangalia upande wa wanawake tu, hao bibi zetu kwani walienda shule au walikuwa wanaenda maofisin? Walilelewa mazingira ya kwamba ukikuwa kazi ni moja tu kuolewa, kuzaa na kumtumikia mumeo, ila mabadiliki ya maisha yamefanya sasahv hatulelewi hvyo tena kwani priority ya kwanza ya mtoto wa kike au kiume ni elimu kwanza, then kazi au biashara hayo yaliyobakia ya kaz za ndani ni ziada. Mm nilivyolelewa kwetu tupo watoto 4 wasichana wawili na wanaume wawili kabla ya wazazi kuleta msichana wa kazi wote tulikuwa na zamu ya kufanya kaz za ndani kuanzia usafi wa ndani hadi kupika na kuosha vyombo na tulizifanya kwa usawa hakukuwa na kazi hii ya wasichana hii ya wavulana, si usawa nilianza kuuona toka kwetu nikiwa mdogi
ndoa zimeingiliwa siku hizi, mke asipoosha sufuria, mume anakuja kumshtakia JFUcjicfie ujingaaa..na kutoa cri za mkeooo
Kama unakubali kusaidiana ipo basi mshauri mwenzio awe anamsaidia mwenzie na kama hawez basi amuwekee msaidiz
nyumban ni sawa na shulen/chuon. Yale mafunzo ni lazma mmepewe wote kwasababu wazaz wanajua ipo sku mtaish peke yenu bila wao kwahyo lazma muwe na uzoefu wa shugul mbalimbali. Lakin haikumaaaniha kuwa ndio ukawekeane zam na mumeo hata kama kuna ubusy wa kaz lakin lazma mwanamke ujitambue ww ni nani na majukumu yako ni yapi vivyo hvyo hata kwa mwanaume. Ukiona unachoka unatafuta mfanyakaz....... Kwetu mm kuambiwa kuosha vyombo au kupika ni dharau kubwa sana labda kama mke wangu anaumwa
ndoa zimeingiliwa siku hizi, mke asipoosha sufuria, mume anakuja kumshtakia JF
Akizidiwa nikaridhik kuwa hawezi ntafanya ivyo
waooo utafiti haya uyasemayo ki real life unayatenda kweli
Juzi ilikuwa pasaka jamani, hapakuwa na ofisi wala chochote. Kupika kg. 1 ya mchele na nusu ya nyama inahitaji kusaidiwa??? Mazingira ya kusaudiwa yako wazi kbs na hayana utata. Wewe unachotetea ktk scenario hii ni nini hasa? Mrsleo.
mi nafikiri alihitaji housegirl, na siyo mke. mi namshauri ampe talaka halafu atafute hg.Kwani amekuja hapo kukufanyia kazi zako???
Kwahyo mpka azudiwe? Acha uvivu
Kama umelelewa hvyo sikushangai kushindwa kumsaidia mkeo ila nilikotoka mm hakukuwa na kitu kinaitwa mwanaume akifanya kaz fulan ni dharau wote tulikuwa sawa
Kwanini nishindwe miss neddy? Hayo ndio maisha, na wala sio mimi tu ndio naishi ivo, wapo wengi