Kilichofanyika Oct 07,2023 si Ukristo wala si Uislamu kwa hiyo usituletee hapa mambo ya dini dini hapa haihusiki acha wapigwe tu magaidi hao na ikiwezekana wouwawe wote waliofanya Ugaidi huo!!Ndugu matunduizi, Echolima1 na wale wengine, ipo tofauti ya ukristo na kushabikia lolote eti ni undugu katika imani.
Malaria 2, Ritz na wale wengine, iko tofauti ya kushabikia lolote eti ni katika undugu katika imani.
Ama kwa hakika "wote ni majibga nyanja!" --JKN.
Kilichofanyika Oct 07,2023 si Ukristo wala si Uislamu kwa hiyo usituletee hapa mambo ya dini dini hapa haihusiki acha wapigwe tu magaidi hao na ikiwezekana wouwawe wote waliofanya Ugaidi huo!!
Huyu Askofu Pisa amekuwa kibaraka wa Fr Kitima tu. Hata kanisa likiweka msimamo bado sisi waumini wa RC kila mmoja ana maamuzi yake.Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi:
View attachment 3480327
Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza unajulikana:
Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani
Tofauti ya wazi kabisa baina yao na wale wenye kuzihalalisha dhuluma au uharamia kwa sababu zozote wazi wazi, kunyamaza au kuifumbia macho haki!
"Ama kwa hakika, haki husimama wala haiwezi kuinama!"
Hayo yalikuwa maneno ya Marehemu!!Utaujua ukristo wewe kuliko mkuu wa kanisa katoliki?
Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani
Umenikumbusha habari ya novena. Inakuwaje hatjazika hata mgombea urais mmoja?Wamefanya novena na hakuna kitu imejibu, sasa wanaanza kutoa matamko ya ajabu ajabu tu
Minafiki hii, eti Sasa hivi inajifanya kusema uchaguzi wa 2019/2020 kwa kuwa mwenzao hayupo na inataka kujifichia hapo Ili kutafuta uhalali kutoka kwa mapimbi wa 'mbona hata kipindi Cha mwendazake walikuwa wanasema?!!'. Tume 2024 ndo hiyohiyo ya 2015,2019 na 2020 mbona inajifanya kuiponda ya 2024 pekee?!!! Unafiki na uzandiki umewazidi mpaka inaumbuliwa na Mungu. Shida yao ni Samia tu na si kingine. Huo ndo ukweli. Na Samia huyo hawamtaki sababu pekee waliyonayo ni udini tu basi, hizi blah blah zingine ni katika kuonyesha kipaji tu Cha unafiki.
Toeni hoja kwanza Ili tujibu hoja, kwanini mliichekea na kuikatia viuno ya 2019/2020 lakini mnajifanya kuikataa ya Sasa wakati ni ile ile?!!!!!!! Do you think we are not clever enough to figure out the reasons behind?!!!!! We are.Mpaka myeme bungo!
2019/2020 na 2024 hazikuwa haki. Jibuni hoja:
"Kwa nini 2025 uwe wa haki?"
Hayo yalikuwa maneno ya Marehemu!!
Endelea kujifariji kupitia mgongo wa magaidi ya kipalestina!!Tofautisha kauli ya marehemu na kauli ya Papa Francis mkuu wa kanisa katoliki!
Ama kwa hakika haki haiwezi kuinama
Huyu Askofu Pisa amekuwa kibaraka wa Fr Kitima tu. Hata kanisa likiweka msimamo bado sisi waumini wa RC kila mmoja ana maamuzi yake.
Wamefanya novena na hakuna kitu imejibu, sasa wanaanza kutoa matamko ya ajabu ajabu tu
Toeni hoja kwanza Ili tujibu hoja, kwanini mliichekea na kuikatia viuno ya 2019/2020 lakini mnajifanya kuikataa ya Sasa wakati ni ile ile?!!!!!!! Do you think we are not clever enough to figure out the reasons behind?!!!!! We are.
Endelea kujifariji kupitia mgongo wa magaidi ya kipalestina!!
Ukikutana na mtu anajiita MLOKOLE TAMBUA UMEKUTANA NA MPUMBAVU SIYO MTAKATIFU.Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi:
View attachment 3480327
Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza unajulikana:
Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani
Tofauti ya wazi kabisa baina yao na wale wenye kuzihalalisha dhuluma au uharamia kwa sababu zozote wazi wazi, kunyamaza au kuifumbia macho haki!
"Ama kwa hakika, haki husimama wala haiwezi kuinama!"
Swali lako linaonyesha hujui AINA MBILI ZA MA DICTATORToeni hoja kwanza Ili tujibu hoja, kwanini mliichekea na kuikatia viuno ya 2019/2020 lakini mnajifanya kuikataa ya Sasa wakati ni ile ile?!!!!!!! Do you think we are not clever enough to figure out the reasons behind?!!!!! We are.