Hao boda boda ni kero kubwa, wapigwe tu, hakuna namna.Askari wa bongo wakae wakijua kwamba ubinadam ni kitu cha kwanza kuzingatiwa kuliko kitu chochote kile hapa duniani. na hao viongozi wanao wanyenyekea kiasi cha kuuwa au kuumiza watu wengine nao ni binadam kama jinsi walivyo wao..
Kwa Mungu kungekua na kesi.ilitakiwa ushukuru kwa yeye kupigwa fimbo ya mgongo.
alitakiwa apigwe risasi, na kusingekuwa na kesi hapo.
warumi 13:1.Kwa Mungu kungekua na kesi.
Hapana ila bodaboda wengi wamekuwa wakivunja sheria za barabarani ndoo maanaAskari wa bongo wakae wakijua kwamba ubinadam ni kitu cha kwanza kuzingatiwa kuliko kitu chochote kile hapa duniani. na hao viongozi wanao wanyenyekea kiasi cha kuuwa au kuumiza watu wengine nao ni binadam kama jinsi walivyo wao...
Wewe kama nani unasema hivyo? Wewe una taarifa za kiusalama za viongozi wote? Unajua matishio yao? Au ndio za vijiweni... Tukae kimya hatuijui systemWhat if kitu gani? Tanzania nzima na duniani kote hakuna mwenye ugomvi na makamu wetu wa rais. Wasiopendwa na wwatu wapo lkn sio huyu mama.
alikuwa hajui ata wewe uwe na garu yako unatoka kwako na kuingia barabaran moja kwa moja bila kujua kama kuna msafala af askari waanze kukushambuliaKwanini apite ikiwa wenzie wamesimama. Hapa mimi siwezi kumtetea au kulaumu askari polisi.Jambo la msingi namuombea apone mapema arudi katika ujenzi wa familia na taifa kwa ujumla.
kwan kaka mtu yyte aliye pointiwa kuwakilisha taifa na viongozi wa taifa si ndiy serikali mwenyewe huyo au hukusoma civcsHizi lawama siyo za serikali, ni za mtumia barabara huyo na askari husika(binafsi)! Maamuzi ya huyo askari hakutumwa na mtu, ni bunge lake mwenyewe kichwani mwake!
Tuwe makini ktk kupeleka lawama mahali husika!
Mkuu weka kabisa na location ilikuwa wap JF ni jukwaa lenye connection kubwa kuwajibisha watuAskari wa bongo wakae wakijua kwamba ubinadam ni kitu cha kwanza kuzingatiwa kuliko kitu chochote kile hapa duniani. na hao viongozi wanao wanyenyekea kiasi cha kuuwa au kuumiza watu wengine nao ni binadam kama jinsi walivyo wao...
sawa kaka sijui lakin nnavyo jua mm hakuna mshenz yyte ambaye ana mamlaka juu ya maisha ya mtu ata huyo raisi maisha ya mtu ni haki yake ya msingi ambayo haiwezi kuchukuliwa na mtu yyte yuleWewe kama nani unasema hivyo? Wewe una taarifa za kiusalama za viongozi wote? Unajua matishio yao? Au ndio za vijiweni... Tukae kimya hatuijui system
Wanakulamba shaba vizuri tu.mfano Korea kaskazin aise utachezea risasi za kutosha."Makamu wa Rais alikuwa anapita".
Nchi nyingine, hasa Mashariki ya Kati, unaweza hata ukapigwa risasi!