Haki iko wapi kama Serikali ndiyo inaongoza kwa kufanya unyama

Do, nampa pole ila kiukweli hawa jamaa zetu viburi sana asee, mfano tabia za kuzuia njia za waendao kwa miguu na kujifanya wamejengewa wao 😷!.
 
Musiwalaumu asikari hata kidogo kiongozi mkuu anapita wesingeweza kumbembeleza huyo boda boda maana anaweza kua nania ovu kabisa, walikua wana timiza majukumu yao.
 
Askari wa bongo wakae wakijua kwamba ubinadam ni kitu cha kwanza kuzingatiwa kuliko kitu chochote kile hapa duniani. na hao viongozi wanao wanyenyekea kiasi cha kuuwa au kuumiza watu wengine nao ni binadam kama jinsi walivyo wao..
Hao boda boda ni kero kubwa, wapigwe tu, hakuna namna.
 
Askari wa bongo wakae wakijua kwamba ubinadam ni kitu cha kwanza kuzingatiwa kuliko kitu chochote kile hapa duniani. na hao viongozi wanao wanyenyekea kiasi cha kuuwa au kuumiza watu wengine nao ni binadam kama jinsi walivyo wao...
Hapana ila bodaboda wengi wamekuwa wakivunja sheria za barabarani ndoo maana
 
What if kitu gani? Tanzania nzima na duniani kote hakuna mwenye ugomvi na makamu wetu wa rais. Wasiopendwa na wwatu wapo lkn sio huyu mama.
Wewe kama nani unasema hivyo? Wewe una taarifa za kiusalama za viongozi wote? Unajua matishio yao? Au ndio za vijiweni... Tukae kimya hatuijui system
 
Kwanini apite ikiwa wenzie wamesimama. Hapa mimi siwezi kumtetea au kulaumu askari polisi.Jambo la msingi namuombea apone mapema arudi katika ujenzi wa familia na taifa kwa ujumla.
alikuwa hajui ata wewe uwe na garu yako unatoka kwako na kuingia barabaran moja kwa moja bila kujua kama kuna msafala af askari waanze kukushambulia
 
Sasa mkuu kiongozi wa nchi anapita alafu yeye anaingia barabarani hao waliyosima aliwachukuliaje?

Sometimes mnajitafutia matatizo wenyewe.
alikuwa hajui maana alikuwa katoka barabaraza ndani na kuingia lami bila kujua kinacho endelea
 
Hizi lawama siyo za serikali, ni za mtumia barabara huyo na askari husika(binafsi)! Maamuzi ya huyo askari hakutumwa na mtu, ni bunge lake mwenyewe kichwani mwake!
Tuwe makini ktk kupeleka lawama mahali husika!
kwan kaka mtu yyte aliye pointiwa kuwakilisha taifa na viongozi wa taifa si ndiy serikali mwenyewe huyo au hukusoma civcs
 
Askari wa bongo wakae wakijua kwamba ubinadam ni kitu cha kwanza kuzingatiwa kuliko kitu chochote kile hapa duniani. na hao viongozi wanao wanyenyekea kiasi cha kuuwa au kuumiza watu wengine nao ni binadam kama jinsi walivyo wao...
Mkuu weka kabisa na location ilikuwa wap JF ni jukwaa lenye connection kubwa kuwajibisha watu
 
Wewe kama nani unasema hivyo? Wewe una taarifa za kiusalama za viongozi wote? Unajua matishio yao? Au ndio za vijiweni... Tukae kimya hatuijui system
sawa kaka sijui lakin nnavyo jua mm hakuna mshenz yyte ambaye ana mamlaka juu ya maisha ya mtu ata huyo raisi maisha ya mtu ni haki yake ya msingi ambayo haiwezi kuchukuliwa na mtu yyte yule
 
Tatizo Hawa bodaboda wakiwa barabarani akili huwa zinawatoka kabisa.kama huyo anaona magari yamesimamishwa yy anapita lesi !!! pole yake kwa kuvunja mikono,ila Hawa vijana sijui Ni bangi,barabarani akili huwa zinawatoka kabisa.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom