Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Kweli kabisaHata jiwe angelijua ya kwamba hato maliza hawamu yake na yuko njiani kwenda kwa muumba, basi naye angelitenda haki.
Kweli kabisaHata jiwe angelijua ya kwamba hato maliza hawamu yake na yuko njiani kwenda kwa muumba, basi naye angelitenda haki.
Dawa wajitoe wote, hii ndio itakuwa njia nzuri, ila tuombe Mungu tusije kuishia kuletewa tozo mpaka za kucheka.Hili la katiba ni mwiba ukiowakwama CCM shingoni. Dunia nzima inawashangaa ni kwanini hawaitaki na Denmark ameanza kujitoa kimahusiano nao.
Ninaomba lije hili tozo la kucheka ili Watanzania waamkeDawa wajitoe wote, hii ndio itakuwa njia nzuri, ila tuombe Mungu tusije kuishia kuletewa tozo mpaka za kucheka.
kama ni Mungu alimtoa jpm akamleta bibieza uzuri wa hii theory ni kuwa haki inapochelewa Mungu anaingilia maamuzi mwenyewe na hukumu yake ni ya haki.

,huoni kama unamtukanisha na mweyezi!!!haki iko mbinguni,duniani ni uwanja wa fujo.Hata jiwe angelijua ya kwamba hato maliza hawamu yake na yuko njiani kwenda kwa muumba, basi naye angelitenda haki.
AwamuHata jiwe angelijua ya kwamba hato maliza hawamu yake na yuko njiani kwenda kwa muumba, basi naye angelitenda haki.

