Haka kajanki ni kakatili sana.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
IMG_20180425_123733.jpg
Screenshot_20201226-163458.png


Kakikukamata kanaanza kula kichwa ukiwa bado mzima. Jike ukimaliza kumate naye anakukamata na kuanza kukutafuna kichwa. Hivi ingekuwa kwa watu ingekuaje? Ukimaliza unatoka mbio za ajabu!!
Praying_Mantis.jpg
 
Hivi kuna mtu anamjua mbulumundu humu?
Hee kumbe Mbulumundu ni mdudu!!?.
Kuna jamaa tulichezanae mpira pale Kinondoni garden jina lake anaitwa Muhammed Mbulumundu,alikwa goli kipa.

Embu mdadavue hapa tumjue uyo mbulumundu.
 
Hee kumbe Mbulumundu ni mdudu!!?.
Kuna jamaa tulichezanae mpira pale Kinondoni garden jina lake anaitwa Muhammed Mbulumundu,alikwa goli kipa.

Embu mdadavue hapa tumjue uyo mbulumundu.
Kwa kingreza anaitwa elegant grasshopper,ni miongoni mwa viumbe waharibifu wa mimea
1490250657-elegant-grasshopper.jpg
 
Utotoni tulikua tunawapiganisha na balale.

Wasipopigana tunachukua sindano za kuchomea wagonjwa tunajaza maji na kuyajaza matumbo yao mpaka yanapasuka.

Same treatment ilikua kwa mijusi.
Ungelikua mzungu ungelikua mbali sana
 
Back
Top Bottom