UkatubuUtotoni tulikua tunawapiganisha na balale.
Wasipopigana tunachukua sindano za kuchomea wagonjwa tunajaza maji na kuyajaza matumbo yao mpaka yanapasuka.
Same treatment ilikua kwa mijusi.
UkatubuUtotoni tulikua tunawapiganisha na balale.
Wasipopigana tunachukua sindano za kuchomea wagonjwa tunajaza maji na kuyajaza matumbo yao mpaka yanapasuka.
Same treatment ilikua kwa mijusi.
Kwani si ndio wanachofanya. Mkishamaliza kugegedana wanaanza kukuomba hela ya pochi 30,000 bila sababu za msingi.View attachment 1659598View attachment 1659601
Kakikukamata kanaanza kula kichwa ukiwa bado mzima. Jike ukimaliza kumate naye anakukamata na kuanza kukutafuna kichwa. Hivi ingekuwa kwa watu ingekuaje? Ukimaliza unatoka mbio za ajabu!!
View attachment 1659602
Mzee unajua kinyonga anakula wadudu? Au unajua kinyonga ni nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....! Watu humu mna vituko I seeHata muonekano kanafanana na Kagame.
Chombo hakina watu wenye roho mbaya na makatili mkuu.Doooh
kwa hiyo sasa upo jeshini siyo?
Hawa ndio katiri kuzidi huto tujamaa. Ukatiri wao ni zaidi ya kagameUtotoni tulikua tunawapiganisha na balale.
Wasipopigana tunachukua sindano za kuchomea wagonjwa tunajaza maji na kuyajaza matumbo yao mpaka yanapasuka.
Same treatment ilikua kwa mijusi.
Aise.Hata muonekano kanafanana na Kagame.
naskia hawa walitengenezwa maabara kama ChineseKwa kingreza anaitwa elegant grasshopper,ni miongoni mwa viumbe waharibifu wa mimea
View attachment 1659848