Haji Manara nani kakudanganya kuwa Karia kusema Yanga SC "wakaendelee na Sinema zao" ni Kudhalilishwa au wana Filamu nchini / duniani wametukanwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,006
Reaction score
126,388
Kwa tuliosoma vyema Lugha na Mbinu za Lugha kwa hakika tumekushangaa sana kwa jinsi Haji Manara ulivyoishupalia hii Kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia aliposema kuwa Yanga SC wakaendelee na Sinema zao kama wamechoka Kucheza Mpira. Na najua wapo wana Yanga SC Wapumbavu nao watakuwa wamekuunga mkono.

Kauli ya "wakaendelee kucheza Sinema zao" kwa Context ya wakati husika na kwa jambo husika kutumiwa na Rais wa TFF Wallace Karia wala hajakosea na tena Mimi GENTAMYCINE namsifu na kumpongeza kwani ameonyesha ni jinsi gani anaweza Kucheza na Lugha na Mbinu zake huku Wapumbavu wasimuelewe.

Neno tu Sinema linaama ya kwamba ni Maigizo yenye Uhalisia wa Jambo au Utani wa Jambo fulani kulingana na muda lililotokea au kinachoendelea. Hivi kama Yanga SC waliweza kupeleka Timu yao Uwanjani kwa Mkapa huku tayari Mechi ikiwa imeshahairishwa na bado tena Kesho yake wakaenda Bunju na Basi lao kuwachokoza Simba SC kwa kutaka Kucheza nao huku kila mara wakisema hawatacheza Mchezo wa marudiano wakijua fika kuwa Wao wenyewe wako chini ya TFF kikanuni na kwamba kujulikana Kwao kunatokana na TFF kuwa Mwakilishi wao CAF na FIFA hivi Rais wa TFF Karia akisema kuwa wanafanya Maigizo na kwamba wakaendelee na Sinema zao ana Makosa kama ukiwa na Akili timamu na Umesoma vyema na Kuelimika?

Kwa kifupi Haji Manara huna Akili period
 
Na Wewe unaamini kuwa Rais wa TFF Karia kusema Yanga SC wakaendelee na Sinema zao Kawatukana au Kaidhalilisha pia Tasnia ya Filamu nchini? Jibu lako hapa likiwa ni ndiyo basi nitaamimi kuwa kweli Yanga SC wenye Akili ni Watu wawili tu Mzee Manara na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Kikwete.
 
Utopolo ni mabingwa wa kutengeneza sinema!
 
Kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia aliposema kuwa Yanga SC wakaendelee na Sinema zao kama wamechoka Kucheza Mpira. Na najua wapo wana Yanga SC Wapumbavu nao watakuwa wamekuunga mkono.


Kwa kifupi Haji Manara huna Akili period
SINEMA Fc
Utopolo fc

Huyu Haji ndio maana aliamua kujiunga na wenzake wasiokuwa na akili.
 
Andika vizuri kwaza,kwan unakimbizwa?
 
Ungekua na akili hata wewe ungekua unasema haya kupitia account ambayo ni real ila kwa kutumia AV ambayo sio yako inaonyesha hata wewe ni hamnazo.

ukileta Tusi lolote...chukua hili mapema we Mke wa wahuni.
 
Cha kushangaza zaidi angeweza kumpa kipaza sauti mkewe ambaye pia ni mwigizaji aliyekuwa pembeni yake ili atoe yake ya moyoni awawakilishe waigizaji wenzie.

Kumwingiza Rais Samia kwenye hili sakata ni kumkosea heshima. Rais Samia hakuwa anaigiza kwenye ile makala ya Royal Tour.
 
Kumbe alikuwa anacheza mpira?
 
Wawili ni wengi sana kiliko ile timu yenye mambumbumbu watupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…