Umezaliwa mwaka gani?Mtu wa kwanza kuchambua mpira Tanzania ni Haji?Wacha vichekeshoJe wajua kwamba ndiye mtu wa kwanza kabisa kuchambua mpira kwenye radio kwenye nchi hii ? Usiharibu brand za watu
Umezaliwa mwaka gani?Mtu wa kwanza kuchambua mpira Tanzania ni Haji?Wacha vichekeshoJe wajua kwamba ndiye mtu wa kwanza kabisa kuchambua mpira kwenye radio kwenye nchi hii ? Usiharibu brand za watu
Nimezaliwa 1960 wewe?Umezaliwa mwaka gani?Mtu wa kwanza kuchambua mpira Tanzania ni Haji?Wacha vichekesho
Sasa unashindwa nini kujua kwamba Haji sio mtu wa kwanza kuchambua mpira Tanzania.Au umeingia mkenge na kuanza kufuatilia tambo zake akiwa Radio Uhuru kwamba yeye ndiye aliyeanzisha U pundit Tanzania?Nimezaliwa 1960 wewe?