Haji Manara kurejea Simba, na Ahmed Ally kupandishwa cheo

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,773
Reaction score
35,992
Habari za uhakika ni kuwa Haji Manara amekubali kurejea Simba, Baada ya Rais wa Club hiyo Mo Dewji kumuomba msamaha sana ili arejee

Haji Manara ilikuwa aonekane Leo kwenye uzinduzi wa jersey za Simba, lakini kutoka na malipo yake kutoka Kwa Mo Dewji kucheleweshwa, Sasa ni dhahiri tutamwona Simba day

Kumbuka Haji Manara aiitoka Simba 2021 akilalamika kuwa Mo Dewji na Babra walimhujumu na kumfukuza kama mbwa

Pia akilalamika kuwa alikuwa akilipwa mshahara kidogo kiasi cha laki 7 tu.

Pia Manara alitoa laana kuwa Simba haitatwaa ubingwa wowote zaidi ya miaka 10.

Na kweli Toka Haji Manara atoke Simba haijawahi kutwaa hata kombe la Mapinduzi.

Uongozi wa Simba ukiongozwa na Mo Dewji wameamua kumrejesha Haji Manara, na hiyo atakuwa akilipwa million 70 Kwa mwezi na marupurupu mengine

Simba Sasa wanasafisha njia Yao

Diwani mtarajiwa wa Kariakoo, we piga pesa za mambumbumbu, wao wanajua ukienda pale umbumbumbuni watatwaa ubingwa

Pia a
 
Wajinga acha wapambane na ujinga wao...
 
simtaki arudi, ila kama ni kweli atalipwa M70 kwa mwezi sawa tu, asibaniwe fursa. Hizo pesa kama zipo zimezagaa hivyo tugawaneni wote tu fursa ikija, tusibaniane.
 
Yanga hizi mbinu za kipumbavu ndizo zinawa fanya mfanye mambo ya kijinga kama kuchangia shughuli za siasa hadi kuweka rehani usalama wa club kuazibiwa na FIFA.
ACHENI UTOTO
We ndo mbumbumbu aliowasema Rage.
Kwaiyo Manara kurudi Simba Kuna ajabu Gani?
 
simtaki arudi, ila kama ni kweli atalipwa M70 kwa mwezi sawa tu, asibaniwe fursa. Hizo pesa kama zipo zimezagaa hivyo tugawaneni wote tu fursa ikija, tusibaniane.
Humtaki wewe kama nani?
 
Alipwe mil 70 kwa kazi gani atakayofanya pale? Anaenda kuwekwa kwenye nafasi gani? Kuna mchezaji yoyote anaelipwa mil 70 kwa mwezi?
 
simtaki arudi, ila kama ni kweli atalipwa M70 kwa mwezi sawa tu, asibaniwe fursa. Hizo pesa kama zipo zimezagaa hivyo tugawaneni wote tu fursa ikija, tusibaniane.
Hivi huzijui akili mbili za utopolo mpaka leo? Mtoa mada ni utopolo anafikiri simba inaakili za kipuuzi kama wao walivompokea haji na morisoni ambo walikuwa hawalali bila kuwatukana utopolo
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Hivi huzijui akili mbili za utopolo mpaka leo? Mtoa mada ni utopolo anafikiri simba inaakili za kipuuzi kama wao walivompokea haji na morisoni ambo walikuwa hawalali bila kuwatukana utopolo
Nenda nae taratibu mkuu, kama ushajua akili za utopolo ni sawa na gari bovu mbio za nini? Halafu hii nchi kuna mambo huwa yanafanyika kwa akili za kisiasa. Likitokea wala hushangai.
 
Back
Top Bottom