Hajafa tu?

Hajafa tu?

Status
Not open for further replies.
kwa hiyo akawa mara aseme anamjua evelyn salt mara sijui ataweka namba zake sijui picha watu tumesubiri weee hakuna kitu dahh mpaka sired imefungwa hakuna kitu,

Anatishia MTU mzima nyau??? Hahahahaaa
 
umukagame ukipandwa na hasira siku nyingine ukaamua kuchukua uamuzi wa kujiua naomba offer basi nikuonje kidogo, si unajua huko kaburini inaenda kuharibika?!.

Fursa..... umukagame mpe nafasi kijana hatakupa stress......
 
Last edited by a moderator:
hhaahahhah si unaelewa muungano huu tunaunganisha mpaka id za watu inakuwa moja nimemmis supu ya mawe a.k.a mchunguzi huru ukimuona mwambie shikamoo

Ha ha ha ana matatizo kama serikali yetu, tumsubiri atarudi tena kivingine....
 
Kufa bana wengine tupate dili, we unadhani hii biashara yangu ya sanda na jeneza itatokaje?

Btw hebu njoo hapa kona ya Muhimbili uchague kabisa jeneza lako marehemu mtarajiwa...

Heee!!!
 
Jamani saa saba kamili haifiki? Ee Mungu jaalia Mods wasiufunge huu uzi mapema....aamin.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom