TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
Last edited by a moderator:
ICHANA kwenye ishu nyeti ka hizi uwe unaniita...
Wanatuchosha tangia jana haweki hadi season one imefungwa aweke mapema kwa maana asipoweka tutamshangaa sana
Hivi ndio kagoma kweliii auu baadae atadedii unajuaa siaminiii mimii yaan watu tulitaka maji ya chupa ya bure,na kupiga picha za kuwekaa instagram aisee
Ningekufa ww ungepata faida gani hehehe
hawez kuudanganya umma kias hcho lazma ataweka tu..... Mbona ametuhakikishia kuwa anamjua vizr? Aspoweka hata mm ntashangaa
angejifanya rafiki wa karibu angekula rambirambi
Sawa best tulikuwa tunajitahid picha ziwekwe shosti ana Id kibao analazimisha ushoga kwa eve afu anatishia nyau watu wazima
Hapo tunaomba mods asifunge huu Uzi had SAA 7 atuwekee hizo picha alafu afe tukazike population ipungue ....asipoweka picha ataonekana *****
Hahahahha wakuu mbona mnashadadia mambo ya watu?mnajua tumejuana vp na eve hadi kuja tibuana jf??hahahah nyie waswahili mna mambo thnx god kwa kuzaliwa shombeeeeeeeeeee inahuuu
***** ni wewe unaevalia kanzu ndoa isokuhusu hahahahaha
Sawa best tulikuwa tunajitahid picha ziwekwe shosti ana Id kibao analazimisha ushoga kwa eve afu anatishia nyau watu wazima
Hapo tunaomba mods asifunge huu Uzi had SAA 7 atuwekee hizo picha alafu afe tukazike population ipungue ....asipoweka picha ataonekana *****
Ha ha ha mti ishaanza kuteleza eeeh tuwekee picha ya eve bhaasi
Ha ha ha mti ishaanza kuteleza eeeh tuwekee picha ya eve bhaasi
hapana mkuu mm nina hasira kutokuiona picha ya Evelyn Salt alidhurum vocha yangu ya jero kwa ahadi ya kunipa papuchi sasa nataka uweke picha ili nibandike matangazo ya most wanted
TATIANA mikia mingine haiko nyuma