Lengo ni zuri,swali ni je?tuna mapato ya kutosha kugharamia Hilo ongezeko la wafanyakazi,maana polisi hawazalishi kitu,ni huduma tu,watahitaji mishahara,nyumba,nk.
Bongo yetu Bado jama,inabidi tuwe na mapato ya kutosha kuweza kufanya yote hayo,huwa mnajiuliza China inatoa wapi pesa zote za kugharamia miradi kila pembe ya Afrika,uchumi unalipa,viwanda vinaingiza pato kubwa kwa nchi,kiasi inaweza kutoa misaada,sie kutoa bima tu kwa wazee,tunashindwa!