Haiwahusu

Haiwahusu

Kwa mujibu wa matukio ya kuikatili dhidi ya wanawake....natangaza kuwa kanda ya ziwa si mahali salama kwa wanawake
 

Attachments

  • IMG_16688490475904.jpeg
    IMG_16688490475904.jpeg
    36.2 KB · Views: 123
  • IMG_16726125283904.jpeg
    IMG_16726125283904.jpeg
    25.6 KB · Views: 146
  • IMG_16707769727135.jpeg
    IMG_16707769727135.jpeg
    39.6 KB · Views: 288
  • IMG_16640204873135.jpeg
    IMG_16640204873135.jpeg
    22.2 KB · Views: 133
  • IMG_16580085320289.jpeg
    IMG_16580085320289.jpeg
    35.6 KB · Views: 138
Inahuuuuuuuuuu haloooooooo mwanaumeeeee vibaooooo maumivuumajaliwaaaaaa nioisheeeemieeeePdidddyyywaMwenziooooo weraaaaaaaaaaa kofinikofihata liwelajimamaawa kofiiiiii weraaaaaaaa. CCC. Dina

ha ha ha hamcharo umekuwa mtamu
 
Kwa niaba ya wanaume wa DAR na kwa kikao tulichokaa jana jioni katika hoteli ya ROYAL PALM tumejaribu kupitia kwa kina mahusiano ya mwanaume mwenzetu Nuhu Mzuwanda na bibi yake Shishi beib kama anavyojulikana kwa wapenzi wake......tumeona bora tumfungie leseni yake ya uanaume kwa muda hadi pale tume yetu teule itakapo jiridhisha kuwa vile vibao alivyotandikwa vilikuwa ni vya bahati mbaya na sio kwenye harakati za mahaba.....maana tumepitia vifungu vyote vya mahaba hakuna mahali tumeona kuwa makofi na vibao si sehemu ya kuonyeshana mahaba kwa wapendanao bali ni unyanyasaji wa kijinsia......
haaahaahaha aiseeeee nimecheka mpaka chozi
 
Panya Road mmewakimbia sasa mnapigwa mbata na manzi zenu halafu hamkawii kusema ohh mimi mutoto wa mujini nimezaliwa Ocean Road. Mutoto ya mujini my foot.
 
Back
Top Bottom