Haiwahusu

Haiwahusu

Attachments

  • 1422422584209.jpg
    1422422584209.jpg
    132.6 KB · Views: 156
aiseeeee moyo ssana wanaume wetu wa dar wanao
weraaaaaaweraaaaaaakamuaaaaa nziwandaaaa kamuaaababaaa lazayamaziwaaa unyonye siokunyweshwaweraaaaaaaaaaaaaaa+
 

Attachments

  • IMG_6853963680026.jpeg
    IMG_6853963680026.jpeg
    23.6 KB · Views: 152
Nikuwachentawezampenziweraaaaaaaaaaaaaaaaaasabuniyarohooo wapiiiiiikinaaaaaashororeeeee jf mtutunzeee vitotoovyenuuuuu weraaaaaa CCC smallpdidyjr/xxxxx

hahaahhahahaha niitie yulee naniii NIMLEEE ILA LAZIMA VITASA ACHEZEE
 
Bilamakofiiiiii atupendwiii MPwaaaa hasaa tunapobeba yautuuuzimaaa tobaa

Shilole ni mnyamwenzi wa tabora.

ili kuthibitisha kwamba wanaume kanda ya pwani wameisha ameanza kuwachapa makofi?,? wanaume wanokimbia vijitoto vipanya road.
 
Kwa niaba ya wanaume wa DAR na kwa kikao tulichokaa jana jioni katika hoteli ya ROYAL PALM tumejaribu kupitia kwa kina mahusiano ya mwanaume mwenzetu Nuhu Mzuwanda na bibi yake Shishi beib kama anavyojulikana kwa wapenzi wake......tumeona bora tumfungie leseni yake ya uanaume kwa muda hadi pale tume yetu teule itakapo jiridhisha kuwa vile vibao alivyotandikwa vilikuwa ni vya bahati mbaya na sio kwenye harakati za mahaba.....maana tumepitia vifungu vyote vya mahaba hakuna mahali tumeona kuwa makofi na vibao si sehemu ya kuonyeshana mahaba kwa wapendanao bali ni unyanyasaji wa kijinsia......
 
Mahaba nipige nigaragaze kisha unitulizeeeeee na ndudeeeee
 
Inahuuuuuuuuuu haloooooooo mwanaumeeeee vibaooooo maumivuumajaliwaaaaaa nioisheeeemieeeePdidddyyywaMwenziooooo weraaaaaaaaaaa kofinikofihata liwelajimamaawa kofiiiiii weraaaaaaaa. CCC. Dina

Babamchungajikawaombeetafadhalihilonipepolishindweeee
 
kwa niaba ya wanaume wa dar na kwa kikao tulichokaa jana jioni katika hoteli ya royal palm tumejaribu kupitia kwa kina mahusiano ya mwanaume mwenzetu nuhu mzuwanda na bibi yake shishi beib kama anavyojulikana kwa wapenzi wake......tumeona bora tumfungie leseni yake ya uanaume kwa muda hadi pale tume yetu teule itakapo jiridhisha kuwa vile vibao alivyotandikwa vilikuwa ni vya bahati mbaya na sio kwenye harakati za mahaba.....maana tumepitia vifungu vyote vya mahaba hakuna mahali tumeona kuwa makofi na vibao si sehemu ya kuonyeshana mahaba kwa wapendanao bali ni unyanyasaji wa kijinsia......
mfungieni nakofulilakekabisa. Hana adabu
 
Kwa niaba ya wanaume wa DAR na kwa kikao tulichokaa jana jioni katika hoteli ya ROYAL PALM tumejaribu kupitia kwa kina mahusiano ya mwanaume mwenzetu Nuhu Mzuwanda na bibi yake Shishi beib kama anavyojulikana kwa wapenzi wake......tumeona bora tumfungie leseni yake ya uanaume kwa muda hadi pale tume yetu teule itakapo jiridhisha kuwa vile vibao alivyotandikwa vilikuwa ni vya bahati mbaya na sio kwenye harakati za mahaba.....maana tumepitia vifungu vyote vya mahaba hakuna mahali tumeona kuwa makofi na vibao si sehemu ya kuonyeshana mahaba kwa wapendanao bali ni unyanyasaji wa kijinsia......
Haaaaha, Jiji la Dar, Jiji la Raha na Karaha, Jiji la Vigidoro, JiJi la Panya Road, Jiji la wanyoa Viduku, Jiji la wala Pizza na wala miguu na utumbo wa kuku, Jiji lenye Mafuriko hadi City center, ...... sasa jiji la wanaume wapigwao vibao na mashori......!
cc Pdidy
 
Back
Top Bottom