Hahahahaa![]()
Hahahahahahahaaa we are missing you mkwere they were calling you mr chekacheka now we have the one we deserve
Wewe ndio duni wa kupitia maandiko mbalimbali,kila mtu katika nafasi yake ukumbukwa akimaliza jukumu laje au akifa, ndio maana hakuna mtume hata mmoja aluyekubalika akiwa hai,jifubze hilo litakusaidiaWatanzania tunaongoza kwa unafiki sijawai kujua kikwete uwa mnammis kwa lipi
AyaWewe ndio duni wa kupitia maandiko mbalimbali,kila mtu katika nafasi yake ukumbukwa akimaliza jukumu laje au akifa, ndio maana hakuna mtume hata mmoja aluyekubalika akiwa hai,jifubze hilo litakusaidia
Inawezekana kabisa iwe hivo, maana hata kipindi cha jk walimkosoaga sana kama huyu wa sasa!!Bila shaka na huyu akiindoka watu watammiss