Haitakaa ijirudie

Haitakaa ijirudie

JK rais bora kabisa kuwahi kutawala Tanzania
Ungeyasema kipindi chake tusingekuona mnafiki.
Kwanza wote hao waliopita ni zao la aina moja, kila mmoja kuna mazuri yake na mabaya yake.
Unamlinganisha na nani kwa lipi, wakati kila kaongoza kwa kipindi chake tofauti.
Hata wanafunz bora hupimwa kwa mtihani moja kwa wakati mmoja, nje na hapo you cannot compare at all. Itakuwa unafiki tu kama unafiki mwingine
 
Hv tangu aingie mjengoni kule wamefika kweli hawa ndugu zangu
 
Wewe Queer ya nini kuwataja watu ambao hata hawakujui wewe wala jf na siyo walioandika ulichoquote?
Lengo langu sio wao bali ikuguse wewe, mnaudhi sana kutumia lugha chafu humu. Nilitamani ujaribu kuvaa viatu ya yule uliyemtolea lugha chafu ili ujifunze.
Humu kuna watu na heshima zao lkn huwa hamjali hilo sababu hamuonekani mnatupa kila ya aina ya mineno isiyo na staha. Jifunze kuwaheshimu wengine ili uheshimiwe pia.
 
c6c00f249bee0389e9f249329b13c4d6.jpg

Hahahahahahahaaa we are missing you mkwere they were calling you mr chekacheka now we have the one we deserve
Si unaona anavyocheka cheka! walitaka kumshika hata ndevu.....sasa hivi hata kuongea wanaongelea Nairobi... kudadadeki!
 
Lengo langu sio wao bali ikuguse wewe, mnaudhi sana kutumia lugha chafu humu. Nilitamani ujaribu kuvaa viatu ya yule uliyemtolea lugha chafu ili ujifunze.
Humu kuna watu na heshima zao lkn huwa hamjali hilo sababu hamuonekani mnatupa kila ya aina ya mineno isiyo na staha. Jifunze kuwaheshimu wengine ili uheshimiwe pia.

Unatumia poor excuse kunihusishia wazazi katika kitu nilichofanya mimi.
Ni mara ngapi umesikia hili neno?
Umewahi kujihusisha na mpira wa miguu?

Siku mtu akikuandikia quote aliyotoa kwenye kitabu inayosema "Mtu atajivunia ub00 wake bila kujali ukubwa" si utamtukania ukoo mzima?

Nina uhakika miongoni mwa watu ambao hawatukani member wenzao, hata kama wameandika utumbo, na mimi nimo.
 
Kijana usiendelee kunichokoza, kubali ulikosea kutoa lugha chafu.
Ni wapi niliwahi kukujibu vibaya?
Ni nani nimewahi kumtukana?
Sijatukana wazazi wako bali nimesema..waone hiyo post yako
 
Sijasema umenitukana. Wala ikiwa nimewahi kuona umetukana.

Jibu langu lilikua pale uliposema kua hua tunakuja humu kutoa lugha chafu bila kujali watu waliomo.

Mimi na wewe kwenye uzi huu tunaishia hapa.
 
Yaishe but ukiwa unajiheshimu futa au rekebisha hiyo post yako, huyo jamaa ni mwuungwana mno kanyamaza kuonyesha ukomavu wake
 
Bora anakuonyesha chuki hadharan kuliko anaekuchukia huku akikuchekea kuficha chuki zake kwake watu wa pwani siku zote wanatabia hizo za kinafiki bora Mamurra wanakuonesha zahiri ujijue
 
Hivi aliyetuma majeshi kule Zanzibar ni nani? Kipindi cha uchaguzi uliofutwa si ni huyo anayecheka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom