Haika Lawere wa 'Mbezi Garden' apewa Talaka

Haika Lawere wa 'Mbezi Garden' apewa Talaka

Sio kisomi wote itakuwa hawana shida kwenye koo zao, hapo ukoo mmoja ungekuwa apeche alolo sasa mpaka rais angeombwa aingilie kati 😂😂😂😂😂
😅😅 Na kweli hapo umeona oma mbali zaidi, maana wameachana aina ya muachana usio na kelele wala kuumiza in bongo zozo voice
 
Usiogope ndoa, cha muhimu ni kama upo na mali nyingi na unataka kulinda mali zako ikiwa ndoa itavunjika basi cha kufanya ni tafuta mwanasheria na ujifunze kitu kinaitwa prenuptial agreement kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Kisha mweleweshe mtarajiwa (mke mtarajiwa) kuhusu hiyo Pre-nuptial Agreement, kisha atasaini.

Binafsi, mtazamo wangu, sioni ubaya kugawana mali na mtu ambaye nimeanza naye life nikiwa kabwela, nkafunga ndoa na tukajaaliwa kupata kids (coz it's for the sake of our children), hata ikifika point tumeshindwana na haiwezekani tena, basi ni ishu ya kutuliza mihemko na kukaa chini kuongea na makubaliano yakafikika, kisha tukagawana.

So, yaani unataka ukae na mtu 20yrs halafu mkiachana unataka asipate kitu? Daah sio fair at all.
Tanzania prenup haifanyi kazi

Ova
 
Upuuzi tu. Hatumjui na hatuhitaji kuyajua mambo yake. Anatuambia iweje?
Haikuhusu ndio sababu ya makasiriko; Optimistian wamejifunza kutu kuhusu ndoa. Upo wrong forum. Kuna groups za ponograph na dating wanaume wanajiuza ni sehemu sahihi kwako.
 
Hiyo sensa ya Wajane WEngio MASAKI NA MWENGE kulko kwenu hapo Mbagala kibonde maji na kwa mbiku sababu mbona zipo wazi.
MASAKI mtaa mmoja una nyumba kumi , kwenu Kibonde maji ni nyumba moja ya kupanga , yaani ukingia uani kuna wapangaji 15n na choo kimoja cha nje, hivyo mtaa ukiwa na wajane wawili Masaki ni sawa na nyumba moja ya Kwenu madongo poromoka.
Kwamba masaki ndiko kuna wakristo tu ila mbagala kuna waislamu you mean waislamu ni masikini ila wakristo ni matajiri si ndiyo?
 
Duuh!
Enlightment, awareness n.k kwa mwanamke na mambo ya ndoa ni usiku na mchana.
Wanawake kwenye ndoa na maisha wanataka security.Akiwa na uhakika 100% kwamba bila mwanaume anaweza ishi vizuri etc.inahitaji awe na hekima ya Ki-Mungu, akiwa na akili nyepesi au za kihunihuni, Ndoa inaisha mapema tu.Na hawana mchezo wala huruma.
Mke sio dada ako, mama ako, ndugu yako.
Karibuni chamani.
 
Tanzania prenup haifanyi kazi

Ova
Unao uhakika?

Ova

Ndiyo, hatuna sheria rasmi kama US, Europe au Australia, ila ikiwepo na ikijengewa hoja vizuri na mwanasheria makini inaweza kutumika kama mkataba mwingine wowote ule na ikalindwa na sheria za mikataba.

Japo pia kifungu cha sheria ya ndoa, 114 kitamsaidia Jaji kuhakiksha mali itagawiwa kwa kufuata:-
1. Mchango wa kila mwanandoa baada ya kufunga ndoa (hapa mali zilizopatikana kabla ya ndoa hazitaguswa)
2. Mahitaji ya watoto (ikiwa watoto wapo umri chini ya 18)
3. Mila na desturi (ambapo hapa itategemea ndoa ilifungwa vipi, je ni Kimila, Kidini, Kiserikali, n.k) ambapo miongozo husika ya mila, kidini, n.k itaheshimiwa ili kila mwanandoa asionewe kila mtu apate according to mchango wake.

So, hapa TZ sio kweli kwamba Prenup hazifanyi kazi kabisa, japo hazina nguvu kama US, Europe au Australia. Coz sheria zetu bado haziitambui Prenup rasmi, ila ikiwepo na ikijengewa hoja vizuri, Jaji anawezaiconsider pamoja na factors nyinginezo ili haki itendeke ili kila mtu asionewe. Na kila mtu apate mgao according to input/contribution yake.

Na sio mgawo 50 50 kama watu wanavyodai mtaani.

ila pamoja na yote, msiogope ndoa vijana. Bado kuna namna nyingi tu unaweza kuzifunga mali zako ili zisifikiwe na ndoa.

Sheria huwa haijanyooka, ni swala la kuzifahamu sheria kutafuta loophole, kujenga hoja na kuidefend, that's it.

I stand to be corrected.
 
Unao uhakika?

Ova

Ndiyo, hatuna sheria rasmi kama US, Europe au Australia, ila ikiwepo na ikijengewa hoja vizuri na mwanasheria makini inaweza kutumika kama mkataba mwingine wowote ule na ikalindwa na sheria za mikataba.
Japo pia kifungu cha sheria ya ndoa, 114 kitamsaidia Jaji kuhakiksha mali itagawiwa kwa kufuata:-
1. Mchango wa kila mwanandoa baada ya kufunga (hapa mali zilizopatikana kabla ya ndoa hazitaguswa)
2. Mahitaji ya watoto (ikiwa watoto wapo umri chini ya 18)
3. Mila na desturi (ambapo hapa itategemea ndoa ilifungwa Kimila, Kidini, Kiserikali, n.k) ambapo zitaheshimiwa miongozo yao ili kila mwanandoa asionewe.

So, sio kweli kwamba hazifanyi kazi kabisa, japo hazina nguvu kama US, Europe au Australia. Coz sheria zetu bado haziitambui Prenup rasmi, ila ikiwepo na ikijengewa hoja vizuri, Jaji anawezaiconsider pamoja na factor nyinginezo ili haki itendeke ili kila mtu asionewe. Na kila mtu apate mgao according to input/contribution yake.

Kwa kifupi kila mtu atapewa according to mchango kwa mali zilizopatikana baada ya ndoa.
Na hakunaga 50 50 kama watu wanavyodai mtaani.

ila pamoja na yote, msiogope ndoa vijana. Bado kuna namna nyingi tu unaweza kuzifunga mali zako na ndoa isizifikie.

Sheria huwa haijanyooka, ni swala la kuzifahamu sheria kutafuta loophole, kujenga hoja na kuidefend, that's it.

I stand to be corrected.
Tushapitia huko mzee kwenye mambo ya ndoa

Ova
 
Wabongo bana, Hawa Wanandoa hawajasema sababu ya wao kuachana ila watu wamesha concludena kuweka sababu1

Hawajataja mali zao wala Properties Distribution among them ila watu wameshajadili

Je wangesema wao???🤣🤣🤣
Mapenzi/mahusiano hu expire mzee 😄

Ova
 
Ndoa ni mkataba baina ya watu wawili, mmojawapo akikiuka mkataba, lazima mkataba uvunjwe.
 
Ubinafsi, kukosekana kwa uaminifu, uvumilivu, upendo, furaha, amani, kuto kuheshimiana na kuchukuliana, nk; huchangia sana wanandoa kuifikia hii hatua ya hovyo kwenye maisha.
 
Back
Top Bottom