Haika Lawere wa 'Mbezi Garden' apewa Talaka

Haika Lawere wa 'Mbezi Garden' apewa Talaka

Hiyo ingekuwa ndio sababu basi ndoa zote zingevunjwa kwa sababu hiyo hiyo moja. Alafu mhusika hajasema sababu ya yeye kuachana na mzazi mwenzie. Why are you making up stories??
Talaka imetoka mahakamani, nakala ya hukumu ni public document, unataka na ya wazazi wako iwekwe hapa?
Unataka kutishia nyau kwamba kusiwe na mawazo huur na mjadala na namna ya kuishi kwenye ndoa?
Unajua kwamba zaidi ya 66% ya ndoa ni marafiki wanaishi nyumba moja ila siyo ndoa na kila mmtu anakuwa na mchepuko wake?

#Elimika.
 
Ikifika hapa ndio utajua TEAM KATAA NDOA WANA FACTS. Hapo huyo mjuba hajataka kutueleza namna walivyopiga pasu mali za ndoa "Merital properties". Hapo huyo bidada kaondoka na settlement ya maana, mali na biashara bila kujali nguvu yake katika kuchuma hizo mali. Kapata mali kwa kuhama "by induction"

Nje ya mada: Taraka ni wizi kwa mwanaume. Hongera sana Haika, unapiga hesabu zako vizuri. Kina manka, haika ni mabingwa wa hizi kazi. Oa tena mkali, uibiwe tena.
Usiogope ndoa, cha muhimu ni kama upo na mali nyingi na unataka kulinda mali zako ikiwa ndoa itavunjika basi cha kufanya ni tafuta mwanasheria na ujifunze kitu kinaitwa prenuptial agreement kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Kisha mweleweshe mtarajiwa (mke mtarajiwa) kuhusu hiyo Pre-nuptial Agreement, kisha tengenezeni kijimkataba flani chenu mtakachokitumia just in case mkiachana.
Pia mkubaliane kuna mali za ndoa na mali binafsi, mkubaliane vitu mtakavyo-share.

Binafsi, mtazamo wangu, sioni ubaya kugawana mali na mtu ambaye nimeanza naye life nikiwa kabwela, nkafunga ndoa na tukajaaliwa kupata kids (coz it's for the sake of our children), hata ikifika point tumeshindwana na haiwezekani tena, basi ni ishu ya kutuliza mihemko na kukaa chini kuongea na makubaliano yakafikika, kisha tukagawana.

So, yaani unataka ukae na mtu 20yrs halafu mkiachana unataka asipate kitu? Daah sio fair at all.
 
Nimeiona Post ya Phrases nimeshangaa sana yaani nilikuwa nawafatilia wote wawili na nilikuwa najua wapo pamoja ,kumbe walishaachana 4 yrs ago.

Ila Jamaa watoto wake anawasomesha expensive schools nje ya nchi ,kuna mwanae mmoja ndiyo alikuwa bingwa wa hesabu akawa anashangaa inakuwaje watu wanafeli hesabu wakati ni Somo Rahisi kuliko yote.


Haika ana pesa nyingi sana halafu inaonekana kama mjuaji na phrases naye ana pesa , kwahiyo hapo submission hakuna ila tangu waachane hakuna mtu aliyejua labda watu wake wa karibu maana mitandaoni sometime unawaona wamepiga picha pamoja na watoto wao.
 
YAAN KILA.MTU ANGEACHIKA AKAJA HUKU JF KUNGEJAA POST NYINGI SANA SANA YAAN HUMU KUNA WATALAKA WA KUTOSHA SEMA WAMEKAA KIMYAAAA

NANYIE MUNGU AWABARIKI SANA KWA UKIMYA WENU

😂 😆
😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂
 
Hawa watto wamesoma FEZA , ni wanafunzi bora Tanzania na pia ni wapo vyuo vikubwa Ulaya kuiwakilisha Tanzania.
Mama yao ni mmilii wa Mbezi Garden , wamegawana na mume baada ya kuachana lakini ni muhimu sana kwa wanaume kuwa makini na hizi ndoa za kuoana mkiwa chuo, unakuta binti ni bikra ama wewe ndio mwanaume wa pili kupita hapo, ikifika siku DUNIA IKAMFUNGUKIA mnaachana maana atakutana na fupi, ndefu, nyembamba na nene.
Kbsa hasa, huwa nasema mwanamke bikra ukimuoa ni hatari sana , akianza kucheza nje ananasia huko na haoni Hatari kbsa ,
 
watanzagiza wamegawanyika sehemu sehemu kubwa 2, muslims au mila mila and asilimia ndoogo sana Christian, na mila mila ni de facto muslim, na ndiyo maana wanatawaliwa na kupagazwa na foreign muslims kama rostamu au zanzibaris ...
Jifunze kuwa objective na usiwe judgemental kwenye mijadala
Kama una urafiki lawyer muulize ni ndoa za watu Gani zenye migogoro zipo mezani pale. Zikisubiri uamuzi wa mahakama?
Unaweza pia tembelea kile kituo Cha mahakama jumuishi pale temeke
 
Jifunze kuwa objective na usiwe judgemental kwenye mijadala
Kama una urafiki lawyer muulize ni ndoa za watu Gani zenye migogoro zipo mezani pale. Zikisubiri uamuzi wa mahakama?
Unaweza pia tembelea kile kituo Cha mahakama jumuishi pale temeke
Waumini wa Yesu wana migogoro mingi kwakuwa wao wana amini mke mmoja mume mmoja wakati wale wanao amini Mtume wana oa mpaka wake wanne, hivyo mke huyu akileta shida anakwenda kwa mwengine.
 
Waumini wa Yesu wana migogoro mingi kwakuwa wao wana amini mke mmoja mume mmoja wakati wale wanao amini Mtume wana oa mpaka wake wanne, hivyo mke huyu akileta shida anakwenda kwa mwengine.
Mm kama mtu niliyefanyia kazi hayo maswala nakukatalia mpaka kesho ukweli ni kwamba hao wanaomwamini yesu ni waumini pia wa Mali kuliko utu.
Masaki, mwenge na kwingine Kuna wajane wengi kuliko mbagala na kwingine unajua sababu
Kuna upande watu wanaoana na kwingine wanao.
Fanya research
 
Back
Top Bottom