Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,130
- 6,409
Iko privet sana... maswala ya ndoa magumu...
Wa MWISHOKulingana na maelezo yako basi mambo ya wananwake magumu sana. (Unakuta ni bikra au wewe ndio mwanaume wa pili). Sasa uwe wa ngapi ndio salama?!
Dah we acha tu,Mkuu ,mie sisemiSana mkuu. Ndoa ni nzuri sana lakini mkifika kwenye talaka ndio utajua hujui hasa mwanaume. 😁
Japo wameachana mpaka kutalakiana leo ndo niliona hiyo post ya mzee magesa na bibiye Haika naye sijawahi sikia akizungumzia ndoa yake udhaifu wake kama wafanyavyo wnawake walio wengi,kakutana na bomba ya maana itakuwa
...napitatu
yaan hii dunia watu wanakaa miaka 21 wanaachana na kuna watu wanajazana kwa mwamposa kuhan MUSA
SUGUYE
" WANAOMBA MUNGU AWARUDISHE WAUME ZAO WAMEKIMBIA AISEEEE^^
Suala mtambuka, jiandae kisaikolojia kupata mwanamke kwa wastani wa chini kishatembea na wanaume 5, hakika utakuwa na amani kwenye ndoa, ila ukisha muoa, hakikisha unamlinda tu wale waliomtoa bikra wasirudi maana hawezi kusahau aliyemtoa bikra mpaka anaingia kaburini na aliyemtoa akija hatongozi, mwanamke analegea kama mbwa kwa chatu.Kulingana na maelezo yako basi mambo ya wananwake magumu sana. (Unakuta ni bikra au wewe ndio mwanaume wa pili). Sasa uwe wa ngapi ndio salama?!
YAAN KILA.MTU ANGEACHIKA AKAJA HUKU JF KUNGEJAA POST NYINGI SANA SANA YAAN HUMU KUNA WATALAKA WA KUTOSHA SEMA WAMEKAA KIMYAAAA
NANYIE MUNGU AWABARIKI SANA KWA UKIMYA WENU
😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂
Ndoa nyingi zimekufa zamani za kale, watu wanaishi kusogeza sikuwatu wamedumu kwenye ndoa 21yrs alf wanaachana kirahisi tu🤦♀️ na wanaamua kumove on kila mtu anaendelea na issue zake,,,
nimejifunza kitu hapa Hata najua basi pita na huku we mkenya ujifunze vitu
Hadi talaka itolewe kuna sababuTalaka
Nimejifunza kitu watu wameeachanawatu wamedumu kwenye ndoa 21yrs alf wanaachana kirahisi tu🤦♀️ na wanaamua kumove on kila mtu anaendelea na issue zake,,,
nimejifunza kitu hapa Hata najua basi pita na huku we mkenya ujifunze vitu
Tatizo jamaa yetu hajatuambia inabidi body count ya mwanamke isome ngapi ndio awe mwanamke salama wa kuolewa.
Sasa uoe mwanamke ambae ashatumika na minimum approximation ya wanaume watano halafu ufanye kazi ya kumlinda asifuatwe na maex wake, kwanini usioe tu bikira kuondoa huo usumbufu. Maelezo yako yanaonyesha mwanamke used ana uwezekano mkubwa zaidi wa kuchepuka kwa sababu bado ana kumbukumbu za mambo aliyoyafanya na maex wakeSuala mtambuka, jiandae kisaikolojia kupata mwanamke kwa wastani wa chini kishatembea na wanaume 5, hakika utakuwa na amani kwenye ndoa, ila ukisha muoa, hakikisha unamlinda tu wale waliomtoa bikra wasirudi maana hawezi kusahau aliyemtoa bikra mpaka anaingia kaburini na aliyemtoa akija hatongozi, mwanamke analegea kama mbwa kwa chatu.
kwa kweli kikubwa amanj ya moyo tuNimejifunza kitu watu wameeachana
After 21yrs ya ndoa 🙌
#Watu wanakuja na kuondoka
Ishi humo mamykwa kweli kikubwa amanj ya moyo tu
Sio kisomi wote itakuwa hawana shida kwenye koo zao, hapo ukoo mmoja ungekuwa apeche alolo sasa mpaka rais angeombwa aingilie kati 😂😂😂😂😂Sema wameachana kisomi sanaaa..
sema mambo ya ndoa ukiwaza sana na ukiona mambo yake power inakata aisee
Anaandika MUME (Phares Magesa):
Watu wengi kwa muda mrefu zaidi ya miaka 4 sasa wamekuwa wakiuliza maswali katika baadhi ya posts zangu mama wa watoto hawa mbona hawamuoni ? kwenye picha nyingi ukiacha chache chache sana za matukio muhimu au labda hata kwenye posts za mama yao pia labda baadhi ya watu nao wanauliza/wanajiuliza swali kama hilo .
Ukweli upo hivi;
Mwaka 2001 Phares Magesa na Haika tulioana na ndoa ilifungwa katika Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT), mtaa wa Ally Khan, Upanga karibu na DIT au Regency Hospital, sherehe ya harusi baadae ilifanyika ukumbi wa Diamond Jubilee na kuhudhuriwa na watu takribani 1,000 wakati ule, sherehe ilifana sana MC alikuwa FomaFoma.
Wakati namuoa Haika alikuwa ni Mwanafunzi anasomea Shahada ya kwanza Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) na akamaliza vizuri licha ya kuwa kwenye ndoa akiwa mwanafunzi, na tukiwa ndani ya ndoa nikamshauri asiridhike na elimu aliyoapata na nikamruhusu akasome Shahada ya Uzamili, akaenda Salford University, Uingereza nako pia akamaliza vizuri masomo yake na kwa neema ya Mungu baada ya hapo tukajaliwa watoto wazuri watatu, wawili wa kiume Paxton na Haris na mmoja wa kike Princess.
Mungu amekuwa mwema sana kwetu ametusaidia sana kwa kutuwezesha kufanya kazi na biashara zetu kila mmoja kwa bidii, maarifa, nidhamu na kujituma kwa hali ya juu na kufanikiwa kadri Mungu alivyotujalia.
Baada ya kuwa katika ndoa kwa miaka 21, yaani 2001 hadi 2022 Mahakama ya Mwanzo, Kawe, Kinondoni ilihitimisha shauri la talaka lililokuwa mahakamani hapo kwa takribani mwaka mmoja na kuanzia 2022 kila mmoja akawa huru na kwa sasa tunashirikiana vizuri kulea watoto wetu (Co-Parenting) na tunashukuru Mungu kwa yote.
Ushauri kama hakuna sababu ya msingi ya kuachana na mwenza wako, sishauri wanandoa wowote hasa kama mkiwa na watoto kufikia kirahisi uamuzi wa kuvunja ndoa ni mpaka pale itakapokuwa hiyo ndio njia salama na ya lazima kwa mustakabali mwema wa pande zote tatu yaani Mke, Mme na Watoto.
Usiingie kwenye ndoa kwa nia ya kutaka kuonekana na wewe umo au kwa nia ya ku trend, pia usiachane na mtu kwa sababu hizo hizo.
Mbarikiwe wote mlio kwenye ndoa zidumu na mnaotaka kuingia pia ndoa zidumu,tumtangulize Mungu na kujali famlia zetu.
Ahmad Issa Michuzi on Instagram: "Msikilize kijana huyu Haris Phares Magesa ambaye ni mto wa Nguli wa mambo ya 'IT' kitaifa na Kimataifa @pmagesa akishangaa wanaofeli mitihani ya @nectatz,@nactvet haris_with_one_r_"
View attachment 3561971![]()
#kaziiendelee | Phares Magesa(B.S,CCNA,CIW,MBA,IEng,MIET,MIEEE)
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kazi kubwa sana ya kuitangaza Tanzania kimataifa, anastahili kuungwa mkono kwa kila mmoja kuwajibika katika eneo lake la kazi au biashara ili kusaidia juhudi za kukuza na kuendeleza uchumi wetu.. Tanzania Royal Tour Premiere 18th April, 2022 #kaziiendeleewww.linkedin.com