Haijalishi Edward Lowassa atatuletea Maendeleo au laah!

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,401
Wamarekani walimchagua obama si kwa sababu waliamini atawaletea maendeleo bali walitaka kuithibitishia dunia kua marekani ni ya kila mtu haijalishi asili yake ikoje

Sasa kwa Tanzania sio kwamba tunafanya mabadiliko tukiamini lowasa wa chadema na ukawa watatuletea maendeleo

Bali tunaichagua chadema na ukawa kuithibitishia dunia kua tanzania sio mali ya ccm milele
 
Pia tutachagua ukawa kuondoa wabunge hovyo wa ndiooooooo,wasinziaji na wagonga meza pia kuzamisha ili zimwi linalokula asali ya nchi na kunywa maziwa yote ya nchi i na kuwaacha wanachi wakiteseka,bei juu,huduma duni za afya,elimu,migogoro ya ardhi,ufisadi,RIP CCM
 
Nani alikudanganya kama kura nyingi za Obama zilitoka kwa watu wenye mtazamo unaotaka kutuaminisha.

Hoja yako inathibitisha Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.

Nani alikuambia kama Tanzania niya CCM pekee?

Nadhani wewe unasumbuliwa na inferiority complex!

Mimi ninafahamu Tanzania niya watu wote lakini Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.
 
Bado haujachimba vilivyo. Vinginevyo utaendelelea kulilia serukal na kufa maskini. Jitambue
 
Wamarekani walimchagua obama si kwa sababu waliamini atawaletea maendeleo bali walitaka kuithibitishia dunia kua marekani ni ya kila mtu haijalishi asili yake ikoje

Sijui nani alikudanganya kuwa Wamarekani walimchagua Obama kwa sababu hiyo; au ndio stori mnazopigishana kijiweni? ingekuwa hivyo walirudia kumchagua tena kwanini?
 
Nani alikudanganya kama kura nyingi za Obama zilitoka kwa watu wenye mtazamo unaotaka kutuaminisha.

Hoja yako inathibitisha Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.

Nani alikuambia kama Tanzania niya CCM pekee?

Nadhani wewe unasumbuliwa na inferiority complex!

Mimi ninafahamu Tanzania niya watu wote lakini Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.

Na mimi nasema Magufuli na ccm yake hawafai kuongoza Tanzania tena
 
Nani alikudanganya kama kura nyingi za Obama zilitoka kwa watu wenye mtazamo unaotaka kutuaminisha.

Hoja yako inathibitisha Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.

Nani alikuambia kama Tanzania niya CCM pekee?

Nadhani wewe unasumbuliwa na inferiority complex!

Mimi ninafahamu Tanzania niya watu wote lakini Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.

Hakuna jinsi Lowassa lazima awe rais wako hata kama unaona hafai, watz wengi tunaona anafaa na tutampa ushindi wa mtikisiko.
 
Wamarekani walimchagua obama si kwa sababu waliamini atawaletea maendeleo bali walitaka kuithibitishia dunia kua marekani ni ya kila mtu haijalishi asili yake ikoje

Sasa kwa Tanzania sio kwamba tunafanya mabadiliko tukiamini lowasa wa chadema na ukawa watatuletea maendeleo

Bali tunaichagua chadema na ukawa kuithibitishia dunia kua tanzania sio mali ya ccm milele

Hatumchagui lowasa kuonyesha ulimwengu hatuko kwenye maonyesho tunahitaji MABADILIKO katika uchumi elimu afya nk.
 
Nani alikudanganya kama kura nyingi za Obama zilitoka kwa watu wenye mtazamo unaotaka kutuaminisha.

Hoja yako inathibitisha Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.

Nani alikuambia kama Tanzania niya CCM pekee?

Nadhani wewe unasumbuliwa na inferiority complex!

Mimi ninafahamu Tanzania niya watu wote lakini Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.
Hata kama hafai kuwa rais tutamchagua hivyo hivyo.
 
Wamarekani walimchagua obama si kwa sababu waliamini atawaletea maendeleo bali walitaka kuithibitishia dunia kua marekani ni ya kila mtu haijalishi asili yake ikoje

Sasa kwa Tanzania sio kwamba tunafanya mabadiliko tukiamini lowasa wa chadema na ukawa watatuletea maendeleo

Bali tunaichagua chadema na ukawa kuithibitishia dunia kua tanzania sio mali ya ccm milele

Wewe ni mmarekani,vichwa vingine hivi....jiulize kwanza hivi tanzania kuna racism kama marekani,je yepi ni matatizo ya wamarekani......
 
Mwenyew anakwambia tutagawana share za madeni, madini makubwa makubwa yataenda nje, hahaha ndo rais wenu huyoo....MAGUFULI FOR CHANGE.
 
We unabishana na Mzee Mwanakijiji anayeishi Marekani kuhusu Obama?
Kweli mna kazi sana kupevusha akili zenu!
Kwani kuishi Marekani ndiyo kuelewa kila kitu,

kama hiyo ndiyo mantiki yako mwambie basi Mwanakijiji aache kutubishia watanzania tulio field tunapomwambia heshima ya Slaa imeshuka sana.
 
Mkuu hebu angalia arguing logic yako. Ngoja nikusaidie. Mada ni kuhusisha Tanzania na mnachodai wamarekani walisema na kufanya kumchagua Obama 2008. Mwanakijiji kawakosoa kuhusu sababu za wamarekani. We ukasema haiishi hapa Tanzania. Sasa hivi unasema masuala ya Dr Slaa. Yaani you are unable to sustain a logical flow in your argument!
Sasa turudi kwenye mada kuhusu madai yenu ya sababu ya wamarekani kumpigia kura Obama.
Mnachokisema ni kunukuu bango moja lililoonekana katika political rally. Lakini hiyo haikuwa sababu kuu ya wamarekani kumchagua 2008. Na sababu walizomchagua 2012 pia zilikuwa tofauti.
Kuelewa hiyo lazima uelewe political history and context ya USA. Uko tayari kurudi shule? Au unataka kushabikia hoja mfu?
 
All in all tarehe 25 Oct kura kwa Lowassa nafikiri ndiyo mada kuu ya thread hii.
 
Hata kama LOWASSA atauza hii nchi ni bora yeye kuliko CCM. Ambao wameshajiwekea mawazo ya kuwa hii NCHI ni yao.
 
Back
Top Bottom