Hata kama LOWASSA atauza hii nchi ni bora yeye kuliko CCM. Ambao wameshajiwekea mawazo ya kuwa hii NCHI ni yao.
Ebu jaribu kusoma ulichoandika,halafu kama kunauwezekano uiedit
Hata kama LOWASSA atauza hii nchi ni bora yeye kuliko CCM. Ambao wameshajiwekea mawazo ya kuwa hii NCHI ni yao.
Hajakosea yuko sahihi kabisa kamandawasua bora Lowassa aiuze tujue moja hatuna nchi kuliko kuendelea na mateso miaka 100 ijayo chini ya wakoloni CCM.Ebu jaribu kusoma ulichoandika,halafu kama kunauwezekano uiedit
Hizo kura chache za malofa atakazopata moja itakuwa yangu, count me in.Bahati nzuri nchi hii ina malofa wachache sana wenye maamuzi kama yako, ambao hataweza kitu !
Wamarekani walimchagua obama si kwa sababu waliamini atawaletea maendeleo bali walitaka kuithibitishia dunia kua marekani ni ya kila mtu haijalishi asili yake ikoje
Sasa kwa Tanzania sio kwamba tunafanya mabadiliko tukiamini lowasa wa chadema na ukawa watatuletea maendeleo
Bali tunaichagua chadema na ukawa kuithibitishia dunia kua tanzania sio mali ya ccm milele
Kajinyea jukwaani huko geitaWamarekani walimchagua obama si kwa sababu waliamini atawaletea maendeleo bali walitaka kuithibitishia dunia kua marekani ni ya kila mtu haijalishi asili yake ikoje
Sasa kwa Tanzania sio kwamba tunafanya mabadiliko tukiamini lowasa wa chadema na ukawa watatuletea maendeleo
Bali tunaichagua chadema na ukawa kuithibitishia dunia kua tanzania sio mali ya ccm milele
Lowasa ndo Rais wetu tushaamua
Ccm totally out 25/10/15,tumechoka kugeuza mbulala wao
lowasa ndio rais wetu... NUKTA...