Ni kweli hii kanuni ipo kote kote,Nadhani hii "sheria" ipo kwa wote wanaume na wanawake...
Niliwahi kusema kuwa kwamba baadhi ya wanaume ama hatujui maana ya kupenda au kutofautisha kati ya kupenda na kutimiza wajibu katika mahusiano.
Babu DC!
......mnh 🙁 astaghafirullah, astaghafirullah... MwanajamiiOne hebu temea chini,.....monkey nini? Hahaha....
JIBU la Mbu hapo anasema, SI KWELI!
......swahiba Dark City, with all due respects, na pamoja na uzi huu kumkusudia 'mwanaume'......wembe huu 'chapa mamba,' unakata both ways!
Si wanawake, si wanaume wote tuna infatuations na affections lakini linapokuja suala la Life partner, kuna vigezo vinavyomsimamia kila mmoja mwana wa adamu.
Swaumu njema.
😉
Nimeshasema hapo juu swahiba...
Wakati mwingine tunajikuta tupo tupo tu....
Babu DC!!
........ Sawasawa, nimekuelewa vyema hapo sasa.
......mnh 🙁 astaghafirullah, astaghafirullah... MwanajamiiOne hebu temea chini,.....monkey nini? Hahaha....
JIBU la Mbu hapo anasema, SI KWELI!
......swahiba Dark City, with all due respects, na pamoja na uzi huu kumkusudia 'mwanaume'......wembe huu 'chapa mamba,' unakata both ways!
Si wanawake, si wanaume wote tuna infatuations na affections lakini linapokuja suala la Life partner, kuna vigezo vinavyomsimamia kila mmoja mwana wa adamu.
Swaumu njema.
😉
Niliwahi kusema kuwa kwamba baadhi ya wanaume ama hatujui maana ya kupenda au kutofautisha kati ya kupenda na kutimiza wajibu katika mahusiano.
Babu DC!
................. Hahahaha Mbu mie jamani nimeuliza hahahhah NA pia nakubaliana na wewe kuwa kuna vigezo vya kuzingatia but ni muda gani huwachukua kwenu ninyi mkajua kuwa huyu hakidhi vigezo (kama alivyosema Babu Dark City) au hakidhi? Maana wengine wanakaa hata miaka mitano, ashapikiwa kila pishi na styles za nyani, ngedere zote ashamaliza.
Hahahahahah Mbu sawa hapo ninakuelewa so bado tunarudi kule kule kuwa kama sio ni sio tu. Sasa na kama anavyosema Babu DC kuwa kuna mapenzi (ambayo kama nimemwelewa sawa ni pamoja na hizo pishi na monkey styles) na kujimiza majukumu i.e. kama ni wifey/hubby material sio? Ambayo inaweza isiinclude mapishi na styles hizo za kinyaninyani. Hahahahah......soulmate MwanajamiiOne, achana na wale wa kipindi cha u gelofrendi na u-boifrendi, hata wale waliovalishana pete, aka engaged...kuna wanaovunja uchumba na kuoa/kuolewa na wengine.
Hili somo halijalishi muda, wala halimgusi mw'ume au mw'mke pekee mpenzi wangu. Wote wawili wanahusika kwenye kutoa maamuzi 'magumu!' Ingawa kwa wengi, kumbukumbu taamu (incl za monkey styles) ndio chanzo cha 'stolen moments' na Old flames wao.
😉
Babu DC, I salute you. Mie nadhani wengi huwa mko for kutimiza wajibu zaidi ya kupendwa.......especially pale mnapoamua kutafuta wenzi wa maisha kwa maana ya lifetime partner au nimekosea?
Hahahahahah Mbu sawa hapo ninakuelewa so bado tunarudi kule kule kuwa kama sio ni sio tu. Sasa na kama anavyosema Babu DC kuwa kuna mapenzi (ambayo kama nimemwelewa sawa ni pamoja na hizo pishi na monkey styles) na kujimiza majukumu i.e. kama ni wifey/hubby material sio? Ambayo inaweza isiinclude mapishi na styles hizo za kinyaninyani. Hahahahah
Yes Asnam, once again.. how do you feel.men again.....
It is hard to draw a line.
Ndiyo maana naamini kuwa mahusiano yaliyosimama kwenye misingi ya maslahi with moderate emotions yanakuwa na nafasi nzuri ya kuyakata mawimbi!
Babu DC!!
Lol, .... MwanajamiiOne, hapo kwenye kama sio ni sio tu HAPANA!
Kuna vitu vidogo sana ambavyo kwa ukubwa (umuhimu) wake, waweza sababisha a change of heart....
.....japo (mara nyingi) sio kwa roho mbaya, lakini mapokezi yake kwa anayeachwa kwa tafsiri za haraka haraka yawezekana mhusika akahukumu -hakuwa chaguo!-....
No wonder wengine huamini ndoa ya mtu imeandikwa mbinguni.