donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Umeona eehSafi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha mkuu umeongea kwa hisia sanaHalafu utasikia kidemu kinajibu "kwani kuninunulia tu lazima uwe boyfriend"!!!!. ***** kaombe ikulu kama ni rahisi hivyo.
Hahah jamaa ni babiloniFanaaaleki huyo jamaa anitafute kuna buku kumi
Sasa utahudumia mtu asiyetaka mahusiano nawewe? Siyo pizza tu, hata pipi hauwezi kuitupia gizani.Piza tu ndo povu lote hilo roho ya kimaskin
Umepatia mkuu kwanini nijireSasa utahudumia mtu asiyetaka mahusiano nawewe? Siyo pizza tu, hata pipi hauwezi kuitupia gizani.
Ungejua maskini ndio anayetoa kirahisi wala usingesema hayo...Piza tu ndo povu lote hilo roho ya kimaskin