Hii kubwa kuliko naimezea mate lakini naiogopa pia; 5k GBP ndani ya miezi mitatu inapanda 16x ni zaidi ya 80K GBP!!!!!!!!!!
Mambo iko hukuuuuuuuuu! hahahahaha. dah!:A S 39:
Mkuu kama una hela ya ngama do not gamble kwenye stock exchange kuna co-worker wawili mmoja alikutwa amekufa tu chumbani kwake, mwingine mpaka leo hii anajaribu kurudi kwenye hali ya kawaida kutoka kwenye cardiac arrest. Hii ni michezo ni hatari. Inataka moyo unaponunua share you have lost control ya pesa yako anything can happen.
mPWA WANGU CYBERTEQ HAYA MAZIONGAOMBWE NIYA Professor nani? Hakiyanani sijaelewa kitu hapa kabsaaaaaa, next time uwe una ni PM ili unieleweshe kabla ya kupost, sasa namna hii unakua unaniaibisha
a good rule for every gamble just toa what you can afford to loose! problem ni pale unapotaka kwenda beyond entrepreneurship!Mkuu kama una hela ya ngama do not gamble kwenye stock exchange kuna co-worker wawili mmoja alikutwa amekufa tu chumbani kwake, mwingine mpaka leo hii anajaribu kurudi kwenye hali ya kawaida kutoka kwenye cardiac arrest. Hii ni michezo ni hatari. Inataka moyo unaponunua share you have lost control ya pesa yako anything can happen.
Hebu weka kwenye maandshi na lugha ya kiswahili ili twende sawa.