Hahaaha Kumbe tamaduni ya kutahiriwa imetokea Africa!

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,564
2,000
Leo nilikuwa nasoma mambo mawili matatu juu ya Mababu wa kale wa Misri, nikaona jambo nililoona la ajabu kweli!
Screenshot_2017-01-03-21-11-43.png

Ni kuhusu tamaduni/ Ustaarabu wa Kutahiliwa,
Nimepata kujua kuwa Wamisri waliwafunza weupe ujuzi huo zaidi ya miaka 4000 iliyopita!..
Ushahidi upo kwenye michoro iliyoachwa na mababu hao kwenye Pyramid za Misri.

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,469
2,000
Mitume wametokea maeneo hayo kwahyo lazima tamaduni na ustaarabu huo utokee huko

Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,555
2,000
Leo nilikuwa nasoma mambo mawili matatu juu ya Mababu wa kale wa Misri, nikaona jambo nililoona la ajabu kweli!
View attachment 453950
Ni kuhusu tamaduni/ Ustaarabu wa Kutahiliwa,
Nimepata kujua kuwa Wamisri waliwafunza weupe ujuzi huo zaidi ya miaka 4000 iliyopita!..
Ushahidi upo kwenye michoro iliyoachwa na mababu hao kwenye Pyramid za Misri.
Historia yote tangu Ulimwengu umeumbwa, na hata na maendeleo yote yapo ndani ya Mapiramidi ya Misri

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
508
250
Hili ni kweli na liliandikwa na mwanahistoria Herodotus aliandika kabla ya ukristu na uislamu.

Tamaduni nyingi za kutahiri ziko Afrika kuliko bara jingine lolote.

Mchizi

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
1,834
2,000
Leo nilikuwa nasoma mambo mawili matatu juu ya Mababu wa kale wa Misri, nikaona jambo nililoona la ajabu kweli!
View attachment 453950
Ni kuhusu tamaduni/ Ustaarabu wa Kutahiliwa,
Nimepata kujua kuwa Wamisri waliwafunza weupe ujuzi huo zaidi ya miaka 4000 iliyopita!..
Ushahidi upo kwenye michoro iliyoachwa na mababu hao kwenye Pyramid za Misri.
Weupe gani unaowazungumzia hapa? Maana wazungu hawatahili

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
508
250
Hata ukeketaji umeanza huku huku Afrika
yote ni maarifa
Hili suala nililiongea kirefu kwenye topic yangu ya Chanzo cha dini na falsafa rejea maoni yangu kuhusu hii issue kwenye post yangu.

Wandungu, kwanza sitaki hii topic ijadili kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu. Naomba msiharibu uzi huu. Katika topic hii nataka kuonyesha kuwa kiini cha dini za kiislamu na kikristu ni mawazo ya waafrika wa kale. Baadae nitaingia kwenye falsafa na nitaonyesha kuwa falsafa/ science ya &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];wagiriki' ilitoka Misri kwa kiasi kikubwa kama wagiriki wenyewe walivyosema.

Tuanze na Dini.
Msingi wa uislamu na ukristu na Judaism uko kwenye agano la kale, na agano la kale linasema kwamba Musa, ambaye aliwapa amri kumi za Mungu na kuwatoa wayahudi utumwani Misri aliishi Misri ( Afrika) tangia kuzaliwa mpaka miaka zaidi ya 40. Kama aya hii inavyosema hapa chini,

ACTS 7:20-21
&[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];At that time Moses was born, and he was no ordinary child.d For three months he was cared for by his family. 21When he was placed outside, Pharaoh's daughter took him and brought him up as her own son. 22Moses was educated in all the wisdom of the Egyptians and was powerful in speech and action.

Sasa hapa tunaona kuwa Moses alizijua mila zote za wamisri , isitoshe alizaliwa misri, na bila shaka mtizamo wake ulikuwa wakimisri ( wa kiafrika) zaidi ya kuwa ' kiisraeli' kuna hata wanazuoni wengine wanaosema kuwa Moses alikuwa &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];mwafrika' lakini that is an argument for another day.

Je wamisri wa kale walikuwa ni watu gani na walifananaje?

Himaya ya wamisri ilianza takriban mwaka 3100BC na kupotea / kufa takriban 500 BC.Kufa kwa himaya ya Wamisri kulitokana na nchi kuvamiwa na wa hykos, wasiria, wagiriki, warumi na mwisho waarabu. Kwa hiyo wamisri wanaoishi sasa hivi misri sio wale waliokuwa wanaishi miaka ya zamani kabla ya 500 BC. Kama vile wamerekani wanaoishi sasa hivi USA sio walewale waliokuwa wanaishi miaka 1000 iliyopita kabla ya Columbus. Wamisri wa zamani kujumuisha mafarao walikuwa ni waafrika weusi na uthibitiso upo kwenye:

/>Lugha ya wamisri wa zamani

imeshakufa( sasa hivi lugha inayotumika ni kiarabu) lakini maandishi waliyoyaacha yanaweza kusomeka, na mfumo wa lugha yao umeshathibitishwa na wataalamu wa lugha( without exception) kuwa ni lugha ya kiafrika. Lugha hii ina uhusiano wa karibu na lugha zifuatazo za Afrika.
- Hausa ( Nigeria)
- Oromo (Ethiopia)
- Borana (Kenya)
- Iraqw ( Tanzania)
- Gorwaa (Tanzania)
- Kisomali
- Lugha jingi za Chad ( Chadic languages)
- Na nyingine nyingi ambazo sina muda wa kizitaja hapa

Sasa kama wazungumzaji wa hizi lugha ni waafrika weusi basi bila shaka wamisri wa zamani walikuwa weusi kwa ssababu lugha yao ipo kwenye group hilo hilo. Logic hiyohiyo unaweza ukaitumia kwa lugha za kibantu. Tunajua washona wa Zimbabwe ni waafrika kwa sababu wanaongea kibantu, ambacho ni group hihiyo na Kiswahili.

2)

Tamaduni za kutahiri au jando

Sasa turudi kwa Musa. Bila shaka kutahiri ni tamaduni za kiafrika na si za kiyahudi au kiislamu kama wengi wanavyofikiri. Vilevile, kutahiri ni mojawapo ya uthibitisho unaoonyesha kwamba Wamisri walikuwa waafrika na Musa alijifunzia kutahiri Misri na kuwapa utamaduni huu wayahudi . Waislamu walijifunza kutoka kwa wayahudi. Proof ni hii hapa.
Miili ( Mummies) ya wamisri wa kale inaonyesha kutahiriwa, na hata kuna picha kwenye mapiramidi zinazoonyesha kutahiri. Wamisri walitahiri kabla hata &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];Musa' kuzaliwa. Afrika kuna makabila mengi sana yanatahiri kuanzia wazulu ( ambao sio waislamu) kuja kwa wamasai bila hata kutaja makabila lukuku Afrika ya magharibi. Rituals ( tamaduni) za kutahiri Afrika hazihusiani kabisa na uislamu au uyahudi. Wataalamu wa anthropology wanasema kwamba ukitaka kujua chanzo cha kitu chochote angalia diversity au mkusanyiko mkubwa wa hicho kitu uko wapi.

Ukiangalia dunia nzima, afrika ndio yenye tamaduni nyingi za kutahiri zaidi ya sehemu nyingine duniani . Kwa hiyo hakuna shaka kuwa Musa alijifunza kutahiri kwa waafrika alipokuwa Misri na kuwafundisha wayahudi. Hii ni proof tosha ya commonality au uwiano wa tamaduni za wamisri na waafrika wengine, na inaonyesha kuwa wamisri walikuwa waafrika.
Vilevile, , Herodotus (490-425 BC) mwanahistoria mahiri wa kigiriki ambaye wanahistoria wanasema ndiye baba wa historia ya ulaya, anathibitisha hayo yote niliyoyasema:

"For the people of Colchis are evidently Egyptian, and this I perceived for myself before I heard it from others. So when I had come to consider the matter I asked them both; and the Colchians had remembrance of the Egyptians more than the Egyptians of the Colchians; but the Egyptians said they believed that the Colchians were a portion of the army of Sesostris. That this was so I conjectured myself not only because they are dark-skinned and have curly hair (this of itself amounts to nothing, for there are other races which are so), but also still more because the Colchians, Egyptians, and Ethiopians alone of all the races of men have practised circumcision from the first. The Phenicians and the Syrians who dwell in Palestine confess themselves that they have learnt it from the Egyptians, and the Syrians about the river Thermodon and the river Parthenios, and the Macronians, who are their neighbours, say that they have learnt it lately from the Colchians. These are the only races of men who practise circumcision, and these evidently practise it in the same manner as the Egyptians. Of the Egyptians themselves however and the Ethiopians, I am not able to say which learnt from the other, for undoubtedly it is a most ancient custom; but that the other nations learnt it by intercourse with the Egyptians, this among others is to me a strong proof."

Kwa kifupi nimeonyesha kuwa:
1) Moses alichukua tamaduni za Afrika ( mojawapo ikiwa kutahiri) ambayo ni msingi mmojawapo wa uislamu na uyahudi.
2) Kwamba Wamisri wa kale walikuwa ni waafrika weusi na nimeprove kwa kuonyesha uwiano katika lugha. Kuna proofs nyingi za uafrika wa wamisri lakini nitaziongeza baadae kama kuna mashaka.

Nitakaribisha maswali halafu nitaendelea na mambo mengine ambayo dini za uislamu na ukristu zimegeza kutoka Afrika.

Nakaribisha maswali

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom