Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Hahaaaa nahisi ngumi zilizuka hapoNimekumbuka wa Nyalunkole walikuwa wanakwenda Dar, wamefika Morogoro basi limesimama ili wapate rizk, wameagiza chakula wakapewa bill wakalipa, baada ya kula wanabeba sahani, mwenye hoteli kuja juu wanamshangaa "mwe chakula unanunua? Sisi kwetu mgeni akija anapewa chakula bure, pesa tuliyolipa ni vyombo wee".
Hahaha! Dah Umenichekesha sana leoNimekumbuka wa Nyalunkole walikuwa wanakwenda Dar, wamefika Morogoro basi limesimama ili wapate rizk, wameagiza chakula wakapewa bill wakalipa, baada ya kula wanabeba sahani, mwenye hoteli kuja juu wanamshangaa "mwe chakula unanunua? Sisi kwetu mgeni akija anapewa chakula bure, pesa tuliyolipa ni vyombo wee".