Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Hiyo ni 'photoshop' bwana
Lazima Udharaulike kama hujui hata kuandika unachokiongea.Wafrika tuna tharaulika sana!!
Sent from my BlackBerry 9360 using Jamie's
2nataka kuibiwa mchana kweupe peeeeh na mambo ya photoshop hahahahaaaaaaaaaaaaa...............sidanganyiki. Hii ni namna tu ya kumdhalilisha mwafrica na nyinyi mnaona kichekesho wakati wazungu kwa mtindo huo wanawadharau waafrica wote bila kujali kua ndio wewe wa kwenye picha au mmbatu mwingine somewhere in africa