hahaa teh teeeh hii imenichekesha sana adi machozi kunitoka

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
coming live in Dar es salaam airports sooooooonnn
grin.gif

374728_aip_jpgbdb7be673355cfbb743c2a7d3ead0c4e
0000.jpeg 0000.jpeg

apo ni uwanja wa ndege,mahali ndege zinaposhukia na kupanda,wafanyabiashara nao wamejimix,africa bhana hahahaaaaaaaaa
 
....hahahahahaaaaaaahhhhaaaaauuuuuuuuaaaaaaaauuuuuuwwwwiiiiii...duuuuu!!
 
Maendeleo haya, mia zote toka kwenye magari hadi kwenye ndege!??
 
Hahaha na hizi fastjet za kubeba chakula........ Hatuchelewi kufika huko lol
 
Wafrika tuna tharaulika sana!!

Sent from my BlackBerry 9360 using Jamie's
 
2nataka kuibiwa mchana kweupe peeeeh na mambo ya photoshop hahahahaaaaaaaaaaaaa...............sidanganyiki. Hii ni namna tu ya kumdhalilisha mwafrica na nyinyi mnaona kichekesho wakati wazungu kwa mtindo huo wanawadharau waafrica wote bila kujali kua ndio wewe wa kwenye picha au mmbatu mwingine somewhere in africa
 
Hiyo picha ni fabricated, hakuna uwiano wa urefu, umbali baina ya watu na ndege...
 
2nataka kuibiwa mchana kweupe peeeeh na mambo ya photoshop hahahahaaaaaaaaaaaaa...............sidanganyiki. Hii ni namna tu ya kumdhalilisha mwafrica na nyinyi mnaona kichekesho wakati wazungu kwa mtindo huo wanawadharau waafrica wote bila kujali kua ndio wewe wa kwenye picha au mmbatu mwingine somewhere in africa

kuna mwafrica aliwai tengeneza ndege?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom