Hadithi za wapagani wa kiarabu ndani ya Quran

Mtapata tabu sana kuuchafua Uislamu, na mtapata tabu sana kuichafua Quran, hii ni dini ya haki , ni dini ya kweli, hizo hadithi zako za kutunga wapelekee wafuasi wenzako wa Mfalme Zumaridi, wewe ni kafiri huwezi kujua utamu wa uislamu lakini Uislamu ndio dini ya haki ndio dini ya wanyonge ndio dini iliowapa haki mpaka wanyama kenge wewe
Ndugu, Mimi sina tatizo na mtu kuamini Uislamu au dini yoyote kila mtu ana uhuru wa imani.

Lakini unaponiita kafiri na kusema mimi ni kenge, ni ishara ya ukosefu wa hoja,sijui madrasa ndio mnafunzwa hivo, maana kipindi nasoma madrasa hatukufundishwa hivo, nilimaliza juzi zote 30 ,hatukufundishwa matusi na kejeli,

Nimehoji hoja zangu kwa utulivu,

Kama imani yako ina nguvu, basi ionyeshe kwa busara na si kwa maneno ya dharau.,hii inafanya hata wengine watilie mashaka Imani yenu

Umesema Qur’an haiwezi kuchafuliwa sawa, basi kwa nini mnapata hasira kila inapoulizwa?😂

Kama kweli ni ufunuo wa Mungu na umehifadhiwa, basi hoja yoyote itashindwa mbele ya ukweli wake., Lakini kama watu wanaanza kulalamika, kuporomoka kwa hasira, na kutukana basi hilo linaashiria kuna jambo haliko sawa kwenye hiyo dini.,mbona wakristo hawapo hivo

Umesema Uislamu ni dini ya haki lakini hilo ni dai, si hoja.

Kila dini duniani inadai kuwa ya haki.

Je, tunawezaje kupima haki ya kweli? Si kwa maneno ya hisia, bali kwa uchunguzi wa historia, maandiko, na matokeo ya ujumbe wake.

Mimi nimeleta uchambuzi wa manabii wa Qur’an ambao hawapo kwenye Biblia,historia,AKIOLOJIA na maandiko ya kale ya kiyahudi ,, na hoja yangu ni kuwa wametokana na hadithi za wapagani.

Kama unadhani si kweli, njoo ukanushe hoja moja baada ya nyingine kwa ushahidi, si kwa matusi.,Si mnasema QURANI imekamilika

Umesema hizi hadithi nipeleke kwa wafuasi wa Mfalme Zumaridi. Hiyo si hoja, ni dhihaka. Naomba tusifike huko, Mimi sihitaji kutoka nje ya mada na hoja zangu,

Ninazungumzia historia ya maandiko, muktadha wa Qur’an, na tofauti na Biblia.

Kama uko makini na unathamini ukweli, utajibu kwa uchambuzi si kwa mzaha.

Mwisho umesema Mimi siwezi kujua utamu wa Uislamu.

Ndugu, mtu hawezi kujua kama kitu ni cha kweli au la kwa sababu tu ni kitamu.,Halafu Mimi ni muislamu niliyezaliwa humo ,najua vingi huenda kuliko wewe,

Heroin ni tamu kwa mwenye kuitumia, lakini si dawa. Mtu anayempenda dikteta anaweza kuona utamu lakini hiyo haimaanishi yuko upande wa haki. Kweli inapimwa kwa uhalisia wake si kwa hisia za mtu binafsi.

Kwa hiyo rafiki, mimi niko tayari kujifunza na kuelewa, lakini sitakubali kuridhika na majibu ya matusi na kejeli badala ya ushahidi.

Kama dini yako ni ya kweli, basi ionyeshe kwa hoja simple tu
 
Adui wa hizi dini mbili sio shetani ila ni wao wenyewe. Ninyi mnaohubiri udini mbona mnawakashifu wenzenu?
Unaweza kuonesha kashfa hapo?

Hivi tukihoji uhalisia ni kashfa?

Kuna lugha mbaya au ya kuudhi nimetumia?
 
Hiyo comment ya Mnefeli Inafaakuwa uzi kabiss mkuu. Kama unasoma between the lines
 
Una hoja ndugu yangu.

Kuna Quran na Hadithi
1. Quran - imeandikwa kwa miaka 23 na ni kidogo kidogo na pale kila mara mtume alipokuwa anashushiwa wahyi na Allah

2. Hadithi - imeandika matendo ambayo mtume aliyafanya na kuangazia maisha yake binafsi kama binadamu pamoja mafundisho yake na wafuasi na makhalifa wake .

Iko tofauti ila ni kitu kimoja.
Bado hujajibu swali langu
 
Mtoa mada anaonekana hajui kuwa maandiko mengi ya Biblia yanaonyesha kuwa kulikuwepo na vitabu, ambavyo havimo ndani ya Biblia. Kitabu kimojawapo ni "KITABU CHA TAREHE CHA WAFALME WA ISRAELI".

"Na mambo yote ya Ahabu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, na nyumba ya pembe aliyoijenga, na miji yote aliyoijenga, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Israeli?
(1 Wafalme 22:39).

Swali:
1. Hicho kitabu hivi sasa kiko wapi? (Naomba majibu kwa ushahidi wa ukweli na uhakika).

2. Je, hicho kitabu/vitabu vimepotea, vimefichwa, vimetupwa baharini, vimefukiwa ardhini, vimechomwa moto?

3. Je, kuna uhakika gani kuwa kwenye hicho kitabu/vitabu hakuna habari za hao manabii (Hud, Salih, Dhulkifli na wengineo), ambao Qur'an imewataja?
 
Hakuna ushahidi wa kihistoria, maandiko ya kale, wala majina yao kwenye Dead Sea Scrolls, Septuagint, au Maandiko ya Kiebrania.
Wacha uzushi wewe unayejiita hamisi, hizo dead sea scrolls na hivo vyengine umeviona wewe? Si vimefichwa kule Rome na wala hawataki kuvitoa?

Haya endelea kuleta uzushi wako, umejiita hamis ndiyo uonekane muislamu au nini?
 
Ndugu, Mimi sina tatizo na mtu kuamini Uislamu au dini yoyote kila mtu ana uhuru wa imani.

Lakini unaponiita kafiri na kusema mimi ni kenge, ni ishara ya ukosefu wa hoja,sijui madrasa ndio mnafunzwa hivo, maana kipindi nasoma madrasa hatukufundishwa hivo, nilimaliza juzi zote 30 ,hatukufundishwa matusi na kejeli,

Nimehoji hoja zangu kwa utulivu,

Kama imani yako ina nguvu, basi ionyeshe kwa busara na si kwa maneno ya dharau.,hii inafanya hata wengine watilie mashaka Imani yenu

Umesema Qur’an haiwezi kuchafuliwa sawa, basi kwa nini mnapata hasira kila inapoulizwa?😂

Kama kweli ni ufunuo wa Mungu na umehifadhiwa, basi hoja yoyote itashindwa mbele ya ukweli wake., Lakini kama watu wanaanza kulalamika, kuporomoka kwa hasira, na kutukana basi hilo linaashiria kuna jambo haliko sawa kwenye hiyo dini.,mbona wakristo hawapo hivo

Umesema Uislamu ni dini ya haki lakini hilo ni dai, si hoja.

Kila dini duniani inadai kuwa ya haki.

Je, tunawezaje kupima haki ya kweli? Si kwa maneno ya hisia, bali kwa uchunguzi wa historia, maandiko, na matokeo ya ujumbe wake.

Mimi nimeleta uchambuzi wa manabii wa Qur’an ambao hawapo kwenye Biblia,historia,AKIOLOJIA na maandiko ya kale ya kiyahudi ,, na hoja yangu ni kuwa wametokana na hadithi za wapagani.

Kama unadhani si kweli, njoo ukanushe hoja moja baada ya nyingine kwa ushahidi, si kwa matusi.,Si mnasema QURANI imekamilika

Umesema hizi hadithi nipeleke kwa wafuasi wa Mfalme Zumaridi. Hiyo si hoja, ni dhihaka. Naomba tusifike huko, Mimi sihitaji kutoka nje ya mada na hoja zangu,

Ninazungumzia historia ya maandiko, muktadha wa Qur’an, na tofauti na Biblia.

Kama uko makini na unathamini ukweli, utajibu kwa uchambuzi si kwa mzaha.

Mwisho umesema Mimi siwezi kujua utamu wa Uislamu.

Ndugu, mtu hawezi kujua kama kitu ni cha kweli au la kwa sababu tu ni kitamu.,Halafu Mimi ni muislamu niliyezaliwa humo ,najua vingi huenda kuliko wewe,

Heroin ni tamu kwa mwenye kuitumia, lakini si dawa. Mtu anayempenda dikteta anaweza kuona utamu lakini hiyo haimaanishi yuko upande wa haki. Kweli inapimwa kwa uhalisia wake si kwa hisia za mtu binafsi.

Kwa hiyo rafiki, mimi niko tayari kujifunza na kuelewa, lakini sitakubali kuridhika na majibu ya matusi na kejeli badala ya ushahidi.

Kama dini yako ni ya kweli, basi ionyeshe kwa hoja simple tu
Umejibu Kwa busara Sana , hakika hekima ni kitu Bora mno
 
Mtoa mada anaonekana hajui kuwa maandiko mengi ya Biblia yanaonyesha kuwa kulikuwepo na vitabu, ambavyo havimo ndani ya Biblia. Kitabu kimojawapo ni "KITABU CHA TAREHE CHA WAFALME WA ISRAELI".

"Na mambo yote ya Ahabu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, na nyumba ya pembe aliyoijenga, na miji yote aliyoijenga, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Israeli?
(1 Wafalme 22:39).

Swali:
1. Hicho kitabu hivi sasa kiko wapi? (Naomba majibu kwa ushahidi wa ukweli na uhakika).

2. Je, hicho kitabu/vitabu vimepotea, vimefichwa, vimetupwa baharini, vimefukiwa ardhini, vimechomwa moto?

3. Je, kuna uhakika gani kuwa kwenye hicho kitabu/vitabu hakuna habari za hao manabii (Hud, Salih, Dhulkifli na wengineo), ambao Qur'an imewataja?
Jibu hoja zangu ,then anzisha zako ,simple tu

Hakuna ushahidi wa kihistoria wala wa kimaandiko kwamba Hud, Salih, au Dhul-Kifl waliwahi kujulikana kama manabii kabla ya Uislamu. Wazo la kwamba walikuwa kwenye vitabu vilivyopotea ni njia ya kukwepa hoja, si jibu la hoja.
 
Bado hujajibu swali langu
Pengine nimekuelewa Tofauti bro.

Swali lako linauliza kama Aliyeshusha kuran, alishusha kitabu kimoja au vingi vya aina moja?!.

Quran ni moja.

Na nikakujibu (in context)
Quran imeandikwa na masimulizi ya mtume alivyokuwa anashushiwa wahyi kwa kipind cha miaka 23.
(Ila ikaetengenezwa kitabu kimoja - Quran)

Na kuendelea mbele zaid .
kuna hadithi zimeandikwa miaka mamia mbele kuhusu maisha ya mtume na makhalifa wake. ambayo sio quran ni hadithi.

Kuna hadith nying nying ambazo weng huwaza kuwa pemgne ziko kwenywe Quran. wakat haziko.
 
Wacha uzushi wewe unayejiita hamisi, hizo dead sea scrolls na hivo vyengine umeviona wewe? Si vimefichwa kule Rome na wala hawataki kuvitoa?

Haya endelea kuleta uzushi wako, umejiita hamis ndiyo uonekane muislamu au nini?
Mimi sijiiti hamis ,niliitwa hivo na wazazi wangu,

Halafu kwanini hampendi kushirikisha ubongo?

Dead Sea Scrolls unasema vimefichwa Rome huu uongo na propaganda nani kakudanganya?

Dunia kwasasa ni Kijiji,

Dead Sea Scrolls ziligunduliwa mwaka 1947 huko Qumran, Israel, na zina hifadhiwa kwa uwazi katika Israel Museum (Shrine of the Book) jijini Jerusalem si Rome.

Wanazuoni wa madhehebu mbalimbali, wakiwemo Wayahudi, Waprotestanti, Wakatoliki na hata wasiokuwa wa dini, wamevipitia, kuvichambua, na kuvichapisha hadharani.

Na kama huamini, tafuta vitabu rasmi kama

The Dead Sea Scrolls Bible – translated by Martin Abegg, Peter Flint, and Eugene Ulrich,

au The Meaning of the Dead Sea Scrolls by James VanderKam and Peter Flint.

Hivi ni vitabu vya kisomi, si propaganda za mitandaoni. Vinaonesha maandiko ya kale kama Isaya, Zaburi, Mwanzo, na vitabu vingine vya Biblia vilivyokuwepo kabla hata ya Qur'an. Hii ni hoja ya msingi si uzushi.

Hoja yangu ya awali ilikuwa kwamba hawa manabii waliotajwa na Qur’an – Hud, Salih, Shu’ayb, Dhul-Kifl, nk hawapo kwenye Biblia wala historia ya kweli ya Uyahudi au Ukristo. Kama Qur’an ni mwendelezo wa maandiko ya kale, ni lazima hao manabii wangeonekana pia katika historia hiyo. Lakini hawapo.

Sasa wewe hujajibu hoja hiyo unarukia jina langu na kutunga hadithi kuhusu Roma.😂
 
Jibu hoja zangu ,then anzisha zako ,simple tu
Mkuu hujaandoka hoja umetoa somlizi jifunze ifuatavyo katika uandishi;

1.Learn to simmerize your point.

2.Weka hoja zako bayana ili zijibiwe.

3.Weka reference ya source yako.

4.Tenganisha hisaia zako na mada.

5.Ondowa chuki kwa dini unao tuhumu.

Otherwise ulicho andika ni takataka nakujibu kwa only one phrase na kwa ushahidi mzuri.

Leo ndo nimejilizisha kwa uandishi hu wewe sio learned fellow, huna skills kabisa
 
Pengine nimekuelewa Tofauti bro.

Swali lako linauliza kama Aliyeshusha kuran, alishusha kitabu kimoja au vingi vya aina moja?!.

Quran ni moja.

Na nikakujibu (in context)
Quran imeandikwa na masimulizi ya mtume alivyokuwa anashushiwa wahyi kwa kipind cha miaka 23.
(Ila ikaetengenezwa kitabu kimoja - Quran)

Na kuendelea mbele zaid .
kuna hadithi zimeandikwa miaka mamia mbele kuhusu maisha ya mtume na makhalifa wake. ambayo sio quran ni hadithi.

Kuna hadith nying nying ambazo weng huwaza kuwa pemgne ziko kwenywe Quran. wakat haziko.
Umejitahidi ila bado hujajibu swali langu.

Ngoja nikulainishie swali.
Hayo masimulizi si yote yapo ndani ya kuran moja.

Sasa mm Nasemea kuran kwa ujumla pamoja na vitabu vyake humo ndani, usianze kunichambulia wakati Ww mwnyw unajua ndani ya kuran kuna hayo masimulizi yote ndani ya kuran moja.

Mm nataka kujua, kuran (pamoja na hayo masimulizi yote humo ndani) ilishushwa kuran moja au kuran nyingi ya aina moja?
 
Mtoa mada anaonekana hajui kuwa maandiko mengi ya Biblia yanaonyesha kuwa kulikuwepo na vitabu, ambavyo havimo ndani ya Biblia. Kitabu kimojawapo ni "KITABU CHA TAREHE CHA WAFALME WA ISRAELI".

"Na mambo yote ya Ahabu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, na nyumba ya pembe aliyoijenga, na miji yote aliyoijenga, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Israeli?
(1 Wafalme 22:39).

Swali:
1. Hicho kitabu hivi sasa kiko wapi? (Naomba majibu kwa ushahidi wa ukweli na uhakika).

2. Je, hicho kitabu/vitabu vimepotea, vimefichwa, vimetupwa baharini, vimefukiwa ardhini, vimechomwa moto?

3. Je, kuna uhakika gani kuwa kwenye hicho kitabu/vitabu hakuna habari za hao manabii (Hud, Salih, Dhulkifli na wengineo), ambao Qur'an imewataja?
Jibu hoja ndugu
 
Mkuu hujaandoka hoja umetoa somlizi jifunze ifuatavyo katika uandishi;

1.Learn to simmerize your point.

2.Weka hoja zako bayana ili zijibiwe.

3.Weka reference ya source yako.

4.Tenganisha hisaia zako na mada.

5.Ondowa chuki kwa dini unao tuhumu.

Otherwise ulicho andika ni takataka nakujibu kwa only one phrase na kwa ushahidi mzuri.

Leo ndo nimejilizisha kwa uandishi hu wewe sio learned fellow, huna skills kabisa
Waislamu ni lini mtajifunza mijadala ya hoja?

kama unaona hoja yangu haikukidhi vigezo vya kitaaluma, ningetarajia unijibu kwa njia ya kitaaluma, si kwa matusi na dharau za maneno kuniita takataka,ukidhani hiyo itasaidia ionekane Unajua kumbe unajidhalilisha na kudhalilisha hiyo dini yenu.

Huo si ujibuji wa hoja, bali ni mfano wa mtu anayekimbia mjadala kwa kisingizio cha lugha.

Umenishauri nijifunze kuweka hoja bayana lakini hujaonesha ni hoja gani niliyokosea, wala hukujibu hoja yangu hata moja.

Hoja yangu kuu ilikuwa ni hii

"Je, ni wapi Hud, Salih, Dhul-Kifl, na wengine waliotajwa na Qur’an wamethibitishwa katika maandiko ya awali au historia yoyote inayotambulika kabla ya Muhammad?"

Hiyo ni hoja ya moja kwa moja, yenye msingi wa kihistoria na maandiko, haikuhitaji hisia, bali majibu sahihi.

Lakini badala ya kujibu hilo, umejikita kushambulia uandishi wangu kana kwamba hiyo ndiyo hoja ya mjadala.

Pia umenishauri nitoe reference lakini hata hapo hujaonesha ni ipi kati ya references nilizoweka haikufaa.

📌Nilitaja mistari ya Biblia,
📌nikataja vitabu vya kihistoria kuhusu Dead Sea Scrolls,
📌nikataja wanazuoni kama D.S. Margoliouth na T.W. Arnold

hizo zote ni reference za kitaaluma. Kama hujakubaliana nazo,leta zako

Aidha, mada haikuwa kuhusu hisia wala chuki, bali uchambuzi wa majina ya manabii wanaotajwa kwenye Qur’an ambao hawana rekodi ya maandiko yaliyotangulia.

Nisingeweza kuacha kuhoji jambo ambalo linaibua maswali makubwa ya historia, eti kwa kuhofia kuonekana “nina chuki.”

Hoja si chuki hoja ni hoja.

Ukianza kutafsiri kila swali kama "chuki," basi umeshaamua kufunga njia ya maarifa.

Mwisho, unadai nimeandika kama siyo learned fellow.

Lakini ukweli ni kuwa, kujifunza si vibaya na wala uelewa wa mtu haupimwi kwa kejeli za lugha, bali kwa uwezo wake wa kusimamia hoja.

Mimi nipo tayari kujifunza kila siku, lakini si kwa majibu ya dharau bali kwa hoja ,ngadu tu ngadu,thus why unaniogopa sana

Kama upo tayari kujibu hoja yangu ya msingi kuhusu uhalali wa manabii hao, nitashukuru sana lakini kama umechagua kunishambulia Mimi na kutumia defensive mechanism badala ya maandiko, basi wewe ndiye unayehitaji kujifunza misingi ya mijadala ya kitaaluma.

Mimi naandika kujadili si kutukana.

Nataka waislamu waijue kweli
 
Back
Top Bottom