Hadithi za kutisha utotoni, unakumbuka ipi??

Hadithi za kutisha utotoni, unakumbuka ipi??

Joined
Feb 11, 2011
Posts
71
Reaction score
6
Katika hadithi za kutisha utotoni mimi naikumbuka ya yule mtoto mkorofi aliyebebwa na Jogoo miguu juu kichwa chini, nilikuwa nikimuona jogoo nakimbia ile mbaya.

Je wewe wakumbuka ipi??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom