Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Aisee ni kweli kanda ya Musoma,Tarime ni kanda hatari sana enzi hizo..Na mm nilizaliwa hizo kanda kwa sbb ya wazazi kazi walikua huko aisee nilikua napigana sana,mawe kutoana ngeu mara kukimbiza wezi basi tafrani. Nashukuru Baba alihamishwa ponea ponea yangu kwenda kwingine na kubadilika mazima. Ningeharibika sana kule.
 
Vitoto vitukutu sijawahi kuvipenda maisha yangu, hata udogoni kwangu wale wahuni wahuni sikuwa naiva nao kabisa wala stori nao sitaki

Toto gani kama umezaliwa na laana, yaani raha yako kuzurura usiku kuiba, yaani wewe kila kitu unaharibu, hata ukiachiwa kitu kidogo tu lazima kilete shida...laana za ukoo hizi
Ww utakuwa junior sio bure
 
Watu wa.mara niwakuogopwa sanaaaa... Mtani Wangu Billie haya ndo maisha yenu...Watu wanakatana mapanga TU....

Very sad
 
Nawashangaaga watoa ushudu....Tena shuhuda mbaya Sana.... Sijui walokole wenzao huwa wanawaonaje
 
Inaendeelea......

Ila maisha haya bna acheni tu tumepitia mengi na bado tutapitia mengi zaidi.Kwa mara ya kwanza me kuingia church nilishinikizwa na bro wangu ( wa damu ) alikua amemaliza shule anajiandaa na kwenda University.Huyu brother wangu tulikua hatuna story kabisa alikua anaitikadi zake na tena alivyorud home alikua amebadilika anapenda kanisa vby mno, alafu me nilikua na muheshimu japo tulikua hatuna story.Siku moja aliniita mbele ya Mama kunipa taarifa kuwa nijiandae Jumamosi naenda kanisani.Nilisema sina nguo za kanisani nikanunuliwa fasta shati 2 na suruali 1 na viatu juu na kweli jmosi ilifika tukaenda church.Kiukweli hata sikupenda hilo jambo ila nilivyofika church nilikaribishwa vizur maana kulikua na Sabato ya Wageni siku hiyo tulikula msosi wa nguvu na Keki juu.

Nilipenda ukarimu wa hao Watumish wa kanisa, nilivutiwa pia na Kwaya maana nilkua nikisikia zile beat ckujuta kwenda siku hiyo kwa kifupi nilienjoy sana.Niliendelea kwenda kanisani mpk nikabatizwa .Mchungaji alitwambia kuwa tumetangaza Vita na shetani ko inatupasa tumshinde.

Na kweli nilikua kwenye vita na Shetani, kuna Jumamosi moja nilkua natoka church me na wadogo zangu na rafiki angu nae alikua na wadogo zake wawili Ilikua ni mida ya jioni baada kufunga SABATO tulikua tunarud home, tulipita pale shule ya msingi Mwisenge A.Ghafla nashangaa huyo rafiki angu anakimbia anasema " tukimbieeeee..." siku jua tukimbie nini mara wanatokea Wahuni kiukweli walikuwa Wengi sana nilishindwa kukimbia maana ilikua ni ghafla sana kukutana nao.Mmoja wa wahuni akanambia" Inakuaje" huku ananisachi.Siku nilikua na kisimu cha Nokia ya tochi ambacho nilipewa na Jimama langu na pia nilikua na 52k za mama alinipa nimtolee Zaka ila sikutoa siku nilipanga jmos ijayo ndo nizitoe.Namshukuru Mungu nilikua nimevaa MODO ko yule muhuni alikua anasumbuka sana kutoa simu.Niliwaza mambo Mengi kwa Wakati mmoja, wakati huo bado anahangaika kuitoa Simu.Nilijikuta tu nimempiga ngumi nzito ya Mdomo akaanguka chini kisha nikaanza kukimbia, nao pia wakaanza kunifukuza huku wakinirushia mawe lakin haya kunipata hata moja ( hebu fikiria tu hizo mbio nilizotoka )....wakati nakimbia bahati nzuri nilikuta Wazee wawili wamesimama njiani wanaongea aseee nilisimama katikati yao wakabaki tu wanashangaa.Wale wahuni walini laani sana wakadai watanitafuta ( mpaka baadhi yao wanafungwa Jela hawakuwai kunishika na wengine naongea fresh tu ).Akili ilikuja kuwa niliwaacha wadogo zangu nikarud kuwatafuta bahat nzur wao hawakuguswa.Nilifika home nikahakikisha kama nina vitu vyangu vyote nikakuta ninavyo nikashukuru Mungu ila kwenye kidole changu kimoja ndo nilikuta kinavuja damu nikajua tu ni baada ya kumpiga yule muhuni ngumi.

Maisha yakazid kusonga Matokeo yalikua yameshatoka na nimefeli nikawa nawaza tu kufukuzwa kama Mzee alivyohaidi....

Nitarud baadae kidogo leo niko free....Sema umeme ndo shida huku
 
Mbona sugar mamy hutak kuleta story yake tunaitaka pia
 
Da mbio za vijiti sitakuja kuwasahau wakati nasoma shule ya sekondari kiara hapo musoma waliniteka nilikua na hela 20k ambayo nilitakiwa kupita sehemu flani wakati natoka shule ninunue mahindi jamaa wakasepa nazo nililia sana...
 
Inaendelea.....

Maisha baada ya shule siku ya penda kukaa tu nyumbani asubui mpk jioni ilikua ni Tabu kwangu.Mzee alitaka nirudie shule nilikubali ila sema utekelezaji wake ukawa hafifu ko niliamua kusaka vibarua mtaani me na rafiki angu mmoja hivi tulikutana naye church.Vibarua kupata ilikua shida sana.

Kuna Mradi mkubwa wa maji ulikua ukiendelea kujengwa.Vijana ni kama waliishia hapo kwenye mradi kujaribu bahat yao.Me na rafiki angu huyo wa church pia tulikua miongoni mwa hao vijana.Mradi ulikua upo sehemu moja inaitwa Bukanga.Ni mbali na tulipokuwa naishi ila tulikua tunawai asubui sana kujaribu bahat yetu lakin mara nyingi tulikua tuna angukia pua.

Siku zilienda ila kuna siku huyo rafiki angu alipata no Fundi mmoja ( sijui nimuite tu injinia )...basi bna jamaa alifanya mawasiliano kupitia simu yangu na huyo fundi.Cha ajabu alivyokuwa anaongea na huyo fundi alijipigia promo mwenyewe badala aseme kuwa tupo wawili tunaotaka kazi yeye akajiombea mwenyewe.Walimkubalia kuanza kazi Jumapili siku hyo ilikua ni Jumatano.Jamaa alinirudishia Simu akanambia amefanikiwa so me nilijiongeza kibingwa tu kumtafuta kwa baade na mimi nijiombee.Usiku wake nilijarbu kumpigia lkn sikua na salio nilimuomba Mama simu nikamtafuta hakuwa anapatikana kwa huo Muda.Kesho yake Alhamisi nilikua na natoka kwenye huo mradi wa Maji, njiani nilisoma Poster moja hivi kwenye msitima lilikua ni Tangazo la Nafasi ya kazi.Kazi haikuandikwa hapo kwenye hilo Tangazo, basi nilichukua No zao na kwenda kumuomba Mama simu yake iliniwasiliane nao hao watu.

Niliwapigia simu wakapokea na kunielekeza sehemu walipo ( walikua wanapatikana KAMUNYONGE SOKONI ).wakanambia niende ijumaa kwenye Interview basi bna nilisubir ijumaa ikafika nikavaa siku ki gentleman, Mama akanitakia mafanikio mema.

Nilifika kwenye hizo ofisi za hao wenyekazi.Watu waliokuwa wanataka kazi walikua wengi sana hadi nikajisemea Moyoni kuwa " sipati kitu hapa nimejisumbua bure tu "....nilienda nikajiunga na wenzangu kusubiria interview na kweli ikafika zamu yangu kuingia kufanyiwa interview.Nilkuta watu watatu ndani ya ofisi niliulizwa vimaswli kisha nikaruhisiwa kutoka nje kusubiria majibu.

Basi mmoja wa hao staff alitoka nje na karatasi kuongea na sisi,alitwambia watu wanao hitajika kwa ajili ya Kazi ni kumi tu, me nilkua na uhakika simo kwa watao chaguliwa.Ila me nilikuemo kwa waliochaguliwa.Tuliambiwa tuingie wote ofisini kwa ajili ya maelekezo.Huko ndani ndo nilibaki mdomo wazi.Kumbe kazi ilikua ni zile zakutembeza vipodozi ( umachinga ) mtaani.Sikupenda hata na muda huo walitwambia kuwa jumatatu tunaanza kazi, walitaka tukija jtatu twende na paspot size mbili na barua ya utambulisho wa mkaazi.Niliwakubalia tu kishingo upande kisha nikasepa kwenda home huku najiona mnyonge.

Nilifika home mama akanambia kuwa yule fundi alipiga simu ( maana kuna text nilimtumia ).Kumbe Huyo fundi alivyopiga simu Mama aliongea nae na kumweleza hali yangu naku niombea kazi.Yule fundi alikubali na kutaka jpili nikaanze kazi.Nilifurahi sana na kuanza kuingojea siku ya jumapili kwa hamu kubwa...

Itaendelea tena....
 
huku pambana mkuu kujitetea ila pole kwa yaliyokusibu
 
Awa jamaa kwenye matangazo yao wanavutia sana ukisoma unaweza kuta mshahara laki 5 na posho zipo ukiwa na bidii tunakupandsha cheo utaona bonge la kazi,
Sasa nenda utakuta kubebeshwa masufuria tena kichwan au kwenye li mfuko khaaaa
 
Back
Top Bottom