lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,710
- 3,392
Wengi tu humu wana matukio zaidi ya holy lkn watakavyojidai watakatifu hutakaa uamini ,mkuu ubarikiwe kwa muda wako na kushare story yako...hongera sana .halafu hamna Chai ni uhalisia .
Awa jamaa kwenye matangazo yao wanavutia sana ukisoma unaweza kuta mshahara laki 5 na posho zipo ukiwa na bidii tunakupandsha cheo utaona bonge la kazi,
Sasa nenda utakuta kubebeshwa masufuria tena kichwan au kwenye li mfuko khaaaa



Hongera san mkuu you so bliriantInaendelea
Kila lililo na mwanzo halikosi mwisho, basi na mie sina budi kuhitimisha hii story maana matukio nimesimulia mengi na mengine nilisahau kuyaweka.
Uzuri ni kwamba huu uzi ( thread ) bado unaishi miaka mingi na me binafsi cjui maisha yatakavyokua mbeleni huko.Kama nikiwa hai basi nitarud kwenye huu uzi kuendelea.
Uzi niliweka karbu huu ni mwez wa pili unakatika haikua kazi rahisi kukumbuka matukio yote aisee....ubongo wangu ulifanya kazi ya ziada kukumbuka.
Mabaya ni mengi sana tena mengi mno niliyo yafanya.Utoton ndo usiseme kupigana, kuiba na kufanya vurugu ndo ilikua life style letu me na rafiki zangu.kama mnakumbuka vizuri nilimuelezea yule rafiki angu wa utotoni ( alikua jirani yangu ) tuliyekua tunaiba nae yeye ukorofi ulizid mpk akaja kuua mtu ( ckumbuki mwaka vizur alio ua ) saiv atujui kama alikamatwa au bado yupo maficho kusikojulikana.Yule rafiki angu mwingine ( tulie kuwa tunaish nae mji mmoja ) yeye yupo japokua bado ni mkorofi lakin atleast kawekeza kwenye biashara za halali.
Me saivi sio yule wa zamani niliyekua nafanya makusud kukuumiza kivyovyote vile.Nilikua na roho mbaya sana, nilisahau kuwasimulia hawa watu watatu niliwajeruhi vibaya sana.
1. Ni classmate wangu tulikua tunasoma nae primary nusura nimtoe jicho lake la upande wa kulia, hata hakunichokoza ni sifa zangu tu za kipuuzi ndo ziliniponza nilimshika kichwa chake nikampiga kwenye pembe ya dawati, alitokwa damu sana mpk alipoteza nguvu.Saiv ni mcheza mpira ko nikimuona na ile alama jichoni hua najickia vibaya sana ingawa tunaongea fresh tu.
2.Huyu ni monta nae nimesoma nae primary, nilipoona kanizid nguvu ( alikua mkubwa kwangu ) tulimvizia kipindi tunatoka shule me na rafiki zangu ( wale tuliokua tunaiba nao utotoni ) kipindi hao rafiki zangu wamemkaba na kumwangusha chini me nilichukua jiwe sio kubwa sana lilikua pembeni na mzee mmoja kwa walio soma iringo na shule za jirani pale miaka hyo wanamjua alikua anaitwa Baba kimwaga ( ni marehemu saivi )...ko nilimpiga na hilo jiwe puani kwake na mdomoni.Monta alilia sana cku, japo tuliyamaliza kifamilia lakin i feel guilty.
3. Head prefect ( HP ) huyu nilimpiga bila makosa kabisa, jamaa mmoja alinipa 3000 ni kile kipind nateka watu vitu vyao.alinipa hyo hela ili tu nimkomeshe maana walikua na ugomvi, me nilivyoona hela midaa ya jion nilimvizia anatoka shule nikampiga sana bapa bila huruma.huyu mpk leo cja bahatika kukutana nae nimwombe msamaha, kama nae labda ni member humu jf naomba anisamehe sana.
Maisha haya bna yani nilishakua mpk chawa na kuwadi.Kuna siku nilikua masikan tumekaa na wahuni 2013 walikuja watu fulani muhindi mmoja, wanaume watatu ( chawa ) na mdada mmoja ( alikua kakaa kikahaba kahaba )...kumbe yule muhind ndo alikua boss na alikua anataka wanawake awagonge.ko alitwambia tumtafutie wanawake alafu yeye anatupatia hela ( mwanamke anatupatia 20k ) nilichangamkia sana hyo fulsa.
Na sio huyo tu kuna bro wangu ( huyu aliyefariki mwezi ulio isha ) alikua hajui kutongoza japo alikua ana hela, alinambia nikimletea demu 40k ni yangu ko hyo fursa niliitumia vizur tu kwa kuwa danganya mademu wa kanisani.
Kwenye ngono sasa ndo usiseme nilikua cpitwi baada ya kuachana na yule Jimama nilikua napenda sana nyuchi.Kuna siku tulimla beki tatu mmoja hivi Mtungo ( foursome ) tulikua wanaume wanne na huyo beki tatu.Ilifika zamu yangu akajichanganya kuninyima K yake, kulikua na rungu mule gheto nilimpiga nalo mapajani mpk akakubali mwenyewe kutoa K yake.Kweli Mungu alikua bado yupi nami maana Ckupatwa na Ukimwi.
Kwenye Nyeto sasa ndo usiseme, 2015 sister angu na rafiki ake alikua mzuri sana, waliniomba simu yangu, kumbe walienda wakapigana picha za uchi.kipindi kile Facebook walikua wanaile program cjui ina encrypts ( cjui kama nimepatia kuliindika ) yani kila ukipiga picha kwenye hyo simu basi zilikua zinaenda kuhifadhiwa huko fb moja kwa moja.sasa ndo cku hyo niliingiapo nikashangaa kuona picha za uchi nyingii za sister nilizifuta nikabaki na za huyo rafiki ake nilizipigia nyeto sema zilipotea hizo picha.Ila leo namshukuru Mungu kuniletea Qilah wangu nikikooa tu napewa mzigo.
Hata home pia nilikua nawapiga matukio ya hela cku moja moja.Mzee ndo usiseme nilikua namcheza hela zake akikaa vibaya kuna cku alikua amelewa ( Enzi zile nateka watu ) ko alinipa 500k nimtunzie, me nilivyomjinga nikatunza 300k laki mbili nikaenda nazo kwenye kamari.nililiwa Laki nzima ndo akili ikanikijia kuwa niondoke hizo hela sio zangu.Mama yeye nilikua cmpigi sana maana kuna cku alinikuta kwenye begi lake nilikua nasachipo hela ili nikacheze kamari.
Alinambia unatafuta nini, cjui akili ilitoka wapi ya fasta fasta, nilimwambia natafuta kitabu cha Nyimbo za Kristoalinambia hakipo hapo kwenye sanduku lake kipo sebuleni, duuh..nilishusha pumzi kwa kupona kujulikana nia yangu.
Nitarejea tena.
Hapa ninahitimisha kisa changu, usishange kwa jinsi navyohitimisha, nahitimisha kwa kuelezea niliyoya sahau.
weka akilini hiloNimewahi kuambiwa hili na jamaa yangu mmoja wakati fulani.
unamiaka mingapi?,, kua uyaoneKwani kuna uwezekano wa kuishi na mke/mume ambae humpendi
We jamaa ni mafiaInaendelea
Maisha yalikua yanasonga tu hivyo hivyo kibishi...Nadhani jamaa aliona hela zake zinazid kupotea akaamua kutokutunza humo ndan mwake..ilo lilikuwa pigo kwetu na hela nilivyokua nazitumia vbya hata ningejua niwekeze tu kwenye biashara.
Ka hali kakanza kuwa kagumu demu nae akawa anataka hela basi ikawa ni mwendo wa kusema uongo ili nihurumie.kuna siku nilimwambia demu kuwa saiv mishe zangu haziko poa ko hela ni ngumu kidogo alinuna wiki nzima anitafuti na mimi simtafuti ( nilianza kumuona ni kero kwenye maisha yangu )...mpk siku moja ndo akanitext kunipa hi na blah blah nyingi tu kuwa eti me ndo mwanaume wake wa moyoni wengine ni wa kupita
Wivu ulinipata kusikia hvyo kuwa siko mwenyew ila me ndo napendwa..nilisema haiwezekani lazima nimkomoe huyo Manz ili tukiachana nisiwe na majuto..nilikuwa nawaza nitamkomoaje huyo demu..niliona njia bora ni kumrekod wakti namgonga ili akija kunizingua na expose video mtandaoni..kuna siku alikuja ni mgonge sikumrekod nilishindwa kabisa kufanya hivyo sijui kwa sababu nilikua Nampenda sana.
Kuna siku moja nilikua church ( siku hyo tulisali kimtaa ) basi bna me kwa vile ni muimba kwaya ilinibid nikae sehemu ya waimbaji kwa ajili ya kutoa huduma kwa washiriki ya nyimbo...siku hyo Lizzy alikua amependeza na kigauni chake ambacho nilimnunulia kidume mie...basi tulikua tuna chat akanitaka niende sehem alipo kuwa amekaa tukae wote ( alikua amekaa nyuma kabisa ) siku shindwa kukataa mbele yake..ko nilimdanganya teacher kuwa naenda chooni..teacher alinitaka niwai maana kwaya yetu ndo tulikua tunaimba huduma kuu..basi nilienda sehemu alipo manz angu tukakaa stor za hapa na pale...basi tuliita kuimba nikawai kuimba tulivyo maliza nikarud kukaa na manzi yangu.
Manzi ilikua iko fb ila sasa ilikua imesahau password yake..aliniomba nimsaidie..nilimshauri afungue account mpya tu aanze moja na kweli alikubali nikamfungulia mpya.
Usiku wake nikiwa home nimelala niliamua kuingia kwenye hyo account yake ya fb mpya..aisee Ila Wanawake wanapata wakati mgumu sana mitandaoni kutongozwa kama kote...niliingia nilikutana na text nyingi tu za wanaume just imagine mpk Mzee wangu alikua amemtumia text "hi mrembo " nilimchuna maana nilijua ndo zake hizo...ukiachana na text nyingine za kuomba namba,hello mrembo,cjui unaishi wapi mrembo na nyingine nyingi kuna text iliingia ilinistua sana.
Ilikua ni ya jamaa mmoja hivi tunasali ila yeye alikua ni mwanachuo ( udom ) alikua likizo..text ilikua inasema hivi " we lizy wewe mbn siku unanikwepa au vivulana vyako hvyo vinakudanganya "...niliamua kuwa lizy cku hyo niliamua kuchat nae nikijifanya mimi ndo lizy sasa.
Jamaa alitiririka mengi sana nilikua namuuliza maswali ya kumtega nae anatiririka tu bila kujua anae chat nae..nikimuuliza kama alisha sex nae kiujanja sana..alisema hivi " niwie radh bby siku ile ulivyokuja tukasex c unajua ckua nimejiandaa vizur ndo maana nilishindwa kukuridhisha kipenzi" ( hizi chatting mok leo bado zipo kwenye account ya lizzy )...nilijisikia vbya hasira na wivu vikaambatana yaani manzi yangu inaliwa na hilo lijamaa nilisema sikubali aisee.tuliendelea kuchatt nikaamua nimuombe hela huyo msela wa manz yangu....nilimuomba 50k akasema hana hapo alipo labda kesho yake, nikamwambia potezea tu.Aliniomba no ya simu ya M-PESA nikampa yangu, cjakaa sawa ikaingia text ya imethibitishwa umepokea 55k kutia kwa huyo fala...asubui ilifika nikawai kwa wakala na kweli nikatoa 50k huku nikisema ngoja nijipooze na hicho ki hela.
Ila nilisema nitakulaje hela ya mwanaume mwenzangu...wakat na waza hayo text iliingia ya bro wangu ( yule mtoto wa bamkubwa tulie kuwa tunaiba nae ) akitaka nimpelekee kadeti town anipe hela.
Hizo Kadeti zilikua za huyo hyo mtoto wa mwenye nyumba..tulivyoona hela kahamisha tukaamua tuchukue nguo tuwe tunauza nyingine nazimodoa navaa tena ananiona nimevaa.Nitaelelezea baadae ngoja niendele na huyu manzi kwanza.
Kweli nichukua Kadeti ( zilikua suruali mbili ) nikachukua na zile 50k za yule fala nikaingia town.Nilifika kazin kwa huyo bro akaona mzingo kisha akanipa 20k na kunitaka nimtafutie mzigo mwingine.
Niliamua niende dukani nikamnunuliee nguo Manzi yangu kwa ile ile hela ya huyo fala wake...nilinunua kigauni cha 35k chenj iliyobaki nilimpelekea huyo manz angu pamoja na hilo gauni.demu alifurah akijua kuwa nimempa zawadi kumbe alkua hajui ni pesa ya boy wake ndio imefanya hayo mambo.
Kesho ilifika siku nilikua natoka tizi la kukimbia kwa ajili ya kutafuta pumzi ya kuimba.nilifija kuchukua simu nakuta text ya huyo boy wa manzi angu ilikua inasema hivi"yaani wewe Holly holm ndo wakunifanyia hivi aisee rudisha hyo hela au umpe muhusika yaani Church minister mzima unakua tapeli" nilimjibu tu kawaida kuwa hela simpi ng'o na cha kunifanya hana.
Jamaa kumbe ile no niliyompa kutuma ile hela ilikua whatsapp na picha yangu juu kumbe alisave na kuniona mimi badalaya ya demu wake.Alinitishia kuwa atanifanyia kitu kibaya me nilimwambua nakisubiri hicho kitu.Wakat huo hata manz ajui hyo inshu sikuona ni vyema kumwambia.
Nitarud nielezee jinsi nilivyo mfanya huyo boy wa manzi angu....
kikoozi



Kumbe uzi haujaisha? Natemana naoholy holm story imeisha au unavuta vuta comment ziwe nyingi?
😂😂😂 ni kweli kabisa, binafsi mimi nilikua nikikukopa basi usipo ni samehe ni peleke police tu.Vizuri umekamilisha story yako. Kuna siku hapa nilicomment kwenye thread ya utapeli nikasema sehemu za kuwa nazo makini sana ni nyumba za ibada(kanisani na msikitini).
Jaribu kufikiria umekwenda kanisani ukakutana na kijana kama huyu mwimba kwaya alafu akuombe umkopeshe pesa, unafikiri utaweza kukataa? Pale unapomkopesha pesa haitarudi ndo umeibiwa hivyo
yake aliyopewa na Mama yake kutoka Uingereza, Alinipa bure kabisa bila hiyana na ninayo mpk saiv ila ni mbovu.
ni hawa makonda wa hiace za kwenda Tarime kutoka musoma.
