Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Inaendelea

Kama nilivyosema siku hyo huyo jamaa alikuja na huyo mtu ajiiatae Mganga..Tuliitwa mimi na wadogo zangu wawili pamoja na Jamaa mmoja muhuni muhuni nae walimuhisi ni mwizi.

Basi tuliingia chumbani kwa huyo jamaa tukakuta Mganga kashaanda mambo yake tayar kwa kazi iliyomleta.

Nahisi ilikua ni mind game ya huyo jamaa na huyo Mganga wake.niliuliza kuna nini kwani jama ndo akaanza kutiririka kwann tumeitwa pale me nilikataa sihusikii na wizi pamoja na wenzangu pia walikataa kata.nilikua na mwangalia dogo kama ana wasi wasi lakni alikua mweupe hata wasiwasi hana.

Baafmda ya kila mtu kukana kuwa hausiki na wizi Mganga alimuomba ruhusa huyo jamaa aanze uganguzi wake.. ila kuna watu wana visa dunia hii acha mganga awashe kamshumaa kekundu na aliletewa sufuria la maji akawekapo vidawa fulan,na kidude fulan hivi kama sabuni pamoja na sindano rungu.niliwaza kuwa naumbuka siku ile ila nikakaza nilisema hata kama nashikwa ni fresh tu kwanza uzur sina urithi kwa Mzee sio mbaya nikikamatwa ( nilikumbuka ile kauli ya mzee wangu hapo nyuma ).

Mganga alisema tu " kama kuna mtu anajua kabisa hausiki na wizi achome hicho kipande na anawe mikono kwenye sufuria alafu aondoke "...niliogopa kiasi chake ila sikutaka nionekane kama na hofu...unajua kipindi cha nyuma bado nasoma kuna jamaa nilimuibia dictionary class alinihisi me ndo nimemuibia ko aliamua kunipiga mikwara mizito ya kijini jini ila ndo sikuogopa ( kisa chake nilisahau kukielezea )sasa hyo mganga nilimuona ni kama tu yule jamaa wa dictionary.

Alianza mdogo wangu ( sio mwizi ) kuchoma kile kidude kwa sindano Rungu aka fuata yule muhuni kisha dogo alafu me kidume ndo nikamalizia..wakati naondoka nilimwambia yule Jamaa kama nisipokuwa kitu utanilipa fidia ( nilikua nimemkazia sura utadhani me sio mwizi )

Usiku wake siku lala vizur kiukweli nilkua nasubiri tu matokeo ya ile dawa ya mganga ( tapeli tu ) nilikua najishika viungo vyangu nione kama kuna mabadiliko yoyote lakin sikuona, usingi cjui ulinipitia sangap

Asubui yake niliamka nikawai chumban kwa madogo nione kawaje na yeye lakin sikumkuta dogo niliogopa kuangalia chooni na bafuni hayupo nikawa najiuliza kaenda wapi tena?...kumbe dogo alikua anamlia target yule jamaa asepe ampige tukio ( mdogo wangu kunakipindi niliamini karogwa )....siku hyo ilipita fresh tu tuko vizur na siku iliyofuata pia nikasema kumbe jamaa wamempiga hela za bure na Mganga wake.

Dogo langu alikua anaiba mpk to much aisee...sio tu kwa huyo msela mpk kwa baadhi ya majirani alikua anawacheza...nilimkanya kama Kaka aache kupiga matukio kwa watu mwishoe azoee sikupenda kwa kweli dogo apite njia zangu..

Bahat nzur aliacha kuiba kwa majirani ila akawa anampiga tu huyo jamaa...

Me kipindi hicho mapenzi yangu na Lizzy yameshika kasi kinoma kumuhudimia kama kote..ila Mapenzi ni mapenzi tu Lizy alianza kuniletea mambo ya kifala sana alikua anani cheat me najua lakin namkaushia tu maana bado nilikua sina demu mwingine ( yule Ney alikua kashasepa Musoma ko lizy ndo aminio langu alafu ndo alikua Moyoni mwangu ko sikutaka kumuacha ghalfa nilikua namtafutia mbadala wake )

Kuna siku moja Huyo Lizy aliniomba 10k ya chips nikamwambia sina alinuna akidai simjali..alafu alikua ananituhumu kuwa natembea na demu mmoja hivi mwimba kwaya ko alianza kuleta visa vya kifala...siku hyo alinuna balaa hata akutaka tuonane siku hyo jioni ( ilikua ni kawaida yetu kuonana jioni )..basi kesho yake jioni baada ya kutoka kwenye mahubiri niliamua kumpelekea 10k yake alio niomba..nilienda mitaa yao majita road ilikua saa moja hivi..nikamtuma mdogo wake aniite na kweli akaja amenuna sio kidogo..nilongea nae nikawa naona hayuko interested na mimi nikamwambia anisindikize basi akakubali...tulipita kiuchochoro flani kili hakina watu sana basi nikamtolea noti ya 10k..acha demu anirukie na kuanza kuninyonya mate me nae nikayapokea na kunyonya yake pia .

Alianza kujibebisha sasa na kutaka nimnunulie Sendo nilimwambia nitampa hela lakin alikataa akidai nimnunulie..kidume ilibid nikubali na kwa vile hela ilikuepo ya wizi sikuona uchungu kupotea...kesho nilienda town nikamchukulia sendo nzur tu za wadada kumpelekea jioni akizipima na kuzivua na kunitupia..akaanza kulalamika kuwa ina maana me cjui size ya miguu yake yani size za mademu wengine najua ila size yake sijui...nilikua kimya tu niaviokota na kurudi home nikampa dogo langu ( wa kike ) kesho yake nikarudi town tena kuchukua sendo nyingine siku hyo alifurahi akanipa mate nikala kona kwenda home...nacho mkubali huyu demu alikua anibanii nikimuomba show alikua yupo free sana.....

Nitarudi tena.
Kiti cha mbele kabisa
 
Inaonekana musoma Kuna inshu za wiz sana.

Kuna katoto kamama Mdogo kalilelewa huko,huyo dogo amekuwa mwiz mpaka Leo,sasa yupo mwanza na yupo form 4

Tulipga sana baada ya kugundua tabia yake,lakin haachi
 
Ukikaa musoma na sio mwizi wewe sio wa musoma
 
Inaendelea

Maisha yalikua yanasonga tu hivyo hivyo kibishi...Nadhani jamaa aliona hela zake zinazid kupotea akaamua kutokutunza humo ndan mwake..ilo lilikuwa pigo kwetu na hela nilivyokua nazitumia vbya hata ningejua niwekeze tu kwenye biashara.

Ka hali kakanza kuwa kagumu demu nae akawa anataka hela basi ikawa ni mwendo wa kusema uongo ili nihurumie.kuna siku nilimwambia demu kuwa saiv mishe zangu haziko poa ko hela ni ngumu kidogo alinuna wiki nzima anitafuti na mimi simtafuti ( nilianza kumuona ni kero kwenye maisha yangu )...mpk siku moja ndo akanitext kunipa hi na blah blah nyingi tu kuwa eti me ndo mwanaume wake wa moyoni wengine ni wa kupita

Wivu ulinipata kusikia hvyo kuwa siko mwenyew ila me ndo napendwa..nilisema haiwezekani lazima nimkomoe huyo Manz ili tukiachana nisiwe na majuto..nilikuwa nawaza nitamkomoaje huyo demu..niliona njia bora ni kumrekod wakti namgonga ili akija kunizingua na expose video mtandaoni..kuna siku alikuja ni mgonge sikumrekod nilishindwa kabisa kufanya hivyo sijui kwa sababu nilikua Nampenda sana.

Kuna siku moja nilikua church ( siku hyo tulisali kimtaa ) basi bna me kwa vile ni muimba kwaya ilinibid nikae sehemu ya waimbaji kwa ajili ya kutoa huduma kwa washiriki ya nyimbo...siku hyo Lizzy alikua amependeza na kigauni chake ambacho nilimnunulia kidume mie...basi tulikua tuna chat akanitaka niende sehem alipo kuwa amekaa tukae wote ( alikua amekaa nyuma kabisa ) siku shindwa kukataa mbele yake..ko nilimdanganya teacher kuwa naenda chooni..teacher alinitaka niwai maana kwaya yetu ndo tulikua tunaimba huduma kuu..basi nilienda sehemu alipo manz angu tukakaa stor za hapa na pale...basi tuliita kuimba nikawai kuimba tulivyo maliza nikarud kukaa na manzi yangu.

Manzi ilikua iko fb ila sasa ilikua imesahau password yake..aliniomba nimsaidie..nilimshauri afungue account mpya tu aanze moja na kweli alikubali nikamfungulia mpya.

Usiku wake nikiwa home nimelala niliamua kuingia kwenye hyo account yake ya fb mpya..aisee Ila Wanawake wanapata wakati mgumu sana mitandaoni kutongozwa kama kote...niliingia nilikutana na text nyingi tu za wanaume just imagine mpk Mzee wangu alikua amemtumia text "hi mrembo " nilimchuna maana nilijua ndo zake hizo...ukiachana na text nyingine za kuomba namba,hello mrembo,cjui unaishi wapi mrembo na nyingine nyingi kuna text iliingia ilinistua sana.

Ilikua ni ya jamaa mmoja hivi tunasali ila yeye alikua ni mwanachuo ( udom ) alikua likizo..text ilikua inasema hivi " we lizy wewe mbn siku unanikwepa au vivulana vyako hvyo vinakudanganya "...niliamua kuwa lizy cku hyo niliamua kuchat nae nikijifanya mimi ndo lizy sasa.

Jamaa alitiririka mengi sana nilikua namuuliza maswali ya kumtega nae anatiririka tu bila kujua anae chat nae..nikimuuliza kama alisha sex nae kiujanja sana..alisema hivi " niwie radh bby siku ile ulivyokuja tukasex c unajua ckua nimejiandaa vizur ndo maana nilishindwa kukuridhisha kipenzi" ( hizi chatting mok leo bado zipo kwenye account ya lizzy )...nilijisikia vbya hasira na wivu vikaambatana yaani manzi yangu inaliwa na hilo lijamaa nilisema sikubali aisee.tuliendelea kuchatt nikaamua nimuombe hela huyo msela wa manz yangu....nilimuomba 50k akasema hana hapo alipo labda kesho yake, nikamwambia potezea tu.Aliniomba no ya simu ya M-PESA nikampa yangu, cjakaa sawa ikaingia text ya imethibitishwa umepokea 55k kutia kwa huyo fala...asubui ilifika nikawai kwa wakala na kweli nikatoa 50k huku nikisema ngoja nijipooze na hicho ki hela.

Ila nilisema nitakulaje hela ya mwanaume mwenzangu...wakat na waza hayo text iliingia ya bro wangu ( yule mtoto wa bamkubwa tulie kuwa tunaiba nae ) akitaka nimpelekee kadeti town anipe hela.

Hizo Kadeti zilikua za huyo hyo mtoto wa mwenye nyumba..tulivyoona hela kahamisha tukaamua tuchukue nguo tuwe tunauza nyingine nazimodoa navaa tena ananiona nimevaa.Nitaelelezea baadae ngoja niendele na huyu manzi kwanza.

Kweli nichukua Kadeti ( zilikua suruali mbili ) nikachukua na zile 50k za yule fala nikaingia town.Nilifika kazin kwa huyo bro akaona mzingo kisha akanipa 20k na kunitaka nimtafutie mzigo mwingine.

Niliamua niende dukani nikamnunuliee nguo Manzi yangu kwa ile ile hela ya huyo fala wake...nilinunua kigauni cha 35k chenj iliyobaki nilimpelekea huyo manz angu pamoja na hilo gauni.demu alifurah akijua kuwa nimempa zawadi kumbe alkua hajui ni pesa ya boy wake ndio imefanya hayo mambo.

Kesho ilifika siku nilikua natoka tizi la kukimbia kwa ajili ya kutafuta pumzi ya kuimba.nilifija kuchukua simu nakuta text ya huyo boy wa manzi angu ilikua inasema hivi "yaani wewe Holly holm ndo wakunifanyia hivi aisee rudisha hyo hela au umpe muhusika yaani Church minister mzima unakua tapeli" nilimjibu tu kawaida kuwa hela simpi ng'o na cha kunifanya hana.

Jamaa kumbe ile no niliyompa kutuma ile hela ilikua whatsapp na picha yangu juu kumbe alisave na kuniona mimi badalaya ya demu wake.Alinitishia kuwa atanifanyia kitu kibaya me nilimwambua nakisubiri hicho kitu.Wakat huo hata manz ajui hyo inshu sikuona ni vyema kumwambia.

Nitarud nielezee jinsi nilivyo mfanya huyo boy wa manzi angu....

kikoozi
 
Mpwa. Siku nyingine usije ukaingia kwenye akaunti ya mwenza wako au kuchunguza simu ya waif.
SIMU YA WAIF NI SUMU. HAIGUSWI WALA HAIPOKELEWI KAMA MWENYEWE HAYUPO
kweli kabisa inatakiwa uwe na moyo wa jiwe kufny hivyo
 
MKUU MIMI NAKUFATILIA SANA, YAAANI NATAKAMNI ATA UNITUMIE VOICE NOTE YA HII STORY NITUMIE ATA SIKU NZIMA KUISIKILIZA, ILA MZEE NINACHO KUBALI NI KITU KIMOJA Maiha ya kiuni unayajua, Maisha ya Kishemasi unayajua, Maisha ya kimasikini unayaua, Sijajua kama maisha ya kishua unayajua, naendelea kufatilia uko mbele........
 
We mshkaji hatari nakumbuka niliwai kuiba 200 nyumbani kwenye kigenge cha dingi R,I,P izi sarafu wakat nipo dogo vitu vinauzwa sh 20,15 ,5,10 aisee nilitumia ela aiishi nikaona Leo ntaumbuka kila nikinunua chench hii uamuzi nikaenda chimba kashimo na kuficha zile chanchi Sikh ya pili nikadamka nazo shuleni primary zikaishia uko.
 
Attachments

  • Screenshot_20210315-102413.jpg
    Screenshot_20210315-102413.jpg
    167.6 KB · Views: 32
Back
Top Bottom