holy holm Nasema Holly unafaa sana kuwa diwani na hata Mbunge. Uandishi umeuweza, nimekutunuku cheo cha kuwa ‘ Muhamasishaji" a.k.a motivational speaker.
Tatizo una vipaji vingi, sijui umeamua kuanza na kipi. Unaweza kuwa, mganga, mfanya biashara mkubwa, mchungaji mzuri, mwimbaji, mwandishi, DJ.
Sijui ndoto zako ukiwa mdogo zilikuwa ni zipi? Lakini Amini kuna makusudi ambayo umeumbwa uje utimize hapa duniani, endelea kuomba kwa imani yako kusudi mapenzi yake juu yako yatimie. Pengine uweze kushuhudia wajukuu na vitukuu vya uzao wako. Amen