Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Yaani ulivyofikia sehemu uko Arusha, nilidhani bado uko A town hata nikupongeze kwa beer mbili tatu hivi ,story yako nzuri sana, bahati mbaya usharejea home
 
Inaendelea

Siku hyo nilifika home usiku wa saa nne, huyo dogo alie kuwa anaishi hapo home ndo alinipokea.Mazingira ya nyumba yalikua hayaridhishi kabisa kwa vile cku hyo ilikua jumamosi nilipanga kesho yake jumapili nikiamka nifanye usafi wa Mji.

Vitu vilikua vipo shaghala baghala na me kitu ambacho hua siwez ni kupangilia vitu japo cku ya jumapili nilijarbu kupangilia nyumba lakini wapi...!!

Siku hyo ya jumapili jioni nilikua nafnya usafi wa nje ya nyumba, sasa kuna kademu kamoja hivi kalikua kamemaliza form four, sasa cku alikia anajipitisha sana anaenda anarudi.

Nilimuita akaja vizur tu nikamwomba anisaidie kuosha vyombo, alikubali bila shida sasa alitangulia kuingia ndan ili aoshe vyombo....weeeh...mtoto wa watu kaumbika hatar ana katako ka hamu na ukizingatia alikua amevaa kagauni kafupi ko kalimtoa chicha sana.

Uzalendo ulinishinda aisee, nilimkombatia kwa nyuma lakin alinitoa kwa nguvu, alikua kaanza kukunja sura lakin mimi ckumjali nilimwangusha kwenye sofa kubwa nikaanza kumpapasa lakin wapi manzi ilinikazia hatar mpk ilinifinya sikio la kulia na shingoni mpk nilibaki na vidonda.

Niliona nimuache nisije kupata kesi bure ya kubaka sasa wakati naondoka kwenda nje nilishangaa kananikumbatia tena kwa nyuma kujarbu tena kumpiga mate akanirusha, ckujua anataka nini.Aliingia jikon akaosha vyombo na akapika.

Alinambia ngoja aende kwao badae atarud nimgonge mpk nimchoke, lakin me nilienda misele nikachelewa kurudi home.Kesho yake alininunia ila nilimwambia aje tena usiku.Usiku ulifika kwenye mida ya saa nne usiku ndo nilikua narud home sasa sina hata habar ile nakarbia home niliona boda inanipita na kumshusha mtu mbele yangu.

Alishuka huyo manzi cjui alikua anatoka wapi usiku ule ila tu atakua alikua anatoka kwa msela japo alinambia kuwa alikua anatoka kwa rafiki ake.

demu siku hyo alikua ana nyege ( ila hivi vitoto vya 2000 ) kalinambia kanasikia baridi, kwa vile tulikua njiani ( jirani na home kwetu na kwao )..nilikachoma vidole na kukapiga vipicha vya kichokozi ( mpaka leo ninazo hizo picha sema tu kwa maadili ya Jf cwez kuziweka )...tulienda home kalipakia msos wa nguvu alafu nikalala nako mpk saa 11 ndo kakawai kwao.

Nilivyorudi musoma nilikumbuka ile simu yangu niliyoiacha kwa fundi kuna siku nilienda kwa huyo fundi bahat nzur alikuepo, nikamuulizia kama simu yngu iko tayari...akanambia ndio nitoe hela tu kwa vile ckua na hela nilimwambia nitampa simu flani ( infinix ) alfu aone atanidai shngp, alikubali nikaenda home kumfuatia hyo simu.

Nilirudi na hyo simu akaiona kwa vile nayo ilikua mbovu alinambia nimpe 50k badala ya ile 110k nikasema poa nitamtafutia.nilipata 20k tena huyo manzi angu ndo alinipa nikampa fundi lakin cha ajabu nilimwambia anionyeshe hyo simu akanambia bado haijatengenezwa ( wakati alinambia kuwa iko tayari ) sikutaka kuleta noma, nilimuuliza lini itakua tayar....akasema kesho nikamuacha nikaondoka kesho yake kurud majibu hayaridhishi alinambia njoo jioni itakua tayar.

Fundi alikua mjinga sana kumbe simu yngu alikua anaitumia lengo lake ilikua ni muuzie...hyo siku jioni nilivyorud ndo nilimkuta anaitumia kwa vile niliingia ghafla ofisini kwake ndo niliona aliitumia yeye mwenyew alvyoniona alistuka hatar akaificha haraka kwenye begi...me nilijifny kama cjaiona.kama kawaida alinipanga tena siku hyo akanambia njoo kesho asubui.

Kesho yake nilivyokua naenda kwa fundi nilipita sehemu moja hivi kulikua na msiba...ckuujari sana huo msiba ila nilishangaa naitwa na jamaa mmoja hivi ni rafiki sana, alikuepo hapo msibani...ilibid niende kuonana nae.Nilifika tukapeana hi alafu nikamuuliza nani kafa akanambia ni Mzee fulan hivi alikua ni maarufu sana.huo msiba ulikua na watu wengi me pia niliamua kukaa hapo msibana, safar y kwenda kwa fund nikahairisha.

Siku hyo ilikua jumatano...!! na nilikaa sana hapo msibani mpk nikala na ugali kabisa hapo.kwenye midaa ya saa kumi hivi waliingia wageni kutoka dar ( walikua ni watoto wa marehemu pia walikua na familia zao ) walikua wana wadhifa maana hata ile walivyopokelewa walipokelewa kiheshima.

Me pamoja na huyo rafiki na vijana wengine tulikua tumejitenga tunacheza karata.Kama saa kumi na mbili hivi walikuja wale wageni ( wadada watatu na mwanaume mmoja ) wakatuuliza ni sehemu gani wanauza chip's tukawaambia kuna sehemu nyingi tu.Yule mgeni wa kiume akasema wapi chip's zao ni nzuri nikamwambia ni kwa Ustadhi ( huyu mtu ni maarufu sana watu musoma wanamjua kwa umahir wake wa kiepe ).....waliniita pembeni wakaniuliza wanauzaje chip's moja nikawaambia ni 2k yenu tu...mdada mmoja akamwambia yule mwanaume kuwa aagize chip's za kutosha maana walikua wengi.

Huyo mwanaume alinipa 45k niwalete chip's 15 pamoja na mishikaki pia alinipa buku mbili ya boda.tena mdada mmoja kwa lafudhi ya kidaresalama alinambia "baba tuwaishe maana sio kwa njaa hii" me nilitabasamu tu alafu nikapanda boda kwenda kuwafatia.

Siku wafatia chip's hyo hela niliichukua na sikirud pale msibani nadhani walinisubir mpk wakachoka..nilifika home nikaa ndani ckutoka kabisa.Uzur yule rafiki angu alikua hana no yangu ya simu na hata home hapajui sikuona shida.

Walivyomaliza kuzika pale msibani ( walizika siku ya ijumaa ) ndo mimi nikaamua tena kwenda yule fundi.Siku hyo nilikua nimevaa tishet la halotel 4g nilitoka nalo arusha.Sasa kipind nipo kwa fundi walitokea jamaa wawili wakaniita pembeni.

Jamaa hao walidhani mimi ni msajili line za halotel ( wakala )...walinambia soryy bro tunaomba msaada wako, alafu walivyokua wakiongea hata hawajiamini...niliwaambia msaada upi wakasema wanataka kusajili line ya Royal.duh nilijibu tu line wakasema ndio.mmoja alisema kwani zina bei gani.

Niliona hawa jamaa hawako serious kabisa niliwajibu mtaweza gharama lakini ( hapo sasa nikajivika uwakala ) niliwaambia line ni 30k...walishangaa wakasema mbn waliambiwa ni 10k nikawambia waende kwa huyo ambae amewaambia awasajilie.

Waliniomba niwalegeze ( nilikua nawahurumia ) niliwaambia nawatolea 5k tu maana c unajua hizo line zina offer za kutosha.Lakin walinisihi niwafanyie 15k niliwaambia alafu nikawauliza kama wana namba ya Nida wakawa hawana nikawaambia sasa nitawasaidiaje kama hamna no ya nida, walikua hawana usemi kabisa...

Niliwaambia wanipe hizo hela kesho nitawaletea hizo line zikiwa zimesajiliwa.Walinipa 30k ko nikawaambia kesho tukutane hapo kwa fundi simu ndo hua ofisini kwangu.Waliondoka nikamrudia fundi kumdai simu yngu.

Fundi ni mshenzi yani alikua ameficha simu tu nilimkazia mpk akaitoa akaanza ooh eti nimuuzie ile simu.Na alivyokua msahaurifu nilimuomba niione kidogo hyo simu akanipa na alikua bize na mteja fulani hvi.

Niliichukua hyo simu nikatoka mule kwenye ofisi yake...huyo nikasepa zangu mpk home.Fundi hakuamini kama nimesepa alipiga kama mara mia ila ckupokea.Alikua analalamika tu kwenye text ckumjali hata.

Niliamua kusepa kwenda bush huku nyuma nikiacha nimewapiga watu matukio.Fund nilimbrock mpk leo ( Ila nitamlipa tu hela yake iliyobaki cku moja )....na wale majamaa wa line cjui hata hari zao zilivyokua baada ya mimi kuwapiga tukio bila kuwasahau wale walio nituma chip's nadhani walicheka au kulaani.

Nitarejea tena nahisi kuhitimisha story kama ctakua na kumbukumbu nyingine tena.
 
Jamaa ulikua huna huruma asee, yaani ukawaliza tena wafiwa kwa mara ya pili!!!
 
Uzi umekimbia sana replies zinasoma buku na usheeee kila nikija kujaribu kuanza

nachoka kusoma naishia kule page ya kwanza story hta robo siijui,hebu tuambizane

story tamu nini,maana sielewi kijiwe kuwa na wachangiaji wengi hivi kuna nini ndani yake?
 
holy holm Nasema Holly unafaa sana kuwa diwani na hata Mbunge. Uandishi umeuweza, nimekutunuku cheo cha kuwa ‘ Muhamasishaji" a.k.a motivational speaker.

Tatizo una vipaji vingi, sijui umeamua kuanza na kipi. Unaweza kuwa, mganga, mfanya biashara mkubwa, mchungaji mzuri, mwimbaji, mwandishi, DJ.

Sijui ndoto zako ukiwa mdogo zilikuwa ni zipi? Lakini Amini kuna makusudi ambayo umeumbwa uje utimize hapa duniani, endelea kuomba kwa imani yako kusudi mapenzi yake juu yako yatimie. Pengine uweze kushuhudia wajukuu na vitukuu vya uzao wako. Amen
 
😂😂😂 ila maisha bna acha tu yaitwe maisha unaweza ukapanga yawe hivi na yakaja hivi, unataka kuja kuwa fulani lakin unakuja kuwa fulani, yaani acha tu.

Sikua kabisa na ndoto za kuimba ( kwaya ) hata kusali tu nilikua cpendi, ila bila kutarajia nimejikuta naimba na saiv nampango nikajifunze kutayarisha muziki ili niwe mtalaamu kabisa ( zaid ya hapa nilipo ).

Ila pia namshukuru Mungu kwa hapa nilipo.
 
Uzi umekimbia sana replies zinasoma buku na usheeee kila nikija kujaribu kuanza

nachoka kusoma naishia kule page ya kwanza story hta robo siijui,hebu tuambizane

story tamu nini,maana sielewi kijiwe kuwa na wachangiaji wengi hivi kuna nini ndani yake?
Ikimbize kimya kimya

Deal na "inaendelea" achana na porojo nyingine...
 
Back
Top Bottom