Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Hadithi ya kweli ya maisha yangu

jamaa walipigwa msibani 😂😂😂

nahis hao ni wanaume wa kinondon chips unatuma uletewe
Hahaha watu wa Dar wakienda mkoa wanajiona maboss na wakuheshimiwa, wanaona kila mtu wa wanaweza kumtuma na kumuagiza!

Eti wakampa na buku 2 ya bodaboda, kuna somo la kujifunza hapa.
 
Inaendelea

Baada ya kuwapiga hao watu matukio niliamua niende kwanza bush nikaonane kwanza na Sasha ( mbulu wa Arusha Sasha a.k.a qilah ndo jina lake )...cku naondoka nilipanda bajaji ilinisionekane na hao niliyo wapiga tukio.

Yani kwanzia yule dogo alie niuzia ile simu ( samsung A20 ) na wale wa chip's + wale wageni wa dar bila kumsahau fundi nilikua ctaki wanione kabisa.

Huyu dogo wa simu yeye nilikua na mmudu vizr tu alafu ukizingatia alikua ananiogopa hata kunidai ataanzia mbali.Ukute akinipigia simu kusema nimpe hela yake anakua anaogopa.

Nilifika bush nikamuona qilah wangu alikua busy na Tamthilia, nilimpa hi alafu nikaondoka kwenda Center kwa dada angu mmoja hivi ( wa ukoo ) nilipiga nae story akaniulizia kama ni kweli nimeoa yule manzi, nilimwambia hapn bado namchunguza kwanza...Wakat tunapiga nae story aliingia mdada fulani hivi ni bonge alafu black ( ni Mkenya ).

Alikua amevaa gauni jepesi rangi ya maroon, kumbe alikua ni rafiki ake na sister alafu alikua mkubwa kwangu.duh alikua anakaa kihasara, nilimwambia hilo goma niaje, akanambia yupo hana raman pale bush.Niliongea na huyo mkenya akanipanga tukutane siku hyo usiku.

Niliondoka nikarud home kwanza tukapiga story mbili tatu na wazazi wangu pamoja qilah, ilivyofika saa moja moja hapo nikachomoka kuelekea kwa sister.Nilimkosa hapo nyumban kwake nikaamua kuelekea dukani kuchukua vocha kwanza, huko dukani ndo nilikutana nao huyo mkenya na sister.Tulirud wote kwa sister, sister akapika msosi nikalazimishwa kula nikala.

Midaa ya saa tatu usiku nilikua bado nipo hapo kwa sister ila mkenya alikua kaenda kwake, alisema atarud saa 4 usiku...kabla saa nne haijafika alikua kasharud tulipiga story hapo sasa ni kuwapa mauongo tu.

Saa tano ilifika sister alienda kulala na watoto wake akaniacha na yule mkenya.Alafu ni giza hamna hata umeme, tuliamua kulala nae kwenye chumba kingine alafu chini kagodoro kalikua ni kachapati ( kameisha kamebaki kama chapati )..tulifanya cku hyo matusi na huyo mkenya nilimrekodi na yeye video pamoja na kumpiga picha ( ninazo mpk leo ).

Kumbuka hata home ckuawaambia nilipo na hata wao hawakuniliza, nililala na huyo mkenya mpk saa kumi alfajir ndo nikasepa home.Nilifika mpka kwenye nyumba anayo lala qilah nikamgongea akafungua.Kabla cjaingia ndan kwanza nilienda chooni nikanawa alafu nikaingia ndani.Yaan hata hakuniuliza nilipokua, tulilala mpk kuka kucha.

Hyo kesho sasa niliulizwa na Mama jna nili lala wap nilisema nililala msiban me na Bro wang ( wa ukoo ) kumbe kulikua na msiba kweli bna kuna dogo mmoja ni wa bush alikufa kwa ajali ya pikipiki, ko uongo wangu ulishinda cku hyo.

Kwa vile ilikua inakarbia Christmas basi niliamua tena kurud musoma lakin qilah wangu alinitaka twende wote nilimpa uongo mpk akakubali kubaki bush.nilisepa kurud zangu tena home.

Lakin cku hyo nimefika, kesho yake niliugua hatar alafu tena nilikua mwenyewe home, niliwajulisha bush kuwa na hari mby ko qilah ilibidi aje tu aniuguze, kabla hajaja yule boss wangu wa ps nae nilimjulisha ko yeye alikuja ckuhyo hyo akanipeleka Maabala cku hyo hyo, walinikuta na U.T.I pamoja na malaria kali, nililala kwa boss cku hyo mpk cku qilah wangu alivyokuja.

Alikuja tarh 24 December bado nilikua naumwa yani hata Christmas ilinikuta bado mgonjwa.Tarh 27 alikuja bro wangu na mdogo wangu ( yule mwizi ) bro alimleta dogo ili atibiwe kienyeji ( maana mguu wake bado ulikua unasumbua )...Qilah aliwahudumia vizur sana tena kwa adabu na ilivyofika tareh 30 tukaelekea bush wote ili dogo atibiwe na kuupokea mwaka mpya.

Yule mkenya cjui alijuaje kuwa nina mke, ilikua cku hyo jumamos jion nilikua najiandaa kwenda Center.Mama alikua nje na qilah,Mama mkubwa na shemeji yangu ( mdada ) walikua wanapiga story zao tu.

Yule mkenya c alikuja kuniulizia, nilikua namuona kupitia dirisha, nilisema leo ndo leo.Ila nilisikia wanatoleana maneno machafu na Mama angu.

Mama alikua ana mtuhumu kuwa anatembea na Mume wake ( Baba angu )....aisee nilijisikia vby yani nilipiga demu wa Mzee.sikua walitoleana shit me nilikua naomba tu asiseme kama nilimgonga.Niliamua kutoka nikamuita qilah wangu tukaelekea Center.niliamua nimtoe ili asisikilize yale makelele.

Cjui yaliishaje ila kesho yake niliamua kurudi tena musoma me na bro wangu kuna vitu nilienda kuvifuata.

Nitarejea tena.
 
hilo ni kweli kabisa, wanajiona maisha wameyaweza.Kama kuna msela mmoja alitoka dar sasa alikua anajickia hatar mpka ugali anakula kwa kijiko.Sasa nilichomfanya, sema nilisahau kumwelezea huyu msela.Ilikua ni 2015 hyo
 
Ukamla na mama yako wa kambo
 
hilo ni kweli kabisa, wanajiona maisha wameyaweza.Kama kuna msela mmoja alitoka dar sasa alikua anajickia hatar mpka ugali anakula kwa kijiko.Sasa nilichomfanya, sema nilisahau kumwelezea huyu msela.Ilikua ni 2015 hyo
Wabongo wana mbwembwe Mpaka ugali anakula kwa kijiko
 
Back
Top Bottom