Inaendelea
Licha ya kupenda kuimba pia nilikua napenda sana kujua kupiga Keyboard

( kinanda ) or piano yani nilikua nikiona watu wakipiga hicho roho inaniuma yani nataman na mimi cku moja nijue....nakumbuka 2014 kuna jamaa nilimuomba anifundishe kupiga keyboard sema alikua ana ringa sana ckuambulia lolote kwake.
2019 mwezi wa kumi ticha angu wa kwaya ( ni dogo tu lakin fundi hatar kwenye piano ) ndo alianza kunifundisha kinanda mdogo mdogo sema nae alisepa ko aliniacha bado sana cjui chochote tofauti na scale za key nyepesi Key C major, hapo chord na progression nilikua cjui kabisa.
Turudi kwanza kwa Yule Manzi



......
Siku zilienda bado huyo demu nilikua niko nae kama rafiki tu.Mwez wa tisa tareh 11 ilikua birthday yake, hilo nilikua na lijua cku hyo nilipanga tukitoka zoez nikiwa na msindikiza nimpe hela kidogo kwa ajili ya hyo siku yake muhimu, lakin siku mwambia nilitaka ku m-suprise njiani.
Zoezi lilivyoisha niliona demu kawai kutoka nilijua tu atanisubir nje.Na mimi nilivyotoka nje ckumuona mazingira ya kanisan, nilimuangaza mpk nikampotezea sasa ile nataka kuelekea job ndo namuona Manzi anakuja na bishoo mmoja hivi alafu akaniita nimsubir.
Alifika akanambia ni msindikize nilikubali sasa tukawa watatu mimi,yeye na huyo bishoo.Njiani hata sisemi chochote niko kimya nawasikiliza wao tu wakiongea, baadae ndo akavunga kunitambulisha kwa huyo bishoo kuwa ni rafiki ake sasa alikuja kumpa hi....bishoo nae alinileteea maisha ya kwenye video



eti akanikaribisha kwao.Niliamua kuwatema nikatoa sababu ya uongo ili niondoke ( niliona ni ujinga yani nitembee njiani bure tu )...Manz alijua kuwa cjafurahi alikataa nisiondoke akawa amenizibia njia kwa mbele, yan mpk huyo bishoo wake alishangaa maana demu alimsahau kwa muda.
Niliondoka licha ya kunizuia nisiondoke nilikua na wivu kwa huyo demu...Usiku alini tafuta kama kawaida akalizungumzia hilo swala me nilimwambia ulifanya makosa sana kumleta huyo boy wako.Siku hyo Manzi ndo alinikubalia ombi langu kuwa ananipenda..nilifurahi kinoma nikasema kwa nzia muda huo wa kukubaliwa na manzi naachana na mademu zangu wote na nitakua mtu mwema kabisa.
Licha ya kunikubalia lakin kunipa mzigo alikua ananibania sana.Siku moja ilikua Alihamis cku hyo niko home najiandaa kwenda Job midaa ya saa nne hivi...Manzi alini text kuwa niko wapi nikamwambia home, akanambia yeye yupo Majita road kama naweza kwenda kumuona niende.
Jumatano Sister wangu alinitumia pesa fulani hivi nilimuomba eti za kwenda kusoma Veta ( ilikua ni mauongo yangu tu ili anipe hela hakuna cha veta wala nini )....Alituma ckuhyo pesa nyingi tu pamija na ya mdogo wangu wa kike ya graduation ( alikua kamaliza la saba ) Mzee nae hakuachwa nyuma nae alitumiwa hela ya kutosha tu ( nilimuona kafurahi


).Nilitoa pesa kwa wakala nikampa dogo hela yake zilizo baki niliagizia pad za ps zilikua zimeaharbika hela nyingne nikaenda nayo zoezi.
Muda wa zoez kuisha kipindi na msindikiza yule manzi alikua ameninunia, tulifika sehemu nikamtolea noti moja ya 10k kumpa akakataa nikatoa nyingine kumpa pia akakataa kutaka kutoa ya tatu alinizuia akanambia yeye hana shida na hela ko nisiwe najitesa kumpa yeye kanipenda tu the way nilivyo.Nilimlazimisha azichukue hela mpk nikamwekea kwenye pochi yake kinguvu ndo akazikubali.Siku hyo alini text kunipa asante na pia kwa ninavyomjali.
Sasa sku ya alhamisi alivyonambia ni mfuate Majita road nilihairisha kwenda job ikabid nimfuate mtoto yani hata boda cku panda nikiofia itaniangusha mwishoe nisimuone mtoto mzuri.
Nilifika road nikamkuta alikua kapendeza sana, alinichukua mpk kwao, nilifika alinipa chai cku vunga nilikunywa fresh tu.Sasa tulipiga story hapi sebulen kwao mpk story zikaisha, aliwasha tv kulikua na kipind cha Dadaz eatv me nilimwambia sion hivyo vpind vya hovyo akaamua kuzima tu Tv.
Alikua kakaa kwenye sofa kubwa niliamua nimfuate nikaanza kumpapasa akawa hataki.Lakin nili force mpk akakubali.Kwenye kumvua ilikua ni shughuli pevu.Mpk namvua nguo zake jasho lilinitoka sana.Nilitaka kumgongea hapo kwenye sebule lakin alikataa akadai twende chumbani kwake ( yaani me akili ya kukamatwa ilikua hata haipo hamuez amini


)...nilimgonga kamoja kamoja ckulidhika lakin yeye alikataa akasema mida ya mama ake kurud ndio ile, ko nilitoka na hasira nikasepa zangu, sasa alikua anapiga simu za kutosha lakin kwa makusudi ckupokea.
Nakumbuka text yake cku aliyonitumia baada ya kuona kuwa cpokei simu yake.Alinambia kuwa me ndo boy wake wa kwanza kumuona akiwa uchi sasa yawe yangu nisitangaze.


kama alijua vile maana muda nilikua njiani naenda kwa msela wangu nimpe story kuwa nimekula kitu tena kwao.Nilifika kwas msela na kweli nili mwambia nilivyokula Tunda.Yani Manzi hyo ndo ilikua tiketi ya kuanza kusex nae, kila nilikua nikimuhitaji chapu na mla.Nilimpenda kiukweli huyu manzi toka moyoni nilipanga hata nije nimuoe cku moja.
Pale ps kuna Jamaa mmoja nili ckuli nae sasa yeye alirudia shule na huo mwaka 2019 ndo alijua anamaliza form four, alikua anakuja pale ps tunapiga nae story kisha anasepa.Kuna siku alimkuta boss wangu akamtoa pembeni ckujua walivyoongea lakin nilistuka kitu kimoja.Huyo jamaa alivyomaliza kuongea na boss alikuja akanambia nikimaliza paper la form four nitakuja kupiga kazi.Sikumjali sana kumbe nafasi yangu huyo jamaa ndo aliibeba, yani nilikua namfundisha baadh ya vitu pale ps kumbe alikua analake moyoni.
Na kweli alivyomaliza mtihani akawa amekuja rasmi tukaanza nae kupiga kazi wote alivyojua tu yeye ndo akawa boss kwangu ( kwa Amri ya boss ) ckua nilikosa nini mpk boss afanye hayo maamuzi.Nilichukia ila ckua nalakufanya.Doro likaanza tena kunipiga.
Before hayo hayajatokea Mwez wa kumi mwishoni Huyo manzi angu aliondoka musoma akaenda Chuo Tabora ko nilibaki sina Manzi ( maana niliapa kuwa ctakua na manz mwingine zaid yake )....kwakua huyo manzi alienda chuo nilijua tu ctokua pekee angu na mimi nilamua kurudisha majeshi kwa Yule manzi angu wa zamani ( lizy ).nilimtafuta nikamwelekeeza ofis ilipo ko akaja, ila saivi alkua ni mdangaji hatari hakuwa yule demu wa zamani.Yani alikua hapitwi na kwenda club ( Metro,modern club na sehem za starehe nyingine )
Ko nilikua nae hivyo hivyo kibabe nikimwambia aache hayo mambo alikua anambia mbn me niliyafanya hapo nyuma ko lazima na yeye afanye roho imlidhike.Kuna siku alikuja na rafiki ake bila hata kunipa taarifa kuwa wanakuja.
Siku hyo walitaka bia nikasema me msabato c mnunulii mtu pombe huyo demu alisema niache kuvunga usabato kitu gani na huku me ni malaya.Niliona isiwe shida nilimpa hela wakanunue bia wenyewe.
Kufikiria matukio yoye nayo ni kipaji asee...ila ngoja nipambane....
Siku hyo usiku nilitumiwa text no ilikua ngeni text ilisemaa "
shem mambo" nikajibu fresh kusha akajitambulisha kuwa ni rafiki ake na yule manzi ( lizy ).Alitaka nimkopeshe hela 40k et atanirudishia cku chache zijazo.Sikua na hela kwa muda ule zaid ya za ofisini ko nilimkubalia tu kesho aje home achukue.Alivyokuja nilimgonga afu nikamwambia me hela sina mpk jioni ndo nitampa.
Aliwaka cku hyo kwa hasira


lakin ckua nala kumsaidia, ilifika jioni akani text nikamwambia kesho aje mapema tu nitampa hyo hela lakin tena alichezea rungu nilikua na buku tano ndo aliichukua akasepa ila alini laani balaa..
Nitarudi tena