Inaendelea
Huyu Manzi wa pili alikua ni msabato Pure yaani hata namna ya kumwingilia umtongoze inakua kesi nyingine.
Nilikutana nae Fb mwaka 2017 sema tu ckumtilia maanani sana.Namba zake ilkua tabu kunipa ila kuna cku alinipa no zake za whatsapp tu.nilimueleza navyompenda alinambia hayupo tayar maana ana mchumba anasomea uchungaji Ko ana future nae yaani alinitumia na picha ya huyo mchumba wake.
Nilimuomba anione huruma bila yeye mimi c chochote lakin alinikazia kinoma.Nilimwambia cku akiwa tayar me nipo mwingi tu namsubiri.
Mwaka 2018 ndo tulionana..................
Kuna siku nilichat nae usiku.Siku hyo alikua amechangamka sana mara aniweke Dp mara amueke huyo mchumba wake, me nilimuomba tukutane kesho yake hata nimuone ( maana nilkua cjawai muona live tofaut na Fb )...alizingua lakin nilimkazania mpaka akakubali.
Yaani kwa wakati huo nilikua na madem wengi wengi sema ndo walikua hawajui.
Kesho yake nilienda kwenye mawe kama kawaida lakin simu muda wote nilikua nayo, mida ya sanne alini text kuwa saa Tisa mchana atakua amefika sehem tuliyokubaliana, nilifurahi nikamwambia huyo rafiki tunaye choma nae mawe kuwa nitawai kuondoka, jamaa hakuwa na shida sana.
Ilifika saa nane demu aka nitext kuwa anajiandaa....nilitupa nyudo ya mawe nikakimbia bafun kwao huyo rafiki angu, nilioga speed nikasepa home kwenda kubadili nguo, nilikua naona kama sifiki home niliamua kupanda boda ili niwai.
Nilimaliza kujiandaa na mimi nikatoka kwenda M-pesa kutoa kahela kidogo kwa ajili ya chochote kitakacho tokea.Nilivyokua M-pesa manzi alinitumia text kuwa yupo kwenye boda anakuja.
Tulikubaliana tukutane Pensula beach ( complex ) sasa mimi nilienda nikasimama pale kwenye lile bango la pensula ili iwe rahisi kumuona akiwa anakuja.nilisimama karibu dakika 20 mtu atokei kumtext naona kimya, nikajua tu kanidanganya tu yaani nimeoga bure bure tu.
Manzi alitext kuwa amefika nikamwambia mbn sikuoni, alianambia kafika niendee kumfuata.Nilidhani labda atakua kaenda pale Musoma hotel ko nikawai kwenda kumuona ( Musoma hotel na pensula beach zinapakana )....huko nako nilikuta chafu yani mtu hayupo, nikajua labda yupo kule bwalo la police, kabla cjaenda bwalo la police nilimpigia kumuuliza vizur kumbe alikosea yeye alienda kule Tembo beach.
Nilimuelekeza vizur ndani dakika 15 hivi akawa amefika pale complex.Nilivyomuona nilimpenda tena kwa mara ya pili manz ni mrembo kavaa kiheshima mpk raha.Alitoa kipoch chake ili amlipe boda kidume nikasema namaliza, nililipa hela ya boda tukaondoka kuelekea beach.
Complex kwa wakat huo ilikua haina watu wengi sana kama zamani.Niliamua kumpeleka mlimani ( kuna sehem imetengenezwa vizur alafu kuna vinyumba huko juu )...kwanza aliniuliza nampeleka wap kwanini tusikae kwa huku chini, nilikosa majibu mazur ila nilimwambia huko chin waongo wengi.
Nilipanda nae mlimani ( kuna ngazi zipo zimejengewa ) tukafika sehemu moja tulivu sana.tulipiga story zikaisha akawa anataka nimwambie nimemuitia nini pale. me muda wote huo nilikua namlia time tu akae vizur.
Nilijarbu kumshika kiuno alinitoa mkono akasimama juu akiwa kanuna, alinambia mapenz hayaja mleta pale...duh niliona nimeharibu me nae nilimjibu kama mapenz hayajamleta kaletwa na nini pale si aondoke, alizingua balaa lkn me nilimwambia anipe hata mate tu ndo asepe akakataa, ckutaka kumtolea hela maana angeniona kama na uchu sana nilimuacha akijiona mjanja sana.
Cku hyo hyo usiku alinitafuta akanipa no zake nyingine za simu zile nyingine alinambia nifute kasoro za whatsapp...tulichat mwishoe alinikubalia ila akanipa mashart tusifanye mapenz mpk cku ya ndoa alinipa na vifungu vya biblia nilimkubalia tu ( moyon nilisema hyo kitu haipo )..cku moja ilikua jumamos tulihaidiana kukutana mchaana baada ya ibada.Tulikua tunasali makanisa tofauti sasa cku hyo ilipofika saa kumi alinipigia simu akanambia anakuja Kanisan kwetu, kweli alikuja nikaondoka nae kwenda home.
Cjui alijua nia yangu maana alikuwa anasita kuingia ndani nilimlazima wee mpk akaingia, cku muacha cku nilimshawish tufanye sex aligoma akataka kusepa nikawai kufunga mlango wa kutokea nje.
Alinambia kwanini nataka kuvunja Sabato


nilikosa la kusema nilimwambia asijali mambo yatakua sawa tu.Alinipa sex kishingo upande ila ckuifurahia maana niliona nimemkosea Mungu kufanya mapenz cku ya Jumamos tunaambiwa ni laana kubwa. Usiku nilimuomba Mungu msamaha.
Penz letu liliendelea alikua ananitunuku Sex bila shida.sema ckupenda tu alivyokua ananipelekesha kama mtoto nilimuacha ma yeye kisiri siri ila mpk leo bado ni wapenzi japokua kashaolewa na huyo mchumba wake, now wanaishi Bunda Mjini.
Nitarud tena