Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Inaendelea

Kati ya watu ambao walikua hawanipendi Basi Bonge alikua ni wa kwanza tulikua hata tukikutana barabaran hatusalimiani.

Basi siku ile nilivyoona lile geti pale nilimlaani bonge nilijua tu ni yeye ndo kamshaur bro wake waweke lile grill mlango wa nje ila nilisema fresh tu njia itapatikana siku moja.

Ilipita kama wiki tena hivi siku moja nilimtext yule manzi ( wa kwao bonge ) nilimwambia kimatani tu kuwa nime mmiss hatare..lakin hakujibu kitu nikatuma text nyingine nikamwambia namtakia maisha mema akajibu sawa niliumia kidogo nikasema hata hivyo nina mademu sio yeye tu anisumbue kichwa.

Licha ya hyo nyumba kuwa na vyumba vingi lakin nilikua silali home sana, kuna mshikaj wangu mmoja ni mwanasheria alikua ana gheto lake ko ndo nilikua nalalapo kwake cku moja moja kama hayupo.

Kama zali bana kuna siku natoka kulala kwa huyo mshikaji wangu ilikua saa 2 asubui naelekea home sasa...nilipitia pale kwao na bonge nikaona mlango wa nje uko wazi cku jali niliendelea na safar zangu za kwenda home....jirani na pensula hotel kuna viduka flani hivi vipo hua kuna watu wengi wengi hasa wavuvi na wasio na ramani town hua wapo kupiga umbea.

Nilimkuta bonge alikua na yule mdogo ake wapo dukani cjui walikua wananunua nini....niliwaona na wao wakaniona cku wasemesha ila niliona hyo ni fursa pekee kwangu kulipiza kisasi changu ili roho itulie kwa Amani, nilijifanya kama naendelea zangu na safar kumbe nilikua na hesabu zangu na wachora tu nilimuona yule mdogo wake bonge anaelekea ziwani na mvuvi mmoja ( labda alienda kununua samaki wabichi )..nilimcheki bonge yeye alikua kabaki pale anapiga umbea tu baadh ya wadau pale.

Nilipita kanjia flani hivi kako mliman ili nirud kwao bonge nilikua speed hatare ( hakukua mbali sana ni kama dakika tano hivi unakua umefika )...nilifika kwao bonge nikaangalia angalia pembeni nikahakikisha hakuna mtu maeneo yale moja kwa moja ndani, bahat nzur milango ya chumbani nayo ilikua iko wazi, moja kwa moja mpk kabatin kwenye ile briefcase nilikua speed hatar huku naangalia dirishani kama wanakuja watu, nilikuta kwenye briefcase kuna viela nikavichukua bila hata kuhesabu, nikafungua kabat la nguo nilibeba nguo nyingi.

Nilichukua kadet tatu ya maroon moja, nyeusi moja na kaki moja pia nilichukua staff Jean's 2 zilikua mpya kwenye makaratasi yake.Boksa nazo nilichukua tatu mpya kabisa, shati nilichukua mbili na tishet mbili kali kinoma.Niliingia chumbani kwa yule demu ckukuta cha maana sana nilichukua wigi la huyo demu na spray ili nikaonge manzi angu.sikua na cha kubebea nilichukua begi humohumo cjuo lilikua la nani ila me nilichukua tu nikaweka vitu nikatoka nje kwa haraka sana nilichungulia nikaona hakuna tena mtu huyo nikasepa na beg mgongoni nikarud na ileile njia ya mkato mpk home.

Nilifika home madogo walini shangaa Mzee alikua job kwake na yule mdogo wangu wa kike yeye alikua shule.nilifunga mlango nikatoa vile vitu, madogo niliwapa mgao ma wenyewe ila walini sifu kinoma ( ilo tukio nikikaa kuliwaza nacheka na kuhuzunika cjui bonge angenishika ingekuaje ).

Nilitoa vile vipesa zilikua ni 80k nikawapa madogo 50k watumie nikabaki na 30k ya kutanua nayo.

Zilipita cku nikawa hata siendi kulala kule kwa mshikaji kuna siku yule dogo langu ametoka shule akaja akanambia kuwa bonge amemwambia kuwa ani peleleze kama nina begi jeusi akamwambie, niliona bonge ni fala sana yani anamwambia huyo dogo siri dogo mwenyewe muongo kama mimi.

nitarejea kidogo.

Ulıvyoıtaja Peninsula hotel at least na mımı nımepata pıcha kıchwanı ya maeneo yanayozungumzıwa.....nımefıka Musoma mara moja na nılıfıkıa hapo na hıvyo vıduka kama sıkoseı kwa pembenı kuna michongoma .......
 
Habarini tena humu ndani ni matumaini yangu mko vizuri, licha ya changamoto tunazozipata lakini bado Mungu anatupigania.

Rest in Peace Rais Magufuli umeondoka ghafla sana licha mimi kuwa mpinzani lakini nilipenda kuona unamaliza muhula wako wa pili, lakini ya Mungu mengi tuzidi kupendana.


Inaendelea

Wakati bado tunasubiria muda wa kuhama pale ufike tabia yangu ya wizi ilikua bado inaendelea japo ilikua sio mara kwa mara lakin nilikua nikipata chance lazima nipige tukio.

Mzee wangu kuna msala aliupata nadhani hatokuja kuhusahau,

Mzee nae alikua ni mtu wa madili sana kufoj nyaraka za serikal ilikua ni zake ( moderator's naomba mnilinde hapa na wakuda )....madili alikua anayapiga sana tena mengine kama hayupo me ndo nilikua nayamaliza kiaina ( kwa maelekezo yake ).

kuna siku moja miaka ya nyuma kidogo alienda semina Dodoma, siku hyo alinipigia na akaniagiza niende kwa mtu fulani hivi hata cmjui ( huyo mtu ni mtumishi wa Manispa )...cku alinipigia simu akanambia niende sehemu fulani kukutana na huyo mtu kuna mzigo atanipa alafu tena akanambia nikimaliza hapo niende tena sehemu fulani kwa mtu mwingine nimkabidhi huo mzigo kisha nitasaini then nichukue pesa alafu hizo hela nichukue 20k nyingine nimpe Mama atunze.

Siku hyo nilifanya hicho kitu nikiwa naogopa maana mzee alinambia niwe makini sana maana nikishikwa ni hatar kwake.Alinambia kuwa ananiamini sana ndo maana kanituma, kweli hiyo mishe yake nilimfanyia vizur sana alinisifu cku hyo ko ikawa akiwa hayupo mishe zake me ndo namaliza. kuna siku walikuja wanajeshi na gari ( teksi ) niliogopa nikajua wana mtaka mzee ( mzee cku hyo alikua amesafiri kikazi ).....waliniuliza mzee yupo wapi nikawadanganya.wakaondoka baadae tena wakarudi wakanipa simu niongee kumbe alikua ni mzee, alinipa maelekezo kumbe walikua wanataka mzee awafanyie mchongo.Basi nilipewa maelekezo na mzee nikamalizana nao wakaniachia hela wakasepa zao.


Basi bana c mnajua tena kipindi cha magufuli Wakuu wa mikoa na wilaya walikua wanafanya kazi kwa mihemko ili tu wamfurahishe boss wao ( r.i.p Magufuli )....Huo nao naona ulikua mwisho wa shughuli za mzee wangu.


Ilikua ni usiku kama saa mbili hivi niko home me na wadogo zangu tunaona movie..tulisikia boda inakuja, tulijua ni Mzee na kweli alkua ni yeye alipitilizia mpk chumbani kwake akaniita nikaenda chumban kwake alinambia tu kimenuka ( cku mwelewa kwa wakati huo ) alichukua baadh ya vifaa vyake vya kazi akanambia nikavichome alafu yeye akaondoka tena na ile boda iliyomleta.


Baadae kidogo akaja Mama mmoja na Baba mmoja hivi wakagonga mlango niliwafungulia wakaniita mimi nje waongee na mimi.Nilipatwa na hofu maana nilijua tu kuna kitu kibaya kimetokea. ( nilikuwa nafikiri ni ajali )

Walinambia kuwa Mzee wangu kakamatwa yupo Central kwa amri ya Mkuu wa wilaya.Hapo nilijua tu mishe zake zimejulikana, niliwapigia simu ndugu ikiwemo Mama nikawapa hyo taarifa kesho yake ndugu walikua wanapishana tu nyumbani maana kesi ya Mzee ilkua ni Kubwa mkuu wa wilaya kachachamaa vby mno.

Dhamana alinyimwa maana kesi yake ilikua ni nzito kidogo mkuu wa wilaya aligoma wasimpe dhamana kwanza.Bahat nzur walio mshtaki walikua hawana uhakika na wanacho mshtakia mzee.Kumbe Dc nae alipewa taarifa na waongo kuwa mzee anafanya mishe sio halali nae akakurupuka tu kumkamata bila ushahidi wa kutosha.

Alikaa Central kama cku tatu hivi wakaamua kuja kumkagua mzee nyumban kwake waone kama watapata ushahid wa kumpeleka mahakamani.Sikumbuki ilikua ni juma ngapi siku hyo ila ilikua ni kama zali me kwenda kituoni police kumpelekea msosi Mzee.

Yani ile nafika Central tu na msosi nakuta mzee mzee nae wanamtoa Central ili wakamkague kwake.Aliniongelesha kwa saut ya chini sana kuwa niwai home nitoe vitu vyake ambavyo vinaweza kuwani ushahidi.

Nilivyoambiwa tu hivyo nilifanya mchakato wa kurud nyumbani upesi ilinimuokoe Mzee kwenye balaa lake.Japo mzee na baadhi ya maaskari wa upepelezi walikua na gari nilitumia dakika chache sana kufika ingawa niliwakuta wameshafika walikua wapo tayar sebuleni wanamsubir mwenyekiti wa mtaa ili waanze kazi yao ya upelelezi.

Niliingia chumbani kwa mzee kwa siri nikatoa vitu vyote ambavyo nilikua najua vitamletea shida.Dakika 3 zilinitosha kutoa vitu vyote nilivyokua najua vina shida.ile namaliza tu kutoa mara mwenyekiti akawa kashakuja ko zoezi lilianza mara moja.

Hawakupata cha maana sana tu walivurugua sana nguo na vitu, alafu wakarudi na mzee Central kesi ilikua bado ngumu.walikbali kumpa dhamana baada kukaa wiki nzima.walitakaa tutoe 1 million ili kusud aweze kuachiwa huru.

Hela ilichangwa na wandugu hususan Mama angu me pia nilimuibia yule jamaa 100k nikaitoa ili mzee aweze kutoka ndani ma kweli alitoka ndani baada ya pesa kukamlika.

Mzee alivyotoka aliapa kabisa kuwa hiyo michezo ameacha kabisa ko watu walikua wakija anawarusha, alafu me pia nilifurahi kusikia hivyo.

Maisha yaliendelea na kuna siku alikuja pale mdogo wake yule jamaa ( mtoto wa mwenye nyumba ) ni wa kiume alafu bonge la mtu ( mnene kama Msechu ) ko huyo mgeni alie kuja niliona ni kama kikwazo kwangu mwenye shughuli zangu.

Nitarud tena kusimulia.
ni mchongo gani au bangi?
 
Ulıvyoıtaja Peninsula hotel at least na mımı nımepata pıcha kıchwanı ya maeneo yanayozungumzıwa.....nımefıka Musoma mara moja na nılıfıkıa hapo na hıvyo vıduka kama sıkoseı kwa pembenı kuna michongoma .......
hujakosea kabisa hapo unakuta watu wapo wengi ni umbeya tu unapigwa
 
Inaendelea

Samahani jamani story ni ndefu kinoma na ninataka kuwaletea tukio baada ya tukio.

Siku ile nilivyomwacha yule Manzi angu kwa msela wangu basi nilimuhadi nitakuja kumuona mida na 20k juu nikamuachia.Nilirud pale dukani kumsubir yule dada aje nimkabidhi then nisepe kwenye mawe yangu.

Mchana nilirud pale kwa msela kumchek manz hakuwepo aisee..kumtafuta kwenye simu akanambia kuwa karud kwao nikasema vizr kama amerud kwao.Kiukweli huyu demu ni vile tu nilikua nampenda maana ndo demu wangu wa kwanza ( baada ya sugar mumy ) kumpenda nilikua nampa kila anachokitaka kama kiko kwenye uwezo wangu.

Kumbe cku hyo anambia kuwa karud kwao kumbe alinidanganya hakua kwao alikua mitaani tu anapojua yeye, nilichukia hicho kitendo lakin usiku kama kawaida alinambia nimfate kuwa kafukuzwa tena kwao, nilimfuata nikaja nae yena dukani cku hyo alisema kuwa kachoka kusex nilimlazimisha we lakin wapi nikamuacha tu na K yake.

Ila huyu Manzi aisee cjui alinichota sana akili zangu nilikua sina usemi kwake, kuna siku alikuja Ps bila taarifa akanikuta niko na mwanafunzi mmoja wa Bukanga high school ( kalikua kamchepuko kangu ) alimzingua vby mno huyo mwanafunz, Mwanafunz alivyosepa, huyo manz alinichukulia simu yangu kwa nguvu akatoa laini yangu ya voda akaichukua kibabe na akanambia ni msindikize buhare.Kumbe huko buhare alikua anamsela wake yaani kifupi ni kwamba nilimsindikiza manzi yangu magetoni mwa huyo msela wake ( nilikua cjui nilikuja kujua cku zimepita ).

Huu mwaka nilkua na Mademu wengi ngoja niwaelezee kwanza hawa wawili before cjamuelezea huyo manzi.

Nianze na huyu wa kwanza alikua anapigo za ki tomboy, alikua ni mgeni pale mtaani mara ya kwanza kumuona nilikua naenda cku hyo zoezi la kwaya.Nikamuona mtoto mrembo lakin pigo za kiume nilipishana bila kumpa hi nilisema tu hichi chombo cha wapi, nilivyotoka zoez nilipitia ps kama kawaida wakat tunarud home tena nikakaona kako dukani.

Nilimpeleleza nikajua anapoishi ( alikua anakaa na mama ake mdogo ambaye ni matron shule ya msingi )...nilikua na muwinda anipe no kweli cku moja nilimbahatisha akanipa no zake, lakini text zake sasa nizile oyi, inakuaje na nyingine kama hizo nikajua hapa sina sipati kitu manzi kaniona me ni msela wake.

Nilimtongoza akanitolea nje karoho kaliniuma nikasema fresh mazoea nilianza kuyapunguza kwake mdogo mdogo nilikua ctaki niwe na urafiki nae tofaut na mapenzi.

Kuna siku nilichelewa kutoka zoez la kwaya ko ps ckwenda niliamua tu kurud home moja kwa moja, kama bahat nilikutana nae anatoka dukani, nilimpa mambo afu nikaendelea na safar alikosea kuniita nilirud akanambia mbn namkaushia ckuiz text ctumii, nikamwambia nimeuwawa cna vocha akanambia mida niendee kwao kufata.

Nilimwambia na mamdogo ake vipi c atazingua akanambia yupo mwenyewe ( mamdogo ake alikua zamu ya usiku cku hyo )..nilimwambia fresh nitakuja, ila nilijua tu ni utani ko ckutilia maanani sana, nilielekea home midaa ya sanne alini text akanambia kama naenda kuchukua vocha au siendi afunge geti, nilisema kumbe hyu demu yupo serious...nilimjibu naenda ckupoteza muda nilipiga mswaki kwanza ( maana nilikua nimekula dagaa siku hyo ) kwa ajili ya lolote litakalo tokea.

Nilifika kwao nikiwa nje ya geti alitoka kunifuata akanitaka niinge ndani nichukue vocha nikazuga ctaki kuingia akanambia basi kama utaki kuingia vocha anipi, niliingia ndani.Siku hyo huyo tomboy alivaa zile skin tight za suruali ilikua nyeusi pia alikua ana litishet likubwa linamfikia magotini.

Tuliingia ndani wasiwasi kwa mbali maana ni kwa watu.Ndani mwao palikua pazur sana, nilikuta anaangalia mpira ( uefa )....huyu demu alikua anajikuta cjui nani yaan mpk mambo ya mpira anayajua.

Nilifika ndani nikakaa kwenye sofa la size ya kati yeye akakaa sofa kubwa tukawa kimya kwa muda nikavunja ukimya nikamwambia anipe vocha yangu nisepe, alitoa buku tano akanirushia nilichukua, nikamfuata alipokaa kumshika paja anazingua anautoa mkono wangu, nilimlaza kwenye sofa sasa inshu ilkua ni kumvua nguo zake, tulipambana sana mpk nikasarenda mwenyewe ko nikaamua kuondoka lakni alikua hataki.Niliamua sasa nilimvua nguo zote inshu ikawa kusex nae tena nilitokwa na jasho cku hyo, kalibana miguu hatari nilimkunjua mpk akakubali, nilimkuta hata siyo bikra ila njia ilikua ndogo ko nilisex nae mpaka nilichubuka, nilienda saa nne nikatoka saa tisa.

Tulivyomaliza kusex alianza kunirusha roho na vimaneno vyake, eti kuwa we una sex na mtu usiye mjua kiundani, mapigo ya moyo yalikimbia sana nikawa najiuliza ana ukimwi ndo maana alikua anakataa kusex, nilisema nimekwisha kijana wa watu.Niliwai home nikanawa vizur lakin mchubuko ilikua ni mkubwa kidogo nilijilaumu kwanini nilikutana na huyo Tom boy.Kesho yake niliamka na mawazo kinyama nikasema dawa ni kuto kupima hyo h.i.v, cku zilipita mchubuko ulipona tena nikaendelea kusex nako bila kinga nikisema kufa ni kufa tu.

Nimalize tu huyu Manzi kuna siku alinambia kuwa ana mimba akanionyesha na ki chet cha maabala ckuikataa mimba niliifurahia tu, lakini demu aliondoka mpk leo hatujaona ila tulikua tuna wasiliana now ana watoto wawili mmoja ndo huyo wangu mtoto ni wakike mara ya mwisho nilimuona 2019 mwishoni alinitumia picha yake tokea hapo mpk leo mawasiliano hayapo baina yetu.


Nitarud kumwelezea huyo wa pili
 
Ooooh kumbe sasa napata picha maana niliona vijana maeneo hayo ilikuwa mida ya jioni giza limeshaingia.......nilinunua vocha kati ya duka moja wapo kuna mwanamke aliniuzia.
huyo mwanamke ana ni mweupe mkuu?
 
Back
Top Bottom