



Hahahaaaa, eti mjaidina!!Mwaka huu nimekutana na story mbili kali kwa hapa jamii forum ile ya..... Khumbu na hii ya huyu Mjaidina. Mpaka hapa mzigo upo 50/50.
Kuna moja ni prison break na nyingne the wire uku mbele tutajua kila story na jina lakeMwaka huu nimekutana na story mbili kali kwa hapa jamii forum ile ya..... Khumbu na hii ya huyu Mjaidina. Mpaka hapa mzigo upo 50/50.
Link ya hiyo story please!Mwaka huu nimekutana na story mbili kali kwa hapa jamii forum ile ya..... Khumbu na hii ya huyu Mjaidina. Mpaka hapa mzigo upo 50/50.
Asante sana.Hatimaye nimemaliza kuusoma uzi
Nilitamani zaidi kusikia kuhusu yule dogo mliyeiba naye kipindi mpo shule ya msingi mpaka msala ukafika shuleni kisha polisi. Pia kuhusu mdogo wako mwizi.
Huu ukorofi pamoja na kwamba umechochewa na mazingira uliyoishi,lakini kuna vitu umerithi kwa wazazi
Matukio yote uliyopiga humu yamefanikiwa, lakini ninaamini hata uwe smart vipi lazima kuna matukio yalifeli, na ukakamatwa na pengine si mara zote ulikuwa shujaa, naamini zipo siku ulikula kipondo cha haja
Kwa haraka haraka mali ulizoiba ndugu yangu zinafika hata milioni hamsini.
Pia inaonesha yaani wizi upo kwenye damu, ndio maana wizi wako haukuwa full time. Yaani unafanya kazi halali lakini wakati huo huo unaiba
Kinachovutia kwenye hili story yako ni namna unavyochanganya dini (maisha ya kumfuata Mungu) na uchakaramu
Endelea kutoa story aisee,maisha yenyewe ndio haya haya![]()
Wamesalimu kivipi? Wameshusha tena au?Hebu endelea. Waliotupandishia Bei ya bando wamesalimu amri. Samia hataki unafiki.......
Watoe tangazo la kustopisha bei mpyaWamesalimu kivipi? Wameshusha tena au?
Wameambiwa watoe tangazo au?Watoe tangazo la kustopisha bei mpya
Wametoa tangazo la kustopisha vifurushi vipyaWameambiwa watoe tangazo au?
Kama nikweli itakuwa afadhali kwamaana wemepandisha vifurushi kwa kiasi kikubwa sana kupita kiasiWametoa tangazo la kustopisha vifurushi vipya
Cheki cheki kuna uzi na document imeambatanishwa toka TCRAKama nikweli itakuwa afadhali kwamaana wemepandisha vifurushi kwa kiasi kikubwa sana kupita kiasi
Aise nimeona afadhali hali ilikuwa sio kabisaCheki cheki kuna uzi na document imeambatanishwa toka TCRA
Link ya hiyo story please!
Dah... Mkuu poleAsante sana.
Kuhusu yule rafiki angu wa utotoni na dhani nilimuelezea sema kuna yule mmoja ndo cku muelezea yeye alikua mafia hatar, yeye aliua ko hatujui alikimbilia wap ila taarifa zisizo ramsi nasikia yupo Jela huko Dar.
Pia sio matukio yote nilikua na faulu for 100% mengine nilikua na feli mfano tulijaribu siku moja kuiba kwa mkurugenzi wa manispaa madumu ya mafuta ya kupikia me na yule muhuni wangu ( r.i.p kwake ) pamoja na jamaa mmoja hivi mishe iliwai kusanuliwa ko tulishindwa mission.
Na kuhusu kupigwa nimepigwa sana tu yaani ukiniona usoni,mgongoni na mguuni kuna makovu sana mguuni.
Pia ni kweli lbda wizi nilikua nao toka damuni maana nilikua nikikuona umekaa kizembe lazima nikuchukulie chochote.
Kuhusu kuchanganya dini na uchakaramu kiukweli ckujua nilitendalo.
Sio kitabu . Inabidi iwe movie kabisa.daah bro ningekuwa na fund tungeandika kitabu bonge moja la story