Inaendelea
Basi baada ya huyo boy wa manz angu kuwa ananitumia text za vitisho kuwa nirudishe zile heka zake na kunambia niachane na Manzi ake...nilikua na mpuuza lkn ilifika wakati nikaona huyu mazoea yamezidi sasa...aliniwapa washkaj zake no yangu na wao wakaanza kunitukana kweli matusi mabaya eti kuwa wakinishika watani fira....niliona sasa wamevuka mipaka yao...
Nilimuita huyo demu siku hyo akaja nikamgonga na kumpiga picha za uchi, alafu nikamwelezea huyo demu kuwa unatoka na fulani akaruka vby mno nikamuonesha mpk zile text nilizokua na chat nae..akaamua kusema kuwa huyo jamaa ni kweli alimtongoza lkn alimrusha na huwa ana msumbua lkn siku mwambia kuhusu huyo jamaa kunitukana na washkaji zake...nilimuacha tu akasepa zake hakujua lililokua moyoni mwangu.
Nilipanga kuwa fanyia tukio hao jamaa mpk wakiwa wananiona wawe wanapita mbali...of course me vitu vyangu nilikua nafanya kwa uhakika..kuna msela wangu mmoja ( yule wa utotoni ambae tulikua tunaiba nae usiku )...yeye bado alikua anakaa
Iringo ( mpaka saiz bado yupo Iringo )...niliamua kumtafuta kwa ajili ya huo mpango...na kweli jamaa alinambia ni mimi tu nikiwa tayar nimwambie.
Huyo boy wa msela kuna siku alini text tena nilimjibu majibu ya dharau akajaa..akasema atanikomesha...nilimwambia tu your welcome.Nilimpanga siku hyo demu nikamwambia kesho jumamosi baada ya ibada twende
Iringo, alikubali bila kupinga ( maana alikua sana ananisikilizia ).
Kesho yake tupo kwenye ibada nikamuona huyo boy kakaa benchi za nyuma ( me nilikua nakaa bench za mbele kabisa za Waimbaji )...nilimuona nikajisemea tu moyoni kuwa leo unalo labda usiingiee kwenye kumi na nane zangu...nilmtext tukachat nae kidogo..nilikua namwambia kuwa leo jioni nitakua
Iringo na demu wako...nilimuona ananiangalia vby ( na huku tupo kanisani )..akaniuliza
iringo sehem gani nikamwambia kastamu akasema ok...
Kiukweli nilikua nimeplan siku hyo kumpiga huyo jamaa atakama ni kumuua ni muue tu.Alafu alivyokua mjinga alikua ananidharau kwa vile yeye yupo chuo me hata veta tu siijui.alijiamin kupitiliza.Nilimpanga yule muhuni wangu kuwa nitakuja leo huko mitaa yao na Manzi angu.
Midaa ilifika ya jioni ( saa 10 ) demu akajaa tukapanda boda mpk iringo.Tulivyofika tukaenda kwao na huyo muhuni wangu ( huyo Muhun wangu alikua kaachiwa Mji baada ya Wazaz wake kufariki ko mji ni wake mpk saivi ).
Nilivyofika nilimwambia Manzi ampigie huyo msela wake aje iringo.alimpigia tena akiwa kamuweka loudspeaker

tunamsikia...jamaa alikua anasema huyo fala wako yuko wapi ( yaani mimi ).
Kufupisha habari ni kuwa huyo jamaa alijichanganya kuja yeye na wasela wake wawili na kapikiki kao..nilikua na hasira cku hyo ( sio za demu ila ni za kutukanwa na wale mafala )..Walifika nilivyoona waona hao wasela wake wawili mpk nilicheka, nilijisemea kuwa " huyu jamaa ananileteaje mabishoo wanipigie " alafu walivyowajinga sijui walikua wanajiamin vpi walikuja mpk maeneo ya ziwani ( kuna milima ).nilijitokeza tu huku zuna nimeiweka kiunoni ( Zuna ya muhuni wangu ), mpaka sehemu waliyokua wamesimama na Manz yao ( maana manzi alienda kuwapokea )
Nilivyofika walipo nikawapa hi wakajibu...alafu nikawaambia mlikua mnasemaje sasa.Me hua na roho mbaya nikichukia, nilimpiga ngumi ya pua huyo jamaa na alivyokuwa ni white damu zilimuahi kutoka, wale wengine walivyoona hivyo wakajamu wanataka kunipiga nikachomoa Zuna niliwapiga bapa mpk mmoja akakimbia.nilimrudia yule jamaa lengo langu nilikua ni mtoe roho ( sema yule muhuni ndo alinishika nisimuue )..tulimbeba mzima mzima kwenda nae mlimani yule muhuni amfire ( sory kwa lugha mbovu ) maana tulikubaliana hvyo amfire.Jamaa alilia siku hyo akiita watu wamsaidie lkn watu ndo kwanza hawana habar nae na wasela wake cjui hata walipotelea wapi.Kuna mvuvi mmoja nae alikua ana sapoti tumpige huyo jamaa ( chanzo chenyewe alikua hajui yeye anasapoti tu


).
Tulimpandisha mlimani jamaa analia tu simu,hela zake muhuni akachukua..Muhuni haku mfira ila tulimpa onyo na kumtaka atupatie 200k..alidai hana tukashuka nae mpk ghetto kwa muhuni tukaandikishiana kuwa tumemfumania inabidi atulipe hyo hela siku flani na mashahid walipatikana pale wa uongo na kweli.Jamaa tulimuachia kama saa moja usiku kwa makubaliano ya kupewa hizo hela baada ya wiki moja...ila nilimpiga siku hyo, tokea hapo alikua ananiogopa vby mno..nilimpiga mkwara mzito kuwa siogopi cha nani kama anataka kwenda police aende atanikuta tu niko kanisani.
Manzi nae aliniogopa alikua hajawi kuona hasira zangu ila me nilikua sina shida nae maana nilikua namtafutia mbadala wake kimya kimya.
Hizo 200k tuliambulia kupewa 60k tu ko nikampa muhuni wangu 20k nikabak na 40k nikafnyia yangu...hivyo ndo nilivyomfanyia huyo msela alijiona kuwa kayapatia maisha mbele yangu.
Nikirudi nitaendelea kuwaelezea tena harakat zangu za wizi mpaka Mzee wangu kuwekwa ndani na Mkuu wa Wilaya, Me kukamatwa kwa kosa la wizi, Mahusiano yangu na yule demu wa kisiwani, kutapeli na vingine vingi mpk kufika hapa nilipo
story bado ni ndefu ko kuna matukio mengi mengine niliyafanya ila cjaandika maana nilisahau kuyaweka.Binafsi nayaleta nikiwa nimeyapanga kwa Miaka.
nitarudi tena.