Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Inaendelea.....

Baada ya kupata mpenzi mpya nilikuwa na enjoy sana life ukizingatia muda nilio kaa bila kuwa kwenye mahusiano ulikua ni mrefu kidogo mpk mtaani vijana wenzangu walikua wananambia niwaonyeshe shemeji ( walikua wanajua me sing'ati ).Baby wangu huyo mpya kumbe alikua ni sio mgeni kanisan kama me nilivyodhani ( alikua mwanafunzi ndo maana nilikua simuoni nikienda church ).Mapenzi yaliendelea vizur sana moja ya couple zangu bora hii pia ilikua bora, mtoto alkua ananiheshimu,kunipenda na kunijali ( vizawad nilikua naletewa sana ).Lakin sex ndo nilikua nanyimwa romance napewa vizur tu ( demu alikua ananipima imani sana ).

Mwezi wa 4 nilipata balaa moja mpk nikawa naishi kama pimbi....

Kuna Msela wetu mmoja hivi alikua bishoo hatari, mzee wa location kwake kupiga picha ndo ilikua chakula.Kuna siku alikuja mtaani kwetu na begi ndani kuna nguo za location, akatuomba mimi na Msela wangu mmoja ( yule ambae nilipigana nae 2010 akajikata na wembe wake mwenyewe, jamaa alikuja kuwa msela wangu wa damu mpka leo hii )...huyo msela alituomba twende nae location kupiga picha, tukaenda Pensula beach ( compex ) maana ndo kulikua na pozi zur la picha...

Tulifika flesh Complex kule mlimani kuna vinyumba kule vilijengwa kwa ajili Watalii kama sijakosea, ila vilikua vipo tu hata havifanyi kazi.Basi Mzee wa location akatoa nguo zilizokua kwenye begi aanze kupiga picha, miongoni mwa nguo alizotoa ilikua ni Combat ya kijeshi full.Sisi hatukujua ni wapi kaitoa haikua kazi yetu hyo sisi tulijua ni kupiga picha basiii na kusepa.

Na kweli picha tulipiga za kutosha kila mtu alivaa ile kombati, tulivyotoshka na picha tuliondoka kwenda kurushiana picha tulizopiga.Nilivyo fala sasa picha nilizopost Fb siku hyo ni pamoja na hizo nilipiga nimevaa combat ya jeshi.Nilikua najua hakuna noma kufanya hivyo.

Kesho yake nikiwa mimi na msela wangu tunaangalia picha tulizo post fb mara Mzee wangu anakuja na boda akatuita.Alituuliza tuliiba nini tukawa tuna mshangaa tu.

Alitutaka tuwe makini maana Yule jamaa aliyekuja na zile Nguo za kijeda alikua kakamatwa yupo Central.Kesho yake tena taarifa zinatufikia na Mama ake na huyo msela wangu kuwa tukimbie police wanakuja kutukamata.

Kumbe zile nguo za jeshi kuna jamaa mmoja ni muhuni alafu mwizi aliziiba nyumbani kwa Mjeda ( zilikua kwenye kamba zimeanikwa baada ya kufuliwa ).Ko huyo muhuni alivyoziiba akamuuzia yule jamaa alie kuja nazo ili twende location ( kweli tuliingia mtego wa panya ).Baada hao jamaa kukamatwa walivyokuwa wanakula kipigo ndo wakawa wanatuyaja hasa yule Mzee wa location.

Nilifuta zile picha nilizo post fb ila nilikua nimechelewa maana kuna demu mmoja alikua ni police na alikua ni rafiki angu fb na tunaishi nae mtaa mmoja.Alidai kuwa ananijua na siku wanakuja kutushika taarifa ziliwakutufikia mapema kutoka kwa huyo Mama ake na msela wangu ( bro wa huyo msela angu nae alikamatwa ndo ikawa rahis kwa huyo mama kutupatia Taarifa ).Siku hyo tulijificha mlimani mpk usiku ndo tulitoka kuja kula na kulala uvunguni kisha asubui tulirud mlimani ikawa ndo mwendo huo kama siku tatu.

Sikumbuki hata kesi iliishaje ila nashukuru Mzee wangu na Familia ya huyo msela wangu walimalizana na maafande kibingwa ila yule Muhuni alie iba yupo jela mpka leo ( Butimba )

Huu mwaka 2016 una visa vingi nitachagua vichache niviandike humu.

Mwezi wa tano terh 15 2016 ilikua jumapili ndo siku ambayo nilipewa tunda na demu wangu.Niliahidiwa jumamos ya tareh 14 nikawa naona jumapili haifiki asee 🤣🤣.Siku hyo nilimsubir weeee..sehemu tuliyokubaliana kukutana mpk nikakata tamaa na kuanza kuondoka.Mara ndo namuona kwa mbali mtoto anakuja kapendeza kinoma.nilifurah nikamchukua mpk ghetto kumchakata.Nilifika nae gheto kwangu ( home ) ikaanza romance kama kawa na kisha nikachukua ndomu nikavaa kazi ikaanza.

Nilimpeelekea moto hatare alikua analia kimahaba na viuno kama vyote pamoja na style ( me nilikua na kauzoefu kidogo ).Lakini cha kushangaza mpk lisaa limoja nilikua sija fika kileleni.Hofu ikaanza kuniingia labda nyeto imeniharibu lakin mashine ilikua imekaza balaa.Nilijisemea kimoyomoyo kuwa natatizo la nguvu za kiume.kumbe hayo mawazo ndo yalinitoa mchezoni kabisa nikashindwa kufika kileleni kabisa mpk demu alinambia kuwa amechoka, nikamuacha hku nikijisemea kimoyomoyo kuwa mtoto wa watu hajarridhika na show.Kumbe mchawi wangu alikua ni ndomu ckuozea sana kutumia ndomu.

Nilivyokua namsindikiza demu kwao napo nikakutana na balaa tena njiani....

Nitarudi tena
 
story iko pouwa sana big up
pia tuambie yule msela uliyepigana nae ilikuwaje akawa rafiki yako.

Pia msela aliyeiba gandwa ilikuwaje kesi ikampleleka butimba kwa nn asingepigwa viboko tu.
 
vizur sana nianze na huyu msela ambae nilipigna nae.

huyu yeye kwa vile alikua jirani yangu sana hatukuona kuendeleza bifu maana lilikua alitujengi.

Na huyo muhuni alie iba gwanda walikmkuta na kesi nyingine maana jamaa alkua mwizi balaa
 
Ewe mwenyezi Mungu..Naomba Amani katika familia yangu...Naomba Mungu Wangu nijaalie watoto wema watakao kutumikia.

My children will be mighty in the land...
I shall live a life of favour and my legacy will live after me...
 
Na iwe hivyo Mkuu Mungu atakupa hitaji la Moyo wako
 
Inaendelea.....

Baada ya kupata mpenzi mpya nilikuwa na enjoy sana life ukizingatia muda nilio kaa bila kuwa kwenye mahusiano ulikua ni mrefu kidogo mpk mtaani vijana wenzangu walikua wananambia niwaonyeshe shemeji ( walikua wanajua me sing'ati ).Baby wangu huyo mpya kumbe alikua ni sio mgeni kanisan kama me nilivyodhani ( alikua mwanafunzi ndo maana nilikua simuoni nikienda church ).Mapenzi yaliendelea vizur sana moja ya couple zangu bora hii pia ilikua bora, mtoto alkua ananiheshimu,kunipenda na kunijali ( vizawad nilikua naletewa sana ).Lakin sex ndo nilikua nanyimwa romance napewa vizur tu ( demu alikua ananipima imani sana ).

Mwezi wa 4 nilipata balaa moja mpk nikawa naishi kama pimbi....

Kuna Msela wetu mmoja hivi alikua bishoo hatari, mzee wa location kwake kupiga picha ndo ilikua chakula.Kuna siku alikuja mtaani kwetu na begi ndani kuna nguo za location, akatuomba mimi na Msela wangu mmoja ( yule ambae nilipigana nae 2010 akajikata na wembe wake mwenyewe, jamaa alikuja kuwa msela wangu wa damu mpka leo hii )...huyo msela alituomba twende nae location kupiga picha, tukaenda Pensula beach ( compex ) maana ndo kulikua na pozi zur la picha...

Tulifika flesh Complex kule mlimani kuna vinyumba kule vilijengwa kwa ajili Watalii kama sijakosea, ila vilikua vipo tu hata havifanyi kazi.Basi Mzee wa location akatoa nguo zilizokua kwenye begi aanze kupiga picha, miongoni mwa nguo alizotoa ilikua ni Combat ya kijeshi full.Sisi hatukujua ni wapi kaitoa haikua kazi yetu hyo sisi tulijua ni kupiga picha basiii na kusepa.

Na kweli picha tulipiga za kutosha kila mtu alivaa ile kombati, tulivyotoshka na picha tuliondoka kwenda kurushiana picha tulizopiga.Nilivyo fala sasa picha nilizopost Fb siku hyo ni pamoja na hizo nilipiga nimevaa combat ya jeshi.Nilikua najua hakuna noma kufanya hivyo.

Kesho yake nikiwa mimi na msela wangu tunaangalia picha tulizo post fb mara Mzee wangu anakuja na boda akatuita.Alituuliza tuliiba nini tukawa tuna mshangaa tu.

Alitutaka tuwe makini maana Yule jamaa aliyekuja na zile Nguo za kijeda alikua kakamatwa yupo Central.Kesho yake tena taarifa zinatufikia na Mama ake na huyo msela wangu kuwa tukimbie police wanakuja kutukamata.

Kumbe zile nguo za jeshi kuna jamaa mmoja ni muhuni alafu mwizi aliziiba nyumbani kwa Mjeda ( zilikua kwenye kamba zimeanikwa baada ya kufuliwa ).Ko huyo muhuni alivyoziiba akamuuzia yule jamaa alie kuja nazo ili twende location ( kweli tuliingia mtego wa panya ).Baada hao jamaa kukamatwa walivyokuwa wanakula kipigo ndo wakawa wanatuyaja hasa yule Mzee wa location.

Nilifuta zile picha nilizo post fb ila nilikua nimechelewa maana kuna demu mmoja alikua ni police na alikua ni rafiki angu fb na tunaishi nae mtaa mmoja.Alidai kuwa ananijua na siku wanakuja kutushika taarifa ziliwakutufikia mapema kutoka kwa huyo Mama ake na msela wangu ( bro wa huyo msela angu nae alikamatwa ndo ikawa rahis kwa huyo mama kutupatia Taarifa ).Siku hyo tulijificha mlimani mpk usiku ndo tulitoka kuja kula na kulala uvunguni kisha asubui tulirud mlimani ikawa ndo mwendo huo kama siku tatu.

Sikumbuki hata kesi iliishaje ila nashukuru Mzee wangu na Familia ya huyo msela wangu walimalizana na maafande kibingwa ila yule Muhuni alie iba yupo jela mpka leo ( Butimba )

Huu mwaka 2016 una visa vingi nitachagua vichache niviandike humu.

Mwezi wa tano terh 15 2016 ilikua jumapili ndo siku ambayo nilipewa tunda na demu wangu.Niliahidiwa jumamos ya tareh 14 nikawa naona jumapili haifiki asee .Siku hyo nilimsubir weeee..sehemu tuliyokubaliana kukutana mpk nikakata tamaa na kuanza kuondoka.Mara ndo namuona kwa mbali mtoto anakuja kapendeza kinoma.nilifurah nikamchukua mpk ghetto kumchakata.Nilifika nae gheto kwangu ( home ) ikaanza romance kama kawa na kisha nikachukua ndomu nikavaa kazi ikaanza.

Nilimpeelekea moto hatare alikua analia kimahaba na viuno kama vyote pamoja na style ( me nilikua na kauzoefu kidogo ).Lakini cha kushangaza mpk lisaa limoja nilikua sija fika kileleni.Hofu ikaanza kuniingia labda nyeto imeniharibu lakin mashine ilikua imekaza balaa.Nilijisemea kimoyomoyo kuwa natatizo la nguvu za kiume.kumbe hayo mawazo ndo yalinitoa mchezoni kabisa nikashindwa kufika kileleni kabisa mpk demu alinambia kuwa amechoka, nikamuacha hku nikijisemea kimoyomoyo kuwa mtoto wa watu hajarridhika na show.Kumbe mchawi wangu alikua ni ndomu ckuozea sana kutumia ndomu.

Nilivyokua namsindikiza demu kwao napo nikakutana na balaa tena njiani....

Nitarudi tena
Nyeto inataka kukuabisha kwa mrembo
 
Inaendelea....

Nilivyokua namsindikiza manzi angu njiani nilikutana msela mmoja na kundi lake mitaa mwisenge kituo cha police...

Walivyotuona walitusimamisha huyo jamaa akaja akaanza kuzozana na manzi..Bby angu alikua ameshanieleza toka zamani kuwa huyo jamaa anamsumbua yaan anamtaka na Manzi amtaki...ko katika ule mzozo niliingilia kusuluhuisha na kumtaka huyo msela apotezee na kweli akawa mpole akamuacha ( nilikua nafahamiana pia tulkua tunasali nae )..

Tulivyokua tunaondoka Manzi yangu si ikamsonya jamaa, Jamaa aka jamu balaa akatufuata nilishtukia tu Manzi amepigwa Kofi la sikio.

Niliona huo ni ukuda demu kupigwa mbele yangu na ametoka kunipa Tunda. huyo msela nilimpa ngumi ya pua mpk machozi yalimtoka.
Rafiki zake walivyoona hivyo wakaingilia kunichangilia nilijitahid sana kuwa mudu.nilivyoona wananizidi nikakimbia wakadhani nimeogopa.Nilirudi na bonge la jiwe lilikua pembeni mwa barabara nikampiga nalo mmoja mbavuni wengine walivyoona hivyo wakaanza kunikimbia

Muda huo na hasira balaa raia walijaa kushuhudia ugomvi.nilikua napenda watuamue lakin wapi nilipambana pekee angu manzi yeye anaangalia baby ake jinsi anavyo pigana tu.Niliteleza nilipokua na mfukuza jamaa mmoja ( kutokana uchovu wa show ) wengine wakawai kunishika nilipigwa bahat nzur kuna mzee alishuka kwenye gari akaja kutuamua na afande hawakuepo siku hiyo ya jpili.

Usiombe upambane kisa demu huo kuna majuto mengi sana mkija kuachana unaanza kukumbuka wema uliokuwa unaufanya.

baada ya kutuamua pale niliahidi kuwawinda wale masela kisha nikaondoka na manzi yangu na baadh ya wapambe wangu waliokua wakinijaza kichwa.Njiani nilisifiwa sana manzi nikawa najikuta Tony Ja.

Hiyo inshu mpka kanisa lilijua ukizingatia sehem niliyopigania ilikua ni karibu pia na kanisa langu.Wazee wa kanisa walinitembelea home ( maana nilkua Shemasi ) kunionya na kunipa moyo pia walitaka nisifanye balaa lingine.Ijumaa yake tulikutanishwa na huyo msela kanisani na tukapatanishwa ila me moyoni nilikuwa na chuki yangu niliahid kumfanyizia kitu lakin kwa Neema ya Mungu nilimuacha sikumfanya kitu.

Penzi letu lilizidi kunawili mimi na Manzi yangu, nilikua nampenda sana yaani nilikua nataman muda wote niwe naye ila tulikuja tenganishwa na shule..

Kipindi yupo shule me nilkua nipo idle sina ramani ya kueleweka mjini.

kwenye mwezi wa tisa hivi kuna dokta mmoja wa tiba za asili tulikua tuna sali nae.kuna siku aliwapa dili rafiki zangu wawili la kwenda kuuza dawa za asili Visiwani.Rafiki zangu walikubali maana wenyewe na walikua idle kama mimi tu.Niliomba nafasi na mimi niende nao lakin huyo dokta alisema ana mudu watu wawili tu.

Wakati wanajiandaa na safari ya kwenda visiwani mmoja wa rafiki zangu kwao walizingua, walimtaka asiende huko visiwani ko nafasi ikarudi kwangu.

Me nilimwambia tu sista angu naondoka mzee siku mwambia maana angekataa nisiondoke.

Nitarudi kuelezea nilivyokua Visiwani.
 
Masela wangekudunda na demu usingempata tena
 
Inaendelea....

Nilivyopewa taarifa kuwa rafiki angu hatoweza kwenda ile trip basi nilitakiwa kujiandaa kwa siku hyo maana kesho yeke tulitakiwa kuondoka kwenda kuanza kazi.

Nilijiandaa vizuri tu na begi langu la nguo lililala kwao na huyo rafiki angu ambaee tulikua tunaondoka nae.

Siku ya safari ilifika niliwai kuamka nikajitayarisha vizur tu kisha nikaondoka kwenda kumpitia huyo rafiki angu kwao.

Tuliondoka mpk kwake na huyo dokta akatupatia kila mtu begi moja ( yale ya kuning'iniza bega moja ) yakiwa na dawa ndani.
Tulimuomba Mungu atulinde sisi na familia zetu kisha tukaondoka kwenda stendi ( majita road ) tulifika stendi tukapanda gari la kutupeleka Majita sehemu moja inaitwa Bukima, me mdo ilikua ni mara yangu ya kwanza kufika huko.

Tulivyofika bukima tulipanda Boti kuelekea kisiwa kimoja kinaitwa ILUGWA.Siku hyo maji yalikua yametulia mpaka raha hadi nilikua sitamani kufika haraka.

Na kweli tulifika salama kisiwani Ilugwa kipindi tunashuka kwenye boti kuna mademu niliwaona wamekaa kwenye kakibanda ka kuuza Vinywaji.Walikua ni pisi kali hatare na hata Dokta alivyokua anatupeleka guest walikua wanatufuata kwa nyuma kujua ni wapi tuaenda na tulivyofika guest niliwaona wakirud walikotoka.Niliwaelezea wenzangu kuhusu hicho kitendo na Dokta akatuambia tuwe makini hao ni madada poa na tujali kilichotupeleka pale.

Dokta alitupatia kasemina kidogo ka jinsi ya kuwashawishi wateja wanunue dawa, alitupatia karati yenye orodha ya madawa na Cheti cha kumthibitisha yeye kila mtu na chake.

tulivyopata semina tulielekea hotelin kula kisha tukarud kuoga ili kuanza kuzunguka kuuza madawa.

Siku mimi na rafiki angu hatukuuza dawa yoyote ( uzoefu ulikua bado chenga )...dokta yeye alirudi ameuza madawa ya 60k alituambia tuwe wajanja.

Usiku ulifika tukaelekea kula tena hotelini ilkua mida ya saa 2 hivi tulikula wakati tunarudi guest kulala alitokea mdada mmoja hivi pisi kali hatare akaniita na kuniambia atakuwa mgeni wangu usiku ule.Kwanza nilishtuka mgeni kivipi na hku mimi ndo mgeni pale.Aliondoka tukamshangaa tu alivyokua ni jasiri yule mdada.Akilini nilkua nayafikiria maneno ya Dokta kuwa tuwe makin na madada poa wa pale.

Midaa ya saa tano usiku nikiwa na ongea na bby angu kwnye simu ghfla mlango ulibishwa rafiki akaenda kuufungua.Alirudi akanambia kua naitwa na mgeni wangu nilitoka nikamkuta ni yule demu ndo ananihitaji.Alikua kavaa kapensi ka rangi nyeupe na kisweta cheusi ( alikua kapendeza ) nilimkaribisha ndani akasema yeye aingii.Alinitoa pembeni bila aibu alinambia anataka anipe penzi kwa 10000 tu usiku mzima.
Nilimwambia me sina hela akaniuliza nipo mpk lini nikamjibu sijui, akasema basi tutalala alafu siku inayofuata nitampa hela yake.ulikua ni wakati mgumu sana kwangu kutaka nilkua nataka na ushauri wa dokta nilikua naona una manufaa ukizingatia nilikua na mpenz ni mpendaye.

Niliamua kukubali kulala nae nikamwambie anisubir nikampange rafiki angu aniachie chumba yeye achkue chumba kingine.Lakin demu alisema ana chumba chake ko huduma ataitoa kwake.

Kumbe chumba chake kilikua hapo hapo guest tuliyofikia.Nilienda chumban kwangu nikamuaga rafiki angu nikamtania kuwa ukisikia mtu anapiga yowe ajue ni mimi.

Yule demu alikua ana nyege hatari maana nilivyokua na mvua chupi yake alikua anatokwa na viutelezi kwenye K yake.Alafu alikua msafi hakua ana kaarufu alininyonya mashine siku hadi nikawa namuita mke kwa kifupi nilienjoy sana penz lake.

Niliwai saa 11 alfajili kumgongea mlango yule rafiki angu maana saa kumi na mbili tuliambiwa tutakua na ibaada ya pamoja ( Dokta ni msabato pure ko kufanya ibada ilkua ni muhimu kwake ).Muda wa ibaada ulifika nakatika maombi nilijiombea kimoyomoyo kuwa Mungu aniponye na Ukimwi.

Kulipambazuka tukaoga kisha tukaenda kunywa chai tukarud kwenda mzigoni ( ilikua kbla hatujaenda mzigoni lazima Dokta atupige Ombi la mibaraka ).Siku hyo me niliuza dawa za 40k rafiki angu aliuza za 50+k maana dawa zilikua zinaanzia 3000 mpaka 40k.Siku nilikutana tena na hyo manzi ikanambia nije niendee nilimwambia sina kitu akasema ataunganisha Deni ( nilikua na hela sana ila nilikua sitaki kumpa ).Usiku ulivyofika baada ya kufanya ibada ya usiku moja kwa moja nilienda chumban kwa yule Manzi hakuepo kwa muda huo nikaamua nipoteze tu nikalale.nivyofika chumbani kwetu alikuja kunifuata nikampe show na kweli tulipeana Raha za kutosha na siku sikulala nae niliwai kusepa.

Kesho yake Dokta alitwambia tujiandae tunaenda kisiwa kingine.Niliumia kumuacha yule manzi lakin sikua na jinsi ilinibid tulivyokua tunasubiria boti.Huyo manz alinifuata kudai nimpe hela yake nilimpa 10k nyingine nilimwambia sina akasema haina shida ila akaniomba no yangu nikampa

Ngoja nimuache kwanza huyu Manzi niamuelezea tena mbele ya safari.

Boti ilifika ilikua ni muda wa saa mbli asubui na tumaelekea kisiwa kimoja kinaitwa KWERU MTO...

Nitarudi kuendelea tena
 
Back
Top Bottom