Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,907
- 4,721
naomba unitag na mimi kwenye hyo ya stivu pliz...Cocaa wee nilikua nakutagigi hata hukujii !! Haya Naanza kukutag kuna ya stivu mtu na visa vya ndoa na wakweze!!! Ni nzuri sana!!
naomba unitag na mimi kwenye hyo ya stivu pliz...Cocaa wee nilikua nakutagigi hata hukujii !! Haya Naanza kukutag kuna ya stivu mtu na visa vya ndoa na wakweze!!! Ni nzuri sana!!
Usijali mkuu!!naomba unitag na mimi kwenye hyo ya stivu pliz...
Hii ya huyu mama wa kambo imefanya nimeharibu mambo hapa kitandani.....FAMCHEZO NINI!Usijali mkuu!!
Pole mkuu noumaaa sanaa hii! Niliisoma nikiwa ofisini ikabidi niache kwanza uwii!Hii ya huyu mama wa kambo imefanya nimeharibu mambo hapa kitandani.....FAMCHEZO NINI!
Basi nikatamani uwe mama wangu wa kambo vile🤣🤣🤣🤪🤣Mama wa kambo kicheche mmmxxxeww🚮🚮🚮!!!
Nimefika, acha nisome kwanzaSharamdala njoo hapa mzee
[emoji23][emoji23][emoji23] Johnnie Walker unatutafuta nini tukiwa na kazi za watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Depal Mr Pixel3a Poor Brain
Duh kwel😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambana na hali yak
Duh kwel[emoji23][emoji23]
Hahahahaha...usipokua makini akili zote zinahamia chiniPole mkuu noumaaa sanaa hii! Niliisoma nikiwa ofisini ikabidi niache kwanza uwii!
🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🙌😂😂 Vijana mambo yenu mazitttooo Mna hataree sio la nchi hii uwii!!🙌☺️Basi nikatamani uwe mama wangu wa kambo vile🤣🤣🤣🤪🤣
Frank kaokota dodo chini ya mti mpaka anashangaa leo ana nini na hii mijimama. Hivi Watching yuko huku kweli? hajafunga huyu leo😀🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🙌😂😂 Vijana mambo yenu mazitttooo Mna hataree sio la nchi hii uwii!!🙌☺️
Maza wa kambo nukseee sana
Katumwa dawa ye kachonga mzinga kabisa Frank noumaaa!!
Frank anampangia mpango wa kuwaachanisha na maza kambo dingi akili itamkaa sawa mbona!!
Yaniii Frank ana balaa kubwaaa mishangazi imeuelewa mziki wake Sio wa kitoto!! Kwamba Dingi hamkuni mazakambo vizuri ama dingi hana makeke🤔🤔??Frank kaokota dodo chini ya mti mpaka anashangaa leo ana nini na hii mijimama. Hivi Watching yuko huku kweli? hajafunga huyu leo😀