Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,330
- Thread starter
- #21
[emoji41] hii story [emoji119][emoji119]
Imefanyaje mkuuu [emoji23][emoji23]
[emoji41] hii story [emoji119][emoji119]
Hii ni Xvideos kabisa😂😂Imefanyaje mkuuu [emoji23][emoji23]
Hii ni Xvideos kabisa[emoji23][emoji23]
Uwezi kukusanya maoni kwa mtu mmoja iulize audience yako yote then fanya uamuzi[emoji23][emoji23][emoji23] amna niendelee kuleta au niache
Huu uzi wa kutuana genye na baridi hili🔥Abee
Endelea kushush vitu[emoji23][emoji23][emoji23] amna niendelee kuleta au niache
Uwezi kukusanya maoni kwa mtu mmoja iulize audience yako yote then fanya uamuzi
Kuna nini huku...ebu nipe summarymzabzab mzee wa toto huu uzi umepita?
NipoEndeleee
na kumaliza haja yangu ndani ya uch** wake kisha tukalaliana yeye akiwa juu nami chini huku nikimpoza poza na kumpa pole sambamba na mvua ya mabusu kila kona ya mwili wake.....
.......
.......
Kulikucha mapema asubuhi hata sikujua tulipitiwa na usingizi saa ngapi, mimi nilikuwa wa kwanza kuamka na yeye aliendelea kuuchapa usingizi kitanda chote akienea yeye
"mamy mamy kumekucha!" ilibidi nimtikise tukise kumwamsha
"nimechoka sitaki!"
"akirudi baba nyumbani halafu asikukute?" nilimwuliza mwanamama huyo aliposikia hivyo akakurupuka haraka haraka
"twende Frank uuwiii yule mzee akigundua kuwa sijalala nyumbani sijui atanifanyaje!" aliongea haraka haraka tukaingia bafuni na kuoga kisha tukavaa nguo zetu na kutoka kwenye nyumba hiyo ya wageni mbiombio, mwanamama huyo mama yangu wa kambo asiye rasmi akaita taksi tukaingia na kuondoka kwa kasi ya kimbunga..
.....
Tulipofika mbele nyumbani tulikuwa tumeshachelewa, baba alikuwa amesharudi asubuhi amekaa kibarazani, tukashuka kwenye taksi ikiwa ni saa mbili asubuhi tayari mpaka jua limeanza kuwaka
"mume wangu za asubuhi!" mwanamama huyo alimsalimia baba ambae hakumjibu kitu akanitazama mimi akinikata jicho
"mlikuwa wapi mbona simu haipokelewi na unakuja asubuhi hii tangu jana inaonekana nyumba imefungwa hii??" baba alimwuliza mwanamama Penina akanigeukia mimi akitafakari cha kujibu namimi nikitafakari jinsi ya kumsaidia kujibu...
Tulibaki tunatazamana mimi na mwanamama Penina, mchepuko wa baba wakati alipoulizwa swali na baba
"mbona saa hizi asubuhi asubuhi?" baba aliuliza tena
"jamani si nilikuwa namsubiri mtoto stendi kha we unadhani nilikuwa wapi jamani?"
"Frank ni kweli analosema mama yako huyu mdogo?" baba aliniuliza lakini kwa kigugumizi maana alishajua nimechukizwa na kitendo nilichokiona cha yeye kuishi na mwanamke mwingine kisiri siri
"ndiyo gari liliharibika na tukazuiwa kusafiri usiku sana na askari wa barabarani ndo asubuhi hii mama ananiambia kumbe alikuwa amelala stendi amechukua chumba kwenye nyumba ya wageni akinisubiri ingawa mimi nilishamwambia aende tu nyumbani" nilimjibu baba akamgeukia mchepuko wake huyo
"sasa jicho hilo unalonikata inamaanisha hata mtoto wako humwamini anachokisema au unafikiri nilikuwa kwa nani mimi nilikuwa namsubiri Frank nikalala gesti pale pale stendi"
"mimi nipo ndani!" niliwaambia nikiwaacha wanaendelea kuzungumza tu pale nje, nikaingia ndani mpaka sebuleni nikiwa nimebeba begi langu, nilipofika nikakaa kwenye sofa nikikuta tu redio inawaka, nikaizima na kuchukua rimoti na kuwasha televisheni huku nikishusha pumzi ndefu kutokana na uchovu wa safari ukichanganya na uchovu wa mahaba kati yangu na mama huyo wa kambo asiye rasmi, baada kama ya dakika tano hivi mwanamama huyo aliingia ndani sebuleni
"Frank njoo nikuonyeshe chumba chako cha kulala!" aliniita nikainuka na begi langu kumfuata tukaingia mpaka kwenye chumba hicho cha kulala kwenye nyumba hiyo ya vyumba viwili na sebule na jiko na choo ndani ambayo baba alikuwa amepanga
"asante!" nilimshukuru nikakaa kitandani na kujilaza chali
"jisikie upo nyumbani!" mwanamama huyo aliniambia na kutoka chumbani taratibu huku akinitazama nami nikajigeuza na kupitiwa na usingizi mzito...
......
......
Nikiwa usingizini nilihisi nikitikiswa tikiswa nikafumbua taratibu macho yangu na kumkuta mwanamama huyo amekaa pembeni yangu kitandani
"naam?!" nilimwitikia kiuchovu nikijigeuza
"amka ule kwanza muda umeenda halafu ndiyo uendelee kulala!" aliniambia huku nikipiga miayo na kutazama pembeni nikakuta kwenye stuli kaniandalia chai ya maziwa na chapati kadhaa sambamba na mayai matatu ya kuchemsha
"saa ngapi kwani saa hizi?"
"saa sita kasoro mchana unaingia, tangu ulale saa mbili asubuhi ile usije ukapitiliza mpaka jioni bure ukashindwa kula bora ule kwanza halafu ndiyo uendelee kulala tena hata ukitaka kulala siku nzima ni wewe tu!"
"asante!!" nilimjibu na kuinuka kiuvivu nikikaa kitako tayari kupata chai hiyo nzito