Alexander Nathan
Member
- Jun 18, 2016
- 12
- 9
Hahaaa n nouma
Akamkimbiza mpaka akamfikia na kumgusa tena.....Mwishowe paka akaamka ilikuwa siku ya pili dogo alikimbia huyo na mama yake ndio ukawa mwisho
Wa kugusana!!
Akaendelea kumgusaMmh akamgusa tena
Akamkimbiza mpaka akamfikia na kumgusa tena
Basi wakagusana tena huku wakiliadogo na mamaye wakaanza kulia baada ya kuguswa aliyekuwa marehemu paka!!!
Mnashusha hadhi ya jf, aghhhh.....Kijana mmoja alikuwa anatoka shule akirudi nyumbani njiani akamkuta paka mzuri sana amekufa.
Basi yule mtoto akagusa yule paka mzuri akamgusa tena akamgusa tena akmgusa tena akamgusa tena akamgusa tena akamgusa tena.kama nilivyosema ni hadithi kugusa sana.
ni hadithi ya kugusa sanaMnashusha hadhi ya jf, aghhhh.....
Mmh akamgusa tena akamgusa tenaKifo cha huyo paka kilisababishwa na kugusa panya mwenye sumu
Mmh bado anamgusaVp, bado wanagusana?
Waliendelea kumgusampaka alfajiri wanakijiji wanawakuta mama na mtoto wana mgusa yule paka wakadhani ni wachawi basi nao wakaanZa kuwagusa sana!
MmhKifo cha huyo paka kilisababishwa na kugusa panya mwenye sumu
Hao hawatoachiana mileleWaliendelea kumgusa