Hadithi ya kugusa sana

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,209
Kijana mmoja alikuwa anatoka shule akirudi nyumbani njiani akamkuta paka mzuri sana amekufa.
Basi yule mtoto akagusa yule paka mzuri akamgusa tena akamgusa tena akmgusa tena akamgusa tena akamgusa tena akamgusa tena.kama nilivyosema ni hadithi kugusa sana.
 
basi akamgusa weeeee, mpaka ucku ukaingia.Mama yake akanzaa kumtafuta, alipomuona, naye akainama akaanza kumgusa yule paka...akamgusa weeeeeeeeeeee.............................
 
basi akamgusa weeeee, mpaka ucku ukaingia.Mama yake akanzaa kumtafuta, alipomuona, naye akainama akaanza kumgusa yule paka...akamgusa weeeeeeeeeeee.............................
Mmh akamgusa tena
 
Back
Top Bottom